facebook

  1. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania Appodeal kumaliza usumbufu wa Admob ads na facebook ads

    Wadau. Kama wewe ni developer au unamiliki application nafikiri utakuwa unasumbuka sana na tatizo la ama kupata matangazo ya facebook au admob. hata kama yakipatikan ni nadra sana kudumu kwa muda mrefu. mengi yanakuwa blocked . sasa hapa Appodeal wamekuja na suruhu ambapo wao ukijiunga nao...
  2. Kabelwa

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupunguza matumizi ya MB kwenye facebook

    Habari wanajamii nimetumia kwa muda mrefu hii application ya facebook lite sasa nimeona nijaribu kutumia hii nyingine facebook ingawa inachukua space kubwa. Sasa nimeshtushwa na ulaji wake wa bando maana linakwenda haraka mno ninaomba kama kuna anaefahamu namna ya kuseti ili isile bando sana...
  3. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania Do you need Social Media manager?

    It is no doubt that SOCIAL MEDIA is fast becoming a part of our everyday day lives. Currently, over 50% of the world's population use social media. With the rapid increase of active social media users, you should figure out that social media is for your brand/business. The big question is...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Facebook yawafungia watumiaji wa Australia

    Mtandao wa Facebook umewafungia watumiaji wa Australia ikiwa ni njia ya kupinga suala la Australia kutaka Facebook wawalipe watumiaji wake wanaochapisha habari mbalimbali nchini humo Australia ilizitaka kampuni mbili kubwa za mtandao, Facebook na Google kuwalipa wanaochapisha habari katika...
  5. 2019

    JamiiForums Tanzania Facebook ya sasa imejaa matapeli, madanga na waganga wa kienyeji tu

    Facebook ya miaka ya 2015 rudi nyuma ilikua tofauti sana na ya sasa. Kwa sasa watumiaji wengi wa facebook ni 1. Matapeli wa mtandao (crypto & investments) 2. Waganga wa kienyeji wapo wengi lakini (west Afrika sana) 3. Wadangaji fake (Wabongo sana) 4. Watu wenye uelewa mdogo (hasa Wabongo) Sioni...
  6. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Google yatishia kusitisha huduma zake Australia ikiwa Serikali haitabadili sheria mpya ya malipo ya maudhui, Facebook yafuata mkumbo

    Kampuni ya Google imetishia kufunga huduma zake nchini Australia ikiwa Serikali ya nchi hiyo haitabadili muswada unaoitaka kampuni hiyo kulipia maudhui yanayotoka nchini humo. Mkurugenzi Mtendaji wa huduma za Google Australia, Mel Silva aliiambia kamati ya Senate kuwa hatua hiyo ya serikali...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania India: Wafanyabiashara waomba WhatsApp na Facebook vizuiwe kutokana na sera mpya

    Shirikisho la Wafanyabiashara wa India (CAIT) limeiomba serikali izuie mtandao wa WhatsApp, Facebook na Facebook Messenger kutokana na sera mpya ya Faragha. Wafanyabiashara wamemuandikia Waziri wa Habari na Teknolojia kuwa India inawatumiaji zaidi ya milioni 200 hivyo kuchukua taarifa zao kwa...
  8. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Facebook yafungia akaunti za viongozi wa serikali ya Uganda

    Zikiwa zimebaki siku chache kuelekea uchaguzi mkuu nchini Uganda, mtandao wa Facebook umefungia akaunti za viongozi wa serikali kwa tuhuma za kushawishi maamuzi ya umma, mtandao wa AFP umeripoti. Mkuu wa Mawasiliano wa Facebook wa Ukanda wa Nchi za Kusini mwa Sahara, Kezia Anim-Addo amesema...
  9. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania msaada: jinsi ya kupakua picha kutoka facebook

    Habari. Kwa kipindi cha karibuni nimeanza biashara ya udalali wa magari pikipiki simu vitanda na vitu vingine used hapa Dar. Nimekutana na changamoto ya kupakua picha zilipostiwa FB ili niweze kupost kwingine Naomba msaada ni njia gani nitumie Shukran, Dalali Solo. 0744033555__ TABATA BIMA DAR
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Facebook yakabiliwa na mashtaka ya kuwanunua wapinzani wake kwa lengo la kuwaondoa sokoni

