facebook

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Facebook yafukuza wafanyakazi 11,000 baada ya hasara ya Tsh. Tilioni 13

    Kampuni mama ya Facebook imetangaza uamuzi huo leo kwa maelezo kuwa inalazimika kuondoa 13% ya wafanyakazi wake ili kubana matumizi. Mkurugenzi Mtendaji Mark Zuckerberg amesema katika robo ya 3 ya mwaka mapato yameshuka kwa 46% sawa na Tsh. Trilioni 13. Wafanyakazi walioathiriwa watalipwa...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Singapore: Daktari feki wa wanawake Facebook, jela miaka 4

    Mtuhumiwa huyo Ooi Chuen Wei, 37, ni Mwanaume ambaye alikuwa na utambulisho wa bandia katika mtandao huo amekutwa na hatia ya kuwadanganya wanawake na kuwashawishi wamtumie taarifa zao ikiwemo picha za sehemu zao za siri. Ooi Chuen alikuwa akiwasiliana na Wanawake na kuwatumia fomu ya ujaza...
  3. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Ninachokiona sasa hivi kwenye account ya Facebook ya Queen Darleen inasikitisha sana, Serikali imuwajibishe

    Huyu msanii wetu amepost kwenye facebook story, video za ajabu sana. Lengo lake nini? Anajiuza? Au ametumwa kutumahasisha tufanye visivyo sawa?
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania META yasema watumiaji milioni 1 wa Facebook wamedukuliwa

    Taarifa kutoka mtandao huo zinasema walibaini Apps zaidi ya 400 za udukuzi kwenye Play store ya Google inayotumiwa na vifaa vya Android na App Store ya vifaa vya Apple zinazoiba Taarifa Binafsi za wateja. Msemaji wa META, Gabby Curtis ametaja taarifa zinazohusishwa na udukuzi ni pamoja na...
  5. Jr Xavi Hernandez

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kufuta account yangu ya FB, nimesahau Password na nime-log out muda tu

    Ndugu zangu habarini za asubuhi. Jamani nahitaji msaada jinsi ya kufuta account yangu ya FB, lakini nimesahau Pasword na nime-log out muda tu. Nimejitahidi sana kuomba Pasword Lkn imekuwa changamoto, Ule msimbo hautumwi. Nimeomba kila siku ndani ya siku 25 lkn imeshindikana. Hata sijui ni...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kenya: Facebook yafuta maelfu ya machapisho kwa kukiuka sera zake kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Kampuni ya teknolojia ya Meta imeondoa maelfu ya machapisho yanayowalenga watumiaji wa Kenya kwenye mtandao wake wa kijamii wa Facebook kwa kukiuka sera zake. Facebook imesema kuwa imeondoa machapisho zaidi 37,000 yaliyohamasisha chuki na 42,000 kwa kukiuka sera yake ya ghasia katika muda wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Elon Musk alitaka kuinunua Facebook kisha kuifuta

    Agosti 5, 2022 kuna uvumi ulivuma sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari vikionesha kuwa Elon Musk anataka kununua Facebook kisha kuifuta.
  8. Yofav

    JamiiForums Tanzania Advertising access restricted ndo ujumbe unaokuja ninapohitaji kubost matangazo katika page yangu ya Facebook

    Habari za muda huu wakuu, Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo juu. "Advertising access restricted" ndo ujumbe unaonijia kila ninapohitaji ku-Boost matangazo yangu, So please mwenye ushauri nini nifanye ku-Fix hili tatizo tafadhali anisaidie.
  9. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa Instagram na Facebook. Ni bidhaa gani zinauzika kwa haraka kwa anaefanya kama winga?

    Naomba mawazo yenu mnaotumia Instagram na Facebook kuuza bidhaa. Kwa winga anaechukua vitu kariakoo ni bidhaa gani rahisi kuuzika ukiweka insta na FB alafu ukaipromote? Tusaidiane uzoefu, keki ni kubwa kila mtu walau apate kipande.
  10. Njaa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Facebook account locked

    Wanajamvi naomba msaada: Nahisi kuna mtu alijaribu ku-login kwenye account mara kwa mara kwa kutumia wrong password.....! Matokeo yake facebook waka-lock account yangu. Sasa ili niweze ku-unlock account hii ni lazima nipokee code kupitia simu ambayo niliiweka kwenye account ya facebook, bahati...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Status za WhatsApp zimekuwa njia nzuri kwa watu mnaojuana kujuzana, kuburudishana, kuelimishana, n.k. Facebook na Instagram hakuna usiri

