Bei ya petrol imepanda tena lini?

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,218
39,041
Habari ndugu.

Mara ya mwisho naingia filling station bei ya wese ilikua 2,405 karibu sheli zote. Leo nimeingia kujaza wese nakuta bei inasoma 2427 kuna ongezeko la Tshs 22. Nakumbuka jamaa pale sheli alinambia na bado bei itaendelea panda.

Tunakoelekea sahivi uchumi utadidimia na sio kukua. Sahv kila kitu kimepanda bei sio mafuta tu mpaka spare za magari, tyres nk.

Mungu ibariki TANZANIA
 
Mtu una ka IST unalalama hpa kupanda kwa bei ya petrol ungekua na range Kama zetu si ungejaza server za JF kwa siku 1
 
Ndo maana ulaya naona wanakimbizana kupiga vita magari ya mafuta ni mwendo wa magari ya umeme ...sasa sijui watu wenye mafuta wanataka kutukomoa maana si mda hayatakua dili tena.
 
Nipeni Muda Nikuze Kwanza Uchumi
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
😥😣😏🙄😶😑😐
 
Back
Top Bottom