ethiopia

  1. JamiiForums Tanzania Sudan yafunga mpaka wake na Ethiopia kutokana na mapigano yanayoendelea Tigray

    Sudan imeamua kufunga mpaka wake na Ethiopia baada ya mvutano kati ya serikali ya shirikisho na utawala wa mkoa wa Tigray. Kulingana na shirika rasmi la habari la Sudan, Fethurrahman al-Emin, gavana wa jimbo la Kesele kwenye mpaka wa Eritrea na Ethiopia, amesema kwamba baada ya mapigano huko...
  2. JamiiForums Tanzania Ethiopia yatangaza hali ya hatari katika jimbo la Kaskazini la Tigaray

    Serikali ya Ethiopia imetangaza hali ya hatari katika jimbo la Kaskazini la Tigaray baada ya Waziri Mkuu wa taifa hilo, Abiy Ahmed kulaumu Serikali ya majimbo inayoongozwa na upinzani kushambulia vikosi vya Jeshi vya serikali. Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu inasema kuwa matukio ya vurugu...
  3. JamiiForums Tanzania “Bwawa la Ethiopia litalipuliwa”Donald Trump

    Donald Trump awaonya Ethiopia bwawa la nchi hiyo litalipuliwa na Misri, akizungumza na Waziri Mkuu wa Sudan , Trump amekaririwa akisema Misri italipuwa bwawa hilo kutokana na Ethiopia kukataa ushauri wake pindi alipokuwa msuluhishaji wa mgogoro huo
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya vs Ethiopia, Kenya vs Tanzania

    Kenya vs Ethiopia Kenya vs Tanzania Ethiopia sio mchezo, lakini TZ tunakanyaga kama kawaida.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jiulize; Ethiopia wana Dreamliner zaidi ya 20, SGR, barabara nzuri, flyover nyingi, lakini bado watu wake wanafia kwenye malori wakizamia Bondeni!

    Ni afadhali CCM wameamua kukaa kimya kuhusu kujisifia kwamba wameleta maendeleo nchini sijui wamenunua Dreamliner mbili, wamejenga flyover Tazara na nyingine Ubngo kwa hiyo wameleta maendeleo Tanzania, na hiyo iwe sababu ya kuwachagua tena. Maendeleo kwa ajili ya nani? Bibi yangu kule kwetu...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia yajiandaa kutupia chombo angani kwa mara ya pili - huyu ndiye jirani

    Hadi hapo ni mataifa machache Afrika yaliyofaulu kutupia satellite, Kenya kama kawaida ikiwemo, Ethiopia wanajiandaa kutupia chombo cha pili, huyu jirani anayejitahidi sana sio mzembe mzembe..... ----------------------------------- Ethiopia is in the final stages of launching its second...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia sasa ni nchi ya pili Afrika kwa ku-export maua. Kenya bado ni ya kwanza

    Watanzania fulani humu hupenda kusema kuwa Tanzania inaexport maua kwa wingi kushinda Kenya. Ukweli usiopingika ni kuwa Kenya ni ya kwanza Afrika kwa wingi wa kuexport maua. Kumbe hata nchi kame kama Ethiopia pia inaexport maua kwa wingi kushinda walazy wa kusini? Wabongo tusiwahi bishana tena...
  8. JamiiForums Tanzania Ethiopia kutoa bure maelfu ya mikate kwa wakazi wa Addis Ababa

    Mamlaka katika Mji Mkuu wa Addis Ababa,Ethiopia unapanga kutoa bure maelfu ya mikate kwa wakazi kama sehemu ya sherehe za kuadhimisha mwaka mpya wa Ethiopia 2013. Ruzuku hiyo ya siku moja itakayotolewa Jumatatu ya tarehe saba Septemba, itakuwa mwanzo wa siku tano za sherehe za kuadhimisha mwezi...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vita vya GDP Afrika Mashariki ni Kati ya Kenya, Ethiopia na Tanzania tangu 1980. Nafasi ya kwanza inaeza nyakuliwa na nchi hizi tatu

    Mabadiliko haya ya kiuchumi yakitazamwa na mabadiliko ya kihistoria na uongozi yanaweza kutuonyesha ni kitu gani kinaweza kusababisha uchumi kuimarika au kusambaratika.
  10. JamiiForums Tanzania 1981 Israel Raid on the Reactor: Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa la umeme huko Ethiopia?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa kubwa la kuzalishia umeme...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania iwe upande gani Kama Ethiopia na Misri zinapigania maji ya mto Nile?

