facebook

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Facebook yamfungia Trump hadi 2023

    Facebook imetangaza kumfungia aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump kutumia mitandao yake ambayo ni Facebook na Instagram hadi Januari 2023. Wamefikia hatua hiyo kwa madai kuwa Rais Trump alichochea ghasia zilizotokea Capito mnamo Januari 6, 2021. Aidha wamesema watakapomfungulia...
  2. Living Pablo

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau nahisi kuingiliwa kwenye Google account yangu

    Wadau habari za saa hizinatumai wazima wa afya kama kuna mgonjwa augue pole. Niende niende moja kwa moja kwenye mada yangu Ni hivi yaani kila nkiingia kwenye Gmail yangu upande wa social naona sms kibao kutoka Facebook ya mtu mwingine tena kila siku mwanzo nilikuwa nafuta nikiziona lakini now...
  3. Tanzanite Digital Agency

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-tangaza Biashara yako kwa Facebook (sponsered ads) - P.01

    Habari, I hope u mzima wa afya unavyopitia thread hii. na kama hauko poa, i pray urudi katika afya yako mapema. To cut the story short, Leo nitaelezea jinsi ya kutangaza biashara yako kwa Facebook ads (matangazo ya Facebook), kama haufahamu Facebook ads ni nini basi fanya hivi :- Fungua...
  4. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Intanet yarejea Ethiopia baada ya kuzuiwa mwishoni mwa juma

    Shirika linalofuatilia upatikanaji wa huduma ya intanet la NetBlocks limesema huduma ya intaneti kwa majukwaa ya Facebook, WhatsApp na Instagram imerudi nchini Ethiopia baada ya kukosekana mwishoni mwa juma. Taasisi ya Huduma za Habari ya Ethiopia na Kampuni inayomilikiwa na Serikali ya...
  5. Nyumbani Digital

    JamiiForums Tanzania Vitu muhimu zaidi unapaswa kuvifahamu Digital Marketing

    Habari wakuu, Natumai kila mmoja wetu yuko vizuri na tunaendelea kupambana katika ulimwengu wa biashara na ujasiriamali. Mada ya Leo inahusu kitu ambacho kina mchango mkubwa sana katika kuikuza biashara yako mwaka huu 2021. Haijalishi wewe ni mfanyabiashara mdogo, unauzia Insta tu au ni...
  6. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Facebook yaamua kutomfungulia Tump akaunti yake

    Facebook imeamua kutofungulia akaunti ya aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump baada ya kufungiwa kwa kudaiwa kuchochea vurugu katika Jengo la Bunge la Marekani Januari 6 mwaka huu. Uamuzi huo unafuata baada ya Kampuni hiyo kuifungia akaunti za Trump za Facebook na Instagram kwa muda wa saa...
  7. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania I m a computer Engineer but I can't even hack a facebook account

    Nimeanza kwa umombo kwa title hapo juu. Nina degree ya uhandisi katika hii fani pendwa.... Nilikuwa mtu wa Mungu Sana wakati napiga security. Sasa katika eneo la ku compromise Akaunti za watu niliona natenda Dhambi. Nawaza sana watu wanaodukuana. Mimi sinauwezo wa kuhack hata Akaunti ya...
  8. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania India kutafuta njia mbadala ya kufuatilia mawasiliano ya watumiaji wa WhatsApp

    Moja ya sababu zilizofanya mitandao ya kijamii kuaminiwa zaidi na watumiaji ni kutokana na hakikisho la usalama wa mawasiliano kwa kutumia mfumo wa msimbo fiche wa mwisho hadi mwisho (end-to-end encryption). Huu ni mfumo unaoficha ujumbe uliotumwa kutoka kwa mtumiaji mmoja ili usiweze kusomwa na...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Facebook yafungia akaunti ya Rais wa Venezuela kwa kupotosha kuhusu covid19

    Mtandao wa kijamii wa Facebook umeifunga akaunti ya Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro kwa kutoa taarifa za kupotosha kuhusu Virusi vya Corona Rais Madura alichapisha kwenye ukurasa wake video ambayo ilionesha aina fulani ya dawa ya asili inaweza kutibu Virusi vya Corona Imedaiwa kuaw hii si...
  10. chief_

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram ilitoweka hewani, yarejea tena (19/03/2021)

    Tupeane updates... Ni makampuni ya Facebook pekee au! Au wamefanya yao 'wazee' ===== Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram yatoweka hewani muda huu. Mtandao wa Facebook ambao ndio mmiliki wa mitandao hiyo hawajatoa taarifa yoyote kwa wateja wao mpaka sasa. ===== Baada ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nawezaje badili Facebook account yangu kuwa page?

