facebook

  1. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Facebook yafanya Mabadiliko ya Rangi kwenye Hashtag na Mentions(Tags)

    Mtandao wa Facebook unamilikiwa na kampuni ya Meta Chini ya Mkurugenzi wake Mark Zuckerberg. Umefanya Maboresho kwa kubadili Rangi iliyokuwa ikionekana kwenye Hashtag na Mentions. Hapo awali Mtu akitumia alama ya # kama hashtag Yalikuwa yakitokea maandishi Meusi yenye mkolezo, lakini kwa sasa...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Facebook yaruhusu maneno ya chuki dhidi ya Urusi

    Kampuni ya Meta ambayo ni mmiliki wa Facebook na Instagram imelegeza sera yake dhidi ya machapisho ya chuki ili kuruhusu maneno ya chuki dhidi ya Urusi. Katika tamko lao wamesema wataruhusu sentensi za chuki kama ‘Death to Russian Invaders’ lakini hawataruhusu maneno ya chuki dhidi...
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Urusi: Facebook yazuiwa kisa taarifa tata katika vita yao na Ukraine

    Urusi imezuia matumizi ya mtandao wa Facebook unaomilikiwa na Kampuni ya Meta Platforms Inc's (FB.O) nchini kwao kile kilichoelezwa kupishana katika masharti ya vitu vya kuweka mitandaoni wakati huu wa vita yao na Ukraine. Maamuzi hayo yameongeza presha kubwa kwa vyombo vya ndani ya Urusi...
  4. Mr Gratitude

    JamiiForums Tanzania Nimejipa challenge ya kutotumia Facebook

    Leo ni siku ya 3 tangu nipumzike kutumia mtandao wa facebook ( nimediactivate my accont) nimeanza kuhisi kama naumwa, kweli hii mitandao ipo addictive ngoja nione nita-sustain kwa muda gani, sasa nipo JamiiForums nacheki wana wakishusha nyuzi za mtumbadi Putin
  5. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Facebook kutoa taarifa endapo Mtu aki screenshot ujumbe kwenye messenger

    Mtandao wa Facebook ulio chini ya Meta umeboresha katika sehemu ya mazungumzo yake ya messenger. Ikumbuwe Messenger pia imeunganishwa na Facebook hivyo Mtu anaweza kuchati Messenger kwa kutumia Facebook au Messenger yenyewe. Back to topic, Facebook wamefanya maboresho kwa jumbe za Messanger...
  6. Frustration

    JamiiForums Tanzania Nataka ku-verify account yangu Facebook msaada

    Kwa anayejua step za kufikia kwenye ku-verify account ya Facebook anielekeze free
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa Rohingya wafungua mashtaka dhidi ya Facebook, wadai fidia ya Dola Bilioni 150

    Wakimbizi kadhaa wa Rohingya waliopo Uingereza na Marekani wamefungua Mashtaka dhidi Facebook ambao wanaushutumu kuruhusu maneno ya chuki dhidi yao kusambaa Wanadai Fidia ya Dola za Marekani Bilioni 150 wakisema Mitandao ya Kijamii ya Kampuni hiyo ilichochea ghasia dhidi yao. Pia Facebook...
  8. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya mtandao wa kijamii ya Trump yapata dola bilioni 1 kutoka kwa wawekezaji

    Kampuni ya mtandao wa kijamii ya Trump yapata dola bilioni 1 kutoka kwa wawekezaji CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Mradi mpya wa Donald Trump wa mtandao wa kijamii umechangisha $1bn (£755m) kutoka kwa wawekezaji kabla ya kuorodheshwa katika soko la hisa. Taasisi ya habari na teknolojia ya...
  9. Ibrahim daud

    JamiiForums Tanzania Facebook account verification

    Habari wataalam Naomba kisaidiwa jinsi ya kufanya identify cormfmation ya Facebook Nimejaribu naona sifanikiwi Ahsante
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Facebook yafuta ujumbe wa Waziri Mkuu uliowataka wananchi "kuwazika" TPLF

    Mtandao wa Kijamii wa Facebook umefuta Ujumbe wa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed uliowahimiza Wananchi kujipanga na kuandamana kwa njia isiyovunja Sheria wakiwa na silaha ili kuzuia Waasi wa TPLF Facebook imesema imeondoa Ujumbe huo kwasababu unakiuka Sera yake kuhusu kuchochea ghasia. TPLF...
  11. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kufuta account ya mtu ambaye alishafariki Facebook?

