faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Zijue faida za kuamka mapema kila siku

    Kuamka mapema kila siku kuna faida nyingi muhimu kwa afya yako, tija, na ustawi wa jumla. Hapa kuna baadhi ya sababu kwa nini ni muhimu kuanzisha tabia hii: * Kuongeza tija: * Saa za asubuhi mara nyingi huwa na utulivu zaidi, bila vikengeushi vingi. * Hii hukuruhusu kuzingatia kazi zako...
  2. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Faida za Kumuoa Binti wa Kwanza Katika Familia

    Katika familia zetu za Kitanzania Binti wa kwanza hulelewa akiwa na uwajibikaji mkubwa kutokana na majukumu aliyobeba tangu utotoni. Huwa na uzoefu wa kusimamia familia, uvumilivu, na ujuzi wa kutatua changamoto. Malezi haya humjenga kuwa mke anayejali, mwenye maamuzi sahihi na mshauri mzuri kwa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt Ananilea Nkya: Vijana wa Miaka 18 wakihamasishwa kujiandikisha itakuwa na faida Kidemokrasia

    Mwenyekiti wa Bodi (JUKATA), Dkt Ananilea Nkya anazungumzia mchakato wa zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji Wapiga Kura linaloendelea Dar es Salaam. Kuhusu mwitikio sijafanya utafiti lakini mahali ninapoishi, Mtaa wa Tabata Darajani, Ilala nimeona tangu Jumatatu zoezi la kuboresha daftari...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida ambayo Upuuzi wa Mwijaku kutamba Mitandaoni huku akionyesha Dola Feki kila mara

    Najua hawezi Kuguswa kwakuwa tayari anatumika na Myemeni, ila endeleeni tu Kulea huo Upuuzi wake mtanikumbuka!!!!
  5. La3

    JamiiForums Tanzania Manabii wana faida gani katika nchi yeti?

    A
  6. Sakwe

    JamiiForums Tanzania JE KUJICHORA MICHORO MWILINI(TATTOO)KUNA FAIDA GANI ?

    Habari wanajamvi! BIla ya kupoteza muda twende kwenye hoja ya msingi , kumekuwa na kasumba ya wanawake kwa wanaume hususan wanaoishi katika mikoa ya Dar, Pwani na hata Zanzibar kujichora tattoos. Wengine watu wazima tena michoro isiyokuwa na maana kabisa wanajamvi nielewesheni bira kuni karipia...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Biashara/uwekezaji Katika Utengenezaji wa Pombe Kali

    Wakuu Natumai mko salama na mnaendelea vyema. Mimi ni kijana mwenye ndoto kubwa na maono makubwa ya kujiajiri na kuleta mabadiliko katika sekta ya utengenezaji wa pombe kali. Ninapenda sana fani hii, na kwa miaka kadhaa nimejifunza na kupata uzoefu wa hali ya juu katika kutengeneza pombe kali...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Biashara yenye pesa nyingi na faida kubwa kama kuuza majeneza na marashi yake.

    Uwezi kupewa siri sababu inataka watu waliozoea misiba sana. Bei ya chini jeneza sikosei ni laki na kitu mpaka milioni. Linapotokea swala la msiba wengi huwa hawataki kuuliza mara mbili kuhusu bajeti ya mazishi sababu wapo kwenye majonzi. Kwa haraka haraka wauza majeneza hawakadiliwi kodi na...
  9. Guy Black

    JamiiForums Tanzania FAIDA ZA KUJIFUNZA KARATE

    Mtu anaejifunza karate au sanaa nyingine yoyote ile ya mapigano, hupata faida nyingi sana, ikiwemo kwanza anapata uwezo wa kujihami dhidi ya wanyang'anyi, wabakaji, watekaji na wauaji. Pia, anakuwa na afya njema , na hawezi kupata magonjwa yasioambukiza kirahisi na hata kama akipata hawezi...
  10. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania ZIJUE FAIDA YA MAFUTA YA AMLA

    Mafuta haya hutokana na tunda lenye asili ya India liitwalo amla. Mafuta haya yana faida nyingi mno kwa ngozi na nywele. Baadhi ya faida zake ni: 1=Hujaza nywele 2=Huzuia nywele kukatika na kuzifanya zirefuke kwa Kasi 3=Hudumisha rangi ya nywele 4=Huondoa kabisa mba na aina zote za muwasho...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Faida ya kiuchumi ya kufungua maabara binafsi ya magonjwa ya binadamu