    Naomba msaada nawezaje badili Facebook account ya kawaida iwe page bila kufungua page mpya. Nimejaribu sipati hiyo option, napata only option ya ku-create new page siwezi kubadili. Msaada wakuu
  12. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Facebook kuanzisha mradi wa kufundisha mfumo wake wa ufahamu bandia kwa kutumia video

    Kampuni ya Facebook imesema inaanzisha mradi wa kuifundisha mifumo yake kujifunza picha, video na sauti kutoka katika maudhui yaliyopo katika jukwaa lake. Mradi huo unaoitwa "Kujifunza Kutokana na Video" una lengo la kuufundisha mfumo wa Facebook wa ufahamu bandia (artificial intelligence...
  13. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Instagram Lite rasmi Afrika Mashariki

    Baada ya majaribio kadhaa sasa Facebook imeanzisha Instagram Lite rasmi Afrika Mashariki na takribani mataifa 170. Instagram Lite inakuja kama mtoto anayefuata baada ya Facebook Lite. Instagram Lite itachukua MB2 tu ya nafasi katika simu yako. Kupitia aplikesheni hii mpya utaweza kukomboa DATA...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kuset facebook (Instagram Ads)

    Msaada kuset facebook (Instagram Ads). Kama Una Uzoefu Katika kuset target facebooks ads & Instragram njoo Inbox Tuyajenge.
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Rais ashauriwa kuteua Digital Ambassador wa kushughulika na Facebook na mitandao mingine

    Facebook closure will not affect important things in Uganda- Museveni. President Museveni has said the limitation of access to Facebook will not affect the most important things from happening in Uganda. Kenneth Kazibwe by KENNETH KAZIBWE March 1, 2021 at 10:51 am. Facebook closure will not...
  16. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Unaishiwa bando haraka? Fahamu namna ya kudhibiti matumizi yako ya data mtandaoni

    Umeshawahi kuwa mhanga wa kifurushi chako kuisha kabla haujakusudia kiishe? Pengine umekuwa ukilalamika kuwa baadhi ya mitandao inakumalizia data zako, na hii inaweza kusababishwa na kutofahamu kiwango cha data kinachotumika kwa matumizi ya kawaida mtandaoni. Si rahisi kuweka makadirio ya moja...
  17. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania Appodeal kumaliza usumbufu wa Admob ads na facebook ads

    Wadau. Kama wewe ni developer au unamiliki application nafikiri utakuwa unasumbuka sana na tatizo la ama kupata matangazo ya facebook au admob. hata kama yakipatikan ni nadra sana kudumu kwa muda mrefu. mengi yanakuwa blocked . sasa hapa Appodeal wamekuja na suruhu ambapo wao ukijiunga nao...
  18. Kabelwa

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupunguza matumizi ya MB kwenye facebook

    Habari wanajamii nimetumia kwa muda mrefu hii application ya facebook lite sasa nimeona nijaribu kutumia hii nyingine facebook ingawa inachukua space kubwa. Sasa nimeshtushwa na ulaji wake wa bando maana linakwenda haraka mno ninaomba kama kuna anaefahamu namna ya kuseti ili isile bando sana...
  19. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania Do you need Social Media manager?

    It is no doubt that SOCIAL MEDIA is fast becoming a part of our everyday day lives. Currently, over 50% of the world's population use social media. With the rapid increase of active social media users, you should figure out that social media is for your brand/business. The big question is...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Facebook yawafungia watumiaji wa Australia

    Mtandao wa Facebook umewafungia watumiaji wa Australia ikiwa ni njia ya kupinga suala la Australia kutaka Facebook wawalipe watumiaji wake wanaochapisha habari mbalimbali nchini humo Australia ilizitaka kampuni mbili kubwa za mtandao, Facebook na Google kuwalipa wanaochapisha habari katika...
Back
Top Bottom