    Habari waugwana wa humu, je salama!? Ok. Sasa bwana mimi nina shida moja kuna account ya mtu wangu wa karibu alishafariki alikuwa na account Facebook na mpaka sasa nikiwa napita kuona baadhi ya vitu lazima nikutane nayo. Je, naomba nataka niwaambie Facebook waifute nifanyeje msaada wenu
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Facebook kuacha kutumia mfumo wa face recognition. Alama za sura zaidi ya Bilioni 1 kufutwa

    Facebook itafuta alama za Sura (Faceprint) za Watu zaidi ya Bilioni moja baada ya kutangaza kuwa itaacha kutumia mfumo wake wa utambuzi wa Sura (Facial Recognition). Kumekuwa na shinikizo la kisiasa na kisheria dhidi ya Mtandao huo wa Kijamii kutokana na wasiwasi unaozunguka matumizi ya...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Facebook inaweza kujikuta kwenye kesi na logo ambayo ni kampuni nyingine

    Sijui kwanini facebook alikurupuka kutengeneza logo ambayo kumbe ni ya kampuni nyingine. Hawa watu wanamsubiria kutambulisha na kumfungulia kesi waje kumfilisi.
  14. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Facebook wabadili jina, sasa kuitwa Meta

    Hivi karibuni facebook walitangaza kuwa watabadili jina. Leo wametangaza jina lao jipya kuwa ni Meta. Meta ilikuwa initiative ya mke wa Mark, leo Facebook imebadili jina na kujiita Meta. Nguvu ya mapenzi hii. Karibu meta. --- Facebook has changed its corporate name to Meta as part of a...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Shahidi wa pili kesi ya Mbowe, Bw. Kaaya afunga akaunti ya facebook baada ukweli kuhusu uachama wake wa CCM kuwekwa wazi mitandaoni

    Hii inaitwa kukurupuka na kukosa watu walio serious kwenye uandaaji na utetezi wa kesi ya jinai. Kwa mahakama zilizo huru na ambazo zinajitegemea kilichofanywa na shahidi wa pili kinatosha kumfunga au kutaka Chama cha mapinduzi kinachotuhumiwa kutumia Polisi na wanachama wa chama hicho...
  16. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Nini sababu za Facebook kublock account ya mtumiaji

    Habari za humu wadau natumaini ni wazima kwa ambao awapo vizuri kiafya ama majanga tuendelee kuwaombea heri wamalize mwaka huu salama Jukwaa hili sijaingia muda mrefu sana nilipata mambo mengi kupitia hapa ya kiufundi kipindi nafanya blogs nawashukuru wote ambao siku mliekuwa mnatoa michango...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Facebook yajipanga kubadili jina

    Facebook Inc. imepanga kubadilijina ili kuendelea kushikilia soko la mitandao ya kijamii. CEO na Mmiliki wa kampuni hiyo, Mark Zuckerberg amesema atalitaja jinajipya Oktoba 28 katika mkutano mkuu wa mwaka wa kampuni. Facebook imesema haitajibu masuala ya uzushi yanayoenezwa dhidi yao. ===...
  18. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Facebook Awards Kenyan Teacher Ksh5 Million

    An undated image of Samuel Mwaniki. FACEBOOK Two Kenyans emerged victorious in the 2021 Community Accelerator Program initiated by Facebook. In a statement dated Tuesday, October 5, Facebook announced that Samuel Mwaniki, a teacher, as well as doctor Wala Amakove, the medic behind Wanderlust...
  19. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Je, nini kilichoikumba Facebook, Instagram na WhatsApp?

    Tatizo lililo kumba kampuni ya facebook Je, tatizo lilikuwa lipi? Kwa ufupi, mifumo ya facebook ilishindwa kuwasiliana na mtandao duniani. 'Ni kama ambaye kuna mtu aliyeaathiri nyaya za kampuni hiyo katika kituo kikuu cha kutoa data na kuzitengenisha na intaneti' , ilielezea kampuni ya miundo...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Facebook yashutumiwa kusababisha athari kwa watoto

    Mfanyakazi wa zamani wa Facebook, Frances Haugen amewaambia Wabunge Nchini Marekani kuwa App za Kampuni hiyo kuleta athari kwa Watoto. Facebook ni Mtandao wa Kijamii unaotumika zaidi duniani, ikiwa na watuamiaji wapatao Bilioni 2.7 kwa mwezi. Mamilioni ya watu pia hutumia WhatsApp na Instagram...
Back
Top Bottom