    Kampuni ya #Facebook Inc inaweza kulazimishwa kuuza mali zake ikiwemo #WhatsApp na #Instagram baada ya Tume ya Biashara ya #Marekani kufungua mashtaka dhidi ya kampuni hiyo ikisema ilitumia mkakati wa "kununua au kuzika" kuwarubuni washindani wake Facebook inakuwa kampuni ya pili kubwa kwenye...
  11. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Kuimarisha mitandao yetu ya kijamii na kuondokana na Utegemezi wa Facebook, WhatsApp na Instagram

    Idadi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii Tanzania imeongezeka kwa kasi na kufikia 4.5 Milioni. Idadi hii imegawanyika katika makundi makubwa mawili,Kundi la kwanza ni wale wanaotumia mitandao ya kijamii kwa manufaa bila kuvunja Sheria,na Kundi la pili ni wale wanaotumia mitandao ya kijamii kwa...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afisa mpya ya Kamishna wa Kulinda Data atalinda maelezo kuhusu Wakenya yanayohifadhiwa na kampuni za kubwa za kiteknolojia kama vile Facebook, Twitter

    AFISI mpya ya Kamishna wa Kulinda Data italinda maelezo kuhusu Wakenya yanayohifadhiwa na kampuni za kubwa za kiteknolojia kama vile Facebook, Twitter na Google, Immaculate Kassait ambaye ameteuliwa kushikilia wadhifa huo amewahakikishia wabunge. Bi Kassait, ambaye kabla ya Rais Uhuru Kenyatta...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

    Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata. Kuna yeyote anapata tatizo kama langu? Natumia Mtandao wa Tigo PIA SOMA = >...
  14. HARAKATI ZOTE

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye akaunti yangu ya Facebook

    KAMA ULISHAWAHI KUKUTANA NA HILI TATIZO KILA UNAPO LOGIN NIAMBIE ULISOLVE VP? ASUBUHI NJEMA
  15. E

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake facebook ni matapeli

    Leo nikiwa naendelea kusafu FB, mara nikapokea ombi la urafiki kwa binti mmoja. Mara baada tu ya kumkubali maongezi yalikuwa hivi. Binti. Hi Mimi. Hi mambo Binti. Unapatikana wapi Mimi. Napatikana Dar Binti. Mimi napatikana Arusha ila nyumbani Dar. Mimi. Okay. gud Binti. Sikia basi nitumie elfu...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Facebook yashtakiwa tena ikituhumiwa kuingilia faragha za watumiaji wa Istagram kupitia kamera za simu

    Kampuni ya Facebook imeshtakiwa kwa tuhuma za kuwafuatilia watuamiaji wa Instagram kwa kutumia kamera za simu zao bila ridhaa ya watumiaji. Facebook imekanusha tuhuma hizo na kueleza kuwa kulikuwa na hitilafu ya programu (bug) ambayo inairekebisha. Imesema kuwa ‘bug’ hiyo ilikuwa ikitoa taarifa...
  17. Thesmartphone class

    JamiiForums Tanzania Jifunze kutangaza biashara yako na Facebook ads kupitia app ya simu yako

    Habarini wapendwa Kama kichwa Cha huu uzi kinavyojieleza kuhusu Facebook ads. Kwahivyo sisi tumeamua kukufundisha hii huduma kwa kupitia video zitakazo rushwa via WhatsApp messenger. Huduma itatolewa kwa gharama ya Tsh 1000/= na kutukua na full technical support. Napatika kwa WhatsApp no-...
  18. Kakke

    JamiiForums Tanzania ITV on Facebook naona kuna kitu

    Naona kuna wanakifanya kisomi sana, wanatupia nukuu za mh Magufuli za Kampeni ambazo zina ukakasi. Mfano mkichagua mpinzani mtajuta sileti maendeleo hapa. Nimefuatilia watu wanao komenti wapo very aggressive kwa Magufuli na 90% ya comments ni total Negative. Hii ina maana gani, kiuandishi ITV...
  19. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Citizen TV’s Victoria Rubadiri wins BBC World News Komla Dumor award

    Citizen TV’s Victoria Rubadiri wins BBC World News Komla Dumor award Citizen TV news anchor Victoria Rubadiri has been announced as the winner of the 2020 British Broadcasting Corporation (BBC) News Komla Dumor award. The win makes Ms Rubadiri the second Kenyan to win the award after her...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kuna sheria yoyote nikitaka kufanya live streaming kwenye Facebook?

    Habari wakuu. Nina mpango wa kufanya live streaming ya webcam kwenye Facebook. Kwa hapa Tanzania kuna sheria yoyote kuhusu hili ama natakiwa kupata kibali au kilipia chochote kama ilivyo kwa Youtube? Ahsanteni.
Back
Top Bottom