    Wakuu nina mpango wa kufungua maabara yangu je nitegemee kupata faida gani Kwa siku?
  12. milele amina

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Faida na Hasara ambazo ni nyingi za Kuanzishwa kwa Chama cha Mapinduzi Tangu Mwaka 1977 hadi sasa

    Utangulizi Chama cha Mapinduzi (CCM) kilianzishwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama mbalimbali vya kisiasa, ikiwa ni pamoja na Chama cha Umma (ASP) na Chama cha Mapinduzi (SMT) cha Zanzibar. Kuanzishwa kwa chama hiki kumekuwa na athari nyingi katika nyanja tofauti za maisha ya wananchi...
  13. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naombeni ufafanuzi wa faida na hasara za operesheni vijiji 1974

    Nasikia tu katika historia Mzee Nyerere alianzisha operesheni maalumu ya vijiji vya ujamaa.. Hali ilikuaje ilikuwa ni kwa force au kuhama kwa hiari. Mwitikio ilikuaje je Kuna watu walipata madhara ya kisaikolojia na mali zao.je hilo zoezi lilifanikiwa na faida zake zipi?
  14. P

    JamiiForums Tanzania Unapambana Biashara Ikue Lakini Gharama ya mkaa ina kula faida

    Unapambana Biashara Ikue, Lakini Gharama ya Mkaa Inashusha Faida... Una Mpango Gani? Fikiria hivi kwa Kg 5 za Mkaa Utaweza Kupika Chakula Cha Kilo 30 kwa Wakati Mmoja ? Hii Inawezekana Kama Ukitumia Jiko Bomba La kg 30 ... Hili Ni Jiko Kubwa La Kupikia Chakula Mpaka 30kg Kwa Wakati Mmoja...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Makala zenye mafunzo na faida kwa jamii

    China imejenga barabara kuu bila kuharibu mashamba na mabwawa ya wakulima, kuhakikisha maendeleo na asili vinaenda sambamba. 🌿🚜 Mfano kamili wa jinsi miundombinu inaweza kukua bila kuharibu mazingira. 🌏 Maendeleo endelevu ni siku zijazo! 💚
  16. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Faida za tendo la ndoa kwa mwanamke

    Tendo La Ndoa: Tendo la ndoa ni sehemu muhimu ya maisha ya mwanamke, siyo tu kwa ajili ya mahusiano, bali pia kwa afya ya mwili, hisia, na akili. Mwanamke anaweza kufurahia tendo la ndoa ikiwa kuna maelewano, hisia za upendo, na afya njema ya kimwili na kiakili. Kufanya tendo la ndoa kuna...
  17. Justus wisdom

    JamiiForums Tanzania Fuga samaki kwa faida na ovs-Aquasupplies

    “AquaGold” ndio samaki sato ni dhahabu ya majini.. Katika ufugaji wa Samaki nchini Tanzania samaki jamii ya sato imeonekana kuwa na tija sana kutokana na kuwa na watumiaji wengi zaidi sokoni, kwa maana hiyo soko lake ni la uhakika ndani ya nchi na pia nje ya nchi. Kwanini ufuge samaki...
  18. Isenye

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa vyakula wa mkoa wa Mbeya faida wanazipataje?

    Niko mkoa wa mbeya hasa shughuli zangu zilizonileta nazifanyia mbeya mjini na Tukuyu. Hizi bei ndogo za vyakula wanazouza zimenifanya nijiulize hawa watu faida wnazipataje. Mfano Kande la mahindi mabichi na maharage wanauza sh 500,wakati dar mara ya mwisho kula kande niliuziwa 2,000/= Wali...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya GSM inapata Faida gani Kubwa kiasi kwamba kila mara inatoa Misaada ya Fedha na Kampuni zingine kama MeTL haziwezi na hazitoi Misaada?

    Je, Wazalendo wa Kweli wa Tanzania wakiongozwa nami GENTAMYCINE tukienda TRA kuona kama wanalipa Kodi tutajua?
  20. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kuishi single

    Tuanze na faida -Uhuru wa kujiamulia mambo yako mwenyewe pasipo ulazima wa kushauriana au kumshirikisha yeyote. - Hauwajibiki kwa yeyote. Hakuna wa kukuuliza, mfano-saivi uko wapi (hili swali hili wanaume wenzangu kama nawaona ivi👀👀), unafanya nini? upo na nani, mbona kama nasikia sauti...
Back
Top Bottom