    Ni mara chache sana mtu atapost facebook na instagram, inaweza kuwa mara 1 kwa mwezi lakini huku status za whatsapp mtu anaweza kupost kila siku maana hata watu wanaoziona ni wale aliowasevu na anaweza kuwachuja zaidi, pia hata watu watao like ama ku comment ni siri yake sio wazi wazi. Mtu...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Facebook na Instagram kufichua namna matangazo yanavyowalenga watumiaji

    Kampuni mama ya Facebook Meta imesema itaanza kutoa maelezo hadharani kuhusu namna matangazo watu. Hatua hii imefikiwa ikiwa miezi michache kabla ya uchaguzi wa muhula wa kati nchini Marekeni. Aidha, tangazo hilo linafuatia ukosoaji wa miaka mingi kwamba mitandao hiyo huzuia habari nyingi...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Facebook imeendelea kuwa mtandao wa kijamii unaotumika zaidi duniani

    Takwimu zilizotolewa na Digital 2022 Global Overview Report zimeonesha mtandao wa kijamii wa Facebook ndio mtandao platform inayotumiwa na wengi Mbali na matokeo hayo mtandao wa WhatsApp umeonekana kupendelewa na wengi katika kufanya mawasiliano ukilinganisha na platforms nyingine za...
  14. dubu

    JamiiForums Tanzania Dharau wa watu kuhusu chanjo ya Uviko-19, kunavyogharimu maisha yao

    Ni kama ugonjwa wa Uviko-19 umeanza kusahaulika miongoni mwa Watanzania na hivyo watu hawaoni tena haja ya kuchanja chanjo kujikinga na mafua hayo makali, jambo ambalo si kweli. Kwa maneno mengine unaweza kusema kuwa watu wanachukulia poa ilihali maisha ya watu yanapotea. Wapo wanaosikika...
  15. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania TRA Kuanza Kuzitoza Kodi, Facebook, Instagram na Whatsapp

    TRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi. ===== DARESSALAAM: Timu ya Wataalam wa Kampuni ya meta inayomiliki mitandao ya @facebookapp instagram pamoja na Whatsapp leo 21...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutumia free Facebook

    Sorry kwa usumbufu jamani nina shida nataka nijue jinsi ya kutumia free Facebook yaan niweze kuona picha natumia Facebook lite apk asanteni!
  17. UZZIMMA

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Namna ya kutatua tatizo la kuzuiliwa kuweka matangazo facebook ukurasa wa biashara

    Jamani wataalam. Nina shida katika ukurasa wangu wa biashara wa facebook. Inaandika BOOST UNAVAILABLE katika post zote. Kiujumla upande wa matangazo AD haufanyi kazi kabisa. Naomba msaada wenu maana mimi naishi kutokana na matangazo baada ya ku-boost katika akaunti yangu ya biashara. Mtu...
  18. issac77

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wenu, Facebook wamelock account yangu

    Nilikiwa nashare mfululizo taarifa kwenye magroups ndio likatokea tatizo Hilo, Nimejaribu kufuata process zote kwa kureniew password lakini imegoma kabisa, Nifanuyeje wakuu, ama ndio tayari sitofunguliwa Tena? Pia nimejaribu kifungua açount nyngine mpya nayo wamelock vile vile
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Urusi: Mahakama yapiga marufuku Facebook na Instagram

    Mahakama mjini Moscow imepiga marufuku shughuli za Instagram na Facebook zinazoonesha "msimamo mkali" nchini Urusi, ripoti zinasema. "Tunalikubali ombi la upande wa mashtaka la kupiga marufuku shughuli za [Instagram na kampuni mama ya Facebook] ya Meta," Jaji Olga Solopova alisema, kwa mujibu...
  20. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Facebook kuanza Monetization (Uvunaji mapato) kwa content creator

    Kama ilivyo kwa YouTube pamoja na Blogs na website mbalimbali kuwa na kipengele cha Uvunaji kupitia Maudhui Mtandao hasa kampuni ya Google (Google Monetization) kwa kupitia Matangazo ya Google (Google AdSense) Hivyo hivyo na Facebook mbioni kuanzisha Uvunaji mapato kwa waandaa Maudhui wa...
Back
Top Bottom