Kuna sheria yoyote nikitaka kufanya live streaming kwenye Facebook?

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,365
1,037
Habari wakuu.

Nina mpango wa kufanya live streaming ya webcam kwenye Facebook. Kwa hapa Tanzania kuna sheria yoyote kuhusu hili ama natakiwa kupata kibali au kilipia chochote kama ilivyo kwa Youtube? Ahsanteni.
 
Hakuna sheria onayozuia live streqming fb, ila tu usifanue live streaming ya kichochezi au ngono au current issues
 
Asante ila sijaelewa hapo kwenye current issues umemaanisha nini.
 
Actually nitatumia live webcam ya mtu mwingine. Yeye atanipa streaming key
Mimi namsaidia tu kupata viewers kupitia ukurasa wangu. Kama baadae tunaweza kufanya monetization hilo tutajua namna ya kwenda nalo.
 
Actually nitatumia live webcam ya mtu mwingine. Yeye atanipa streaming key
Uturusha kupitia Page/s, Group au Personal account?

Utatumia Facebook Live built in Stream au Software fulani?

Utahitaji kuwa ukichanganya picha (Mixing the Streams - kutokea angle tofauti au CAMs tofauti pia kushirikisha guest?

Mazingira ya urushaji ni kutokea eneo tengefu au mazingira ya aina gani?

Malengo ni kuwafikia vipi watu? / Tayari una base ya wafuasi au unatazamia kutengeneza wafuasi?

Vipi unatumia resources unahisi utarudisha vipi muda na gharama katika hilo?
 
1. Personal account
2. Sijawahi kufanya hii kitu lakini nilikuwa nimeangalia software inaitwa manycam (manycam.com) ila kama built-in feature ya fb inafaa basi nitatumia hiyo.
3. No
4. Eneo tengefu
5. Nina wafuasi zaidi ya 3000
6. Hapa sijaelewa. Resources zipi? Kila kitu ni juu yake. Cha kwangu ni page yangu ya fb tu.

Nitashukuru kwa msaada wa mawazo.
 
Oke,

1. Ni vyema kutumia Page, hii itakuwezesha kufanya autonomous leaks kuwezesha kuwafikia watazamaji wengi zaidi na wafuasi wapya kwa uwezo wake wa Reachs, Insight na Impressions ambazo baadae zitakusaidia kufanya Monetization (Kuanza kuingiza pesa).

• (B). Utumiaji wa Pages uambatane na kuwa na Social Media account kupitia Instagram Business, YouTube na Twitter kuweza kusambaza zaidi na kuwafikia watu wengi / kutoa taarifa na maarifa ya kipi kilichotokea, kinachoendelea na kipi kitafuata katika streaming zijazo.

2. Utumiaji CAMs si mzuri katika Live Streams ambazo sio ' Conference Mode ' pia utumiaji Self Built-In Live Encoder sio super advanced kuwezesha kufanya stream kwa ubunifu na makinika ya karne ya 21. Nashauri ufanye Live Streaming kwa kutumia software kadhaa;-

• (B). BeLive.com | www.belive.tv , Epiphan Webcaster X2 | www.epiphany.com , Grabyo | www.grabyo.com , Mevo | www.getmevo.com , SwitcherStudio | www.switcherstudio.com , OBS | obs.project au StreamYard | www.streamyard.com kwa uchache

Ningelipendekeza kutumia StreamYard maana itakupatia urahisi na ufanisi au OBS. Utumiaji wa encoder hizi utakuwezesha kutumia kamera au simu zaidi ya 1 na kufanya uchanganyaji picha kuwa wa aina yake.

4. Eneo tengefu hakikisha linaakisi urushaji wa maudhui husika, stream ikifanyika nyumbani zingatia muoneko wa sehemu husika kwa kuwezesha kung'amua mwanga zaidi na muonekano wa kimvuto.

• (B). Hakikisha unaongeza vifaa au mfumo wa mwanga katika eneo husika kuwezesha kupata muonekano maridhawa na uang'avu.

6. Live Streaming inautumiaji muda, data kubwa, unahusisha vifaa kama kamera, simu, tarakilishi, mifumo mwanga na cams coders huo uwekezaji lazima itakuwa vyema kufahamu unarudisha vipi gharama na kutengeneza faida! Either kwa kuzingatia consistency kuweza kufanya monetization au kutengeneza chapa itakayokuletea matunda pia.
 
Mkuu nashukuru sana kwa maelekezo yako na samahani kwa kutokujibu kwa wakati. Nitazingatia yote na nitakurudia tena kwa msaada zaidi. Thanks for your time and be blessed!
 
Back
Top Bottom