    Ethiopia Ni chanzo kikuu Cha maji ya mto Nile, pamoja na Uganda na Tanzania kwa kiasi fulani. Misri na Sudan Ni nchi ambazo zinategemea maji ya mto Nile kwa kunywa, matumizi ya nyumbani, kilimo, ufugaji na viwanda. Vita kamili inanukia Kati ya Ethiopia na Misri kupigana kwaajili ya matuzi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Ethiopia Starts Filling Grand Renaissance Dam

    ADDIS ABABA (Reuters) - Ethiopia has started filling the Grand Renaissance dam, a giant hydroelectric project it is building on the Blue Nile, its water minister said on Wednesday, a day after talks with Sudan and Egypt on the issue became deadlocked. “The construction of the dam and the...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania has what it takes to be ‘African economic giant'

    East Africa’s sleeping giant is finally awakening. Right in the middle of the global Corona virus pandemic, Tanzania has provided a rare piece of good news — on 1 July 2020, the country achieved its middle-income vision five years ahead of schedule. As a coastal economy bordering eight...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya vs Tanzania vs Ethiopia statistics

    This video compares some of the countries in Eastern Africa using their GDP Nominal, GDP Per Capita and their total Population. This video is based on data gotten from World bank, Imf and Wikipedia from 1960 to 2020.
  15. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mungu: Kijana ataka kuzamia Ulaya kwa kujificha kwenye injini ya ndege

    Hapa ni Mungu tu aliyemuokoa huyu dogo. Sisi tuliosoma Physics japo ya St. Kayumba tunajua nini kingemkuta huyu dogo baada ya Injini kuwashwa. Kwa kifupi hata unywele wasingeambulia ndugu zake.
  16. JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 12 aokolewa na Simba baada ya kutekwa kwa lengo la kuozwa kinguvu nchini Ethiopia

    Wanaume wapatao 7 walivamia nyumba moja katika kijiji kimoja nchini Ethiopia na kumkwapua binti wa miaka 12 ambapo mmoja wa watekaji alitaka kumuoa bila ridhaa yake wala kibali cha wazazi wake. Walipokuwa njiani wanaenda naye kwao huku wakimburuza kwa nguvu na kumpiga huku akilia walikutana na...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Apparently COW Ethiopia's Army has tried to shoot down another Kenyan aircraft in Somalia

    Ethiopian Troops In Somalia Shoot At Another Kenyan Plane Another Kenyan plane was shot at today allegedly by Ethiopian troops in Qansahdere, Bay Region in Somalia, sources have told Kahawa Tungu. The plane was carrying humanitarian aid when it caught fire mid-air after the shooting. Photos...
  18. JamiiForums Tanzania Sanamu ya Mwl. Nyerere kujengwa katika Makao makuu ya Umoja wa Afrika, Ethiopia

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inaratibu ujenzi wa Sanamu ya Mwalimu Julius Kamabarage Nyerere katika viwanja vya jengo la Amani na Ulinzi la Julius Nyerere lililopo katika Makao Makuu ya Umoja wa...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia imepima watu 842 kwa masaa ishirini na nne na kugundua kesi 4 za covid19 : 17th April

    96 cases total
  20. JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia amerudishwa nyumbani kwa tuhuma za Upotevu wa Fedha Ubalozini

    Nimemsikia Mh Rais leo alipokua anapokea ripoti ya CAG na TAKUKURU huko chamwino Dodoma akisema amemrudisha nyumbani balozi wa Tanzania nchini Ethiopia kupisha uchunguzi wa upotevu mkubwa wa fedha Utafiti unaonyesha balozi huyu ni mama Naimi Hamza Azizi Na suala hili lilianza kuchunguzwa tangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…