Wadau najua wapo watu mnaotafuta wi-fi router nzuri huku so nimeona niwaletee uzi huu huenda ukawa msaada kwa wengine.
FAIDA ZA KUWA NA WI-FI ROUTER ZA TIGO (YAS)
Ndugu yangu kua na hii wi-fi router kuna faida nyingi sana, kama unajiweza kidogo, jitahidi usikose kifaa hiki.
1. Ukiwa na...
FAIDA ZA MKOJO WA SUNGURA KWENYE
KILIMO
Sungura hufugwa kwa ajili ya kutupatia nyama
ambacho Ni kitoweo kizuri na muhimu Sana.
Hivyo wafugaji wengi Sana hujipatia kipato
kizuri kupitia ufugaji wa sungura.
Lakini sungura Wana umuhimu Sana kwenye
kilimo. Mkojo wa sungura una umhimu
mkubwa Sana...
Kufuatia tamko la nchi ya china kupiga marufuku bank zake za ndani kujihusisha na ununuzi wa dollar, je kwa upande wa crypto industry itakuwa na faida au hasara?
Hivi kumuuwa mtu ambaye anataka tu sheria zinadilike ili chaguzi kuwa huru kwa Watanzania wote ni kwa kumnufaisha nani? Je ni kunufaida Watanzania hao hao!? Kama kweli watu wana nia nzuri na nchi tujiulize ni kwanini basi hawataki kuwe na sheria na uwazi wa haki kwa wananchi kuchagua mtu...
Naomba mwenye akili timamu anieleweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi.
Je CHADEMA expectations zao ni zipi?
Yaani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima amesema Chadema ambayo haikusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, haitashiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu na chaguzi zote ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano.
Kanuni hizo...
Kuna binti kanionesha kunipenda anaonekana anajielewa Moore mstaarabu akili zimo kidogo
Nilimwambia mapenzi ya mbali Yana changamoto sana akadai ameanua kuwa na Mimi maisha haya mafupi ya duniani
Je changamoto ya long-distance relationship ni zipi?
Niaje wakuu
Leo ningependa kujua haya anayoyafanya Trump sasa ivi hapa duniani na nchini kwake kwa ujumla anayafanya kwa faida ya nani?
1. Nchi?
2. Wananchi
3. Au yeye na genge lake?
Nauliza hivi kwa sababu toka amekamata wahamiaji, na kuwarudisha kwao kwa nguvu hakuna mabadiliko yoyote ya...
Tunakuwa Maskini kwa sababu ya kuwekeza kwenye vitu ambavyo havina faida
Wakinga wanafanikiwa kwa sababu ya nidhamu ya Pesa.
Mtu anavaa nguo Moja lakini anawekeza kwenye biashara. Utasikia sina Hela ya kula kumbe kuna sehemu kawekeza hela yake.
Ukweli ni kwamba bila kujitoa Huwezi kuwekeza...
Wakuu wasalaamu, naomba niulize kuhusu usalama wa kuwekeza fedha katika mfuko wa uwekezaji(UTT), vipi bei za vipande zikishuka, hutopata hasara? Hakuna member hata mmoja humu aliyewahi kukumbana na kadhia ya hasara kutokana na kushuka kwa bei za vipande?
Au ni changamoto gani mliyokumbana...
Bamia Ni Nini?
Bamia ambayo pia inajulikana kama okra, ni mboga inayopatikana katika tamaduni mbalimbali ulimwenguni. Bamia inaweza kuliwa mbichi au kupikwa katika njia mbalimbali, kama vile kuchemshwa, kukaangwa, au kuingizwa katika mchuzi.
Bamia ni mboga yenye virutubisho vingi vinavyosaidia...
Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !!
Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!.
Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa.
Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa...
Wakuu habari .
Mimi ni kijana mtafutaji age 20s (Early) ambaye nipo natafuta fursa ya kufanya Kazi katika 'Car wash" Ila pia Endapo atapatikana MTU anahitaji kuwekeza katika huu mradi nipo tayari kufanya nae Kazi kwa makubaliano maalumu yenye tija kwa pande zote kwangu na kwake.
Hivyo...
Swala lakujizima data limeanzisha vitu vingi kwenye jamii yetu kwakutoa matunda kwa baadhi ya watu na kupoteza watu kwenye ramani. Hapa tunazungumzia style za utangazaji wa biashara, upambe (uchawa), influencer 😃, nk
Upande wa faida:
Kuna yule binti alikuwa anajipa vibe kwenye biashara yake...
Kuna wale raia huniuliza ""Kwanini unaipenda Faida Fund kuliko UTT??
Na hili ndilo jibu lake.
Tazama kwenye picha kipengele cha Sale Price Per Unit Vs Repurchase Price Per Unit.
FAIDA FUND.
UTT
Anyway:-
Tuendelee kutafuta hela
#YANGA_BINGWA
#YNWA
Habari zenu wadau. Hivi ni Bank gani ina toa riba nzuri pale mtu anapoweka pesa Kwa lengo la kupata faida. Je Kuna ukweli kuwa ECO Bank Wana riba kubwa kuzidi UTT??
Naomba mawazo yenu, maana nipo kwenye process ya kuanza uwekezaji mdogo kwenye hizi Financial Entities. Nawasilisha Ahsante.
Biashara ipi ni nzuri na rahisi kuisimamia kati ya hizi. Bajaji ya abiria, cash point (uwakala), tofari za block, au stationary.
Mazingira ya biashara ni mwanza.
Ni watu washali sana wanapenda ugomvi na malumbano hawawezi kaa sehemu kwa amani. Wapo kwenye nyuzi za watu kuharibu na kuchafua hali ya hewa.
Haipiti siku hawajagombana na mtu au kupigwa ban kwa mwezi huwa ni kawaida tu kwao. Hawa kitaalamu wanaitwa zetrovert. Ni wababe wanakuwa na akili...
Unakuta umepata tatizo la kifedha,afya,sheria hata connection ukiangalia namba za simu hata mjomba wa katibu tarafa tawi la ccm huna.
Namba zilizojazana sasa:
Phonebook:
1.Athuman mchonga majeneza
2.Aisha mabiliani
3.Mangi jirani wa duka la kukopa.
4.John muuza mali za wizi
5.Aisha chupi kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.