eva

  1. T

    Je, ni mwanamke yupi alikuwa mke wa kwanza wa Adam kati ya Eva ama Lilith?

    Naomba kufahamu, kati ya Lilith na Eva ama Hawa ni nani alikua mke wa kwanza wa Adam. Biblia inasema Eva ndio mke wa Adam pekee na kwamba ametoka kwenye ubavu wake lakini vitabu vya kiyahudi vinasema Lilith ndio alikua mke wa kwanza wa Adam kabla hawajagombana na Adam kuachana. Kwa msingi huo...
  2. mtetezi wa MAGU

    Asali aliyolambishwa Mbowe na Rais Samia ni sawa aliyolambiswa Adam na Eva

    Kwa wale Wasomaji wa Biblia wanaungana na mimi, Eva alifanikiwa kumshawishi Adam hata akatenda kile ambacho alikatazwa kukifanya, maneno matamu Eva (ASALI) yalimshawishi Adam kutokumtii Mwenyezi Mungu nakujikuta ameanguka dhambini. Lakini Pia Delila alifanikiwa kumshawishi na ASALI Samson...
  3. S

    Mpaka sasa hakuna mwanaume aliyevunja rekodi ya mahari ya Adamu kwa Eva

    Adam ndiye mwanaume aliyeoa kwa mahari kubwa kuliko mwanaume mwingine yeyote tangu dunia kuumbwa. Imagine alitoa mbavu zake ili kumpata Eva! Halafu hawa "ng'ombe" wa siku hizi wakipangiwa mahari ya milioni 5 tu wanalalamika utadhani wamekatwa kichwa. Hakuna wanaume siku hizi.
  4. Pascal Mayalla

    Kumbe Shetani Alikuwa Mwandishi wa Habari!, na Alichomfanya Eva Bustani ya Eden ni Uandishi wa Habari?- Je Media Tuombwe Msamaha Kuitwa Shetani au?

    Wanabodi Declaration of Interest Mimi ni Mkristu Mkatoliki, ila mara moja moja huwa nahudhuria mafundisho katika madhehebu mbalimbali, ikiwemo Lutheran, Anglican, Makanisa ya Wokovu, na kwa wachungaji mbalimbali akiwemo Nabii Mwingira, Askofu Kakobe, Mzee wa Upako, Mwamposa, Assemblies of God...
  5. KENZY

    Tusiwalaumu sana Adam na Eva

    Hiyo couple ya awali tusiilaumu sana kwa kula lile tunda!,laiti wasingekula wao naimani kabisa kuna mwamba huko na pisi kali yake wangekula tu!.. just jiangalie hata we mwenyewe na huyo partner wako tu msingekula kweli..😃 By the way alieanza kula ni eva akafata Adam unafikiri nini kama Adam...
  6. Championship

    Kwanini Eva hakushtuka alipoanza kusemeshwa na nyoka pale bustani ya Eden?

    Ni kwamba kipindi hicho wanyama walikuwa wanaongea au? Kama sivyo, kwanini huyo bibi yetu hakushtuka na kukimbia kwa Adamu kuomba msaada?
  7. Lole Gwakisa

    Adam wa kiafrika mbele ya Eva, atapona?

    Huyu Adamu wa kiafrika atapona kweli? Tunda lazima liliwe.
  8. Mycle255

    Hawa, Eva, Eve ni nani?

    "NANI ATASIMULIA HADITHI YA SHETANI BAADA YA KUSIKIA UPANDE WA MUNGU?" MIMI NIPO TAYARI KUSIMULIA, NITAANZA NA HAWA (EVA,EVE), NYOKA (The Divine Serpent) NA KUMALIZIA DHAMBI YA ASILI (Original Sin) SEHEMU YA KWANZA: Kwa takriban miaka 1,400 hadi 2,500, mamilioni ya Wakristo, Wayahudi na...
  9. Da Vinci XV

    Box la pandora na Eva wa Adamu

    PANDORA BOX Nlipata kueleza machache kati mengi kuhusu MEDUSA katika nyuzi yangu moja, uzuri wengi wetu MYTH hizi tunazifahamu aidha Tumezisoma na kuhadithiwa au Tumeziona katika movie mbalimbali Ushawahi kuliskia Sanduku la Pandora (box of Pandora) naam ama kwa hakikia Jibu ni Ndiyo...
  10. KENZY

    Adam kakutana na akina Eva!

    Sijui jamaa alikosea wapi!! But ahsante kwa huyo mwenye nyeusi kwa kufanya wepesi baharia akachoropoka kwenye kisago cha akina dada katili..😂 Dada zetu na nyie kuweni na huruma..😜
Back
Top Bottom