Wa Tigray Ethiopia wana kila haki ya kujitenga, ni kama Catalonia, White People wa South Africa

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Watu wa Tigray Ethiopia ni 6 % ya Waethiopia wote zaidi ya milioni 80,

Lakini ndiyo wanaoIOngoza Ethiopia kwenye kila sekta, Uchumi wote wa Ethiopia uko chini ya Watu wa Jamii ya Tigray , hii economic miracle ya Ethiopia tunayooishuhudia ni sababu ya Tigray people

Kiongozi Meles Zenawi (1955-2012 ) alikuwa ni Tigray, Maelite karibia wote wa Ethiopia wanatoka Tigray region hata Top Boss wa WHO Tedros Adhanom ni mtigray, kwa kifupi Ethiopia bila ya Tigray people hakuna kitu na hawa ni 6% tu ya population ya Ethiopia

Ni watu tofauti wana utamaduni wao tofauti, wanathamini kazi, uaminifu na kujituma na wamejenga ustaarabu ambao umesimama hivyo wanarudhishwa nyuma na the rest of Ethiopia na wana kila haki ya kujitenga kwani peke yao watafika mbali sana, wana higher IQ kuliko the rest of Ethiopia, hivyo hawawezi kuishi pamoja kwani wako tofauti.

Hivyo binafsi nawaunga mkono kama ninvyounga mkono watu wa Katalonia (Barcelona) kujitenga na the rest of Spain, Wakatalonia ndiyo wanaobeba uchumi karibia wote wa Uhispania bila ya Katalonia Spain ni third world country, vivyo hivyo ningependekeza pia White People Afrika Kusini wapewe Jimbo lao wenyewe kwani wako tofauti kiutamaduni na the rest of Afrika Kusini

Sasa hivi ni kama wanalazimishwa kuishi kwenye jamii ambayo wako tofauti nayo na wanarudishwa nyuma tu, By The Way ukisikia Wahabeshi ndio Tigray people
 
Kule Nigeria,Kuna kabila linaitwa Ibo,Hawa wanaitwa black jews,ni wajasiliamali sana.
Ukija bongo,wapo wakwe zangu Wachaga,Hawa pia wanaijua shilingi,na wengine Kama wahaya,
Lakini aimaniishi jamii zingine zote ni vilaza,
Diamond,babu tale,mkubwa fela,Freddy vunja bei sio Wachaga,wahaya,
Bakhressa sio mchaga,Wala muhaya,zipo jamii nyingi tu,zinakosa fulsa kutokana na historia,
Mackzuckerberg,sio kwamba ana akili kuriko vijana wa kibongo wanaosoma IT,hivyo hivyo sio kwamba weupe wa SA Wana akili sana kuriko weusi,zipo sababu za kihistoria,
Wapo weusi wengi tu,wenye akili.
Dangote sio mzungu,
 
Unajua zaman kabla sjapanuka kifikira,nilikuwa nashangaa nchi kugomea kasehemu kake kanakotaka kujitenga,iko hv uksharuhusu sehemu moja Kuna pimbi wengine wataiga na wataanzisha vuguvugu la kujitenga,hvyo hairuhusiwi mtapgana mpaka wanajesh wote waishe lakin hawatofanikiwa
 
Watu wa Tigray Ethiopia ni 6 % ya Waethiopia wote zaidi ya milioni 80,

Lakini ndiyo wanaoIOngoza Ethiopia kwenye kila sekta, Uchumi wote wa Ethiopia uko chini ya Watu wa Jamii ya Tigray , hii economic miracle ya Ethiopia tunayooishuhudia ni sababu ya Tigray people

Kiongozi Meles Zenawi (1955-2012 ) alikuwa ni Tigray, Maelite karibia wote wa Ethiopia wanatoka Tigray region hata Top Boss wa WHO Tedros Adhanom ni mtigray, kwa kifupi Ethiopia bila ya Tigray people hakuna kitu na hawa ni 6% tu ya population ya Ethiopia

Ni watu tofauti wana utamaduni wao tofauti, wanathamini kazi, uaminifu na kujituma na wamejenga ustaarabu ambao umesimama hivyo wanarudhishwa nyuma na the rest of Ethiopia na wana kila haki ya kujitenga kwani peke yao watafika mbali sana, wana higher IQ kuliko the rest of Ethiopia, hivyo hawawezi kuishi pamoja kwani wako tofauti.

Hivyo binafsi nawaunga mkono kama ninvyounga mkono watu wa Katalonia (Barcelona) kujitenga na the rest of Spain, Wakatalonia ndiyo wanaobeba uchumi karibia wote wa Uhispania bila ya Katalonia Spain ni third world country, vivyo hivyo ningependekeza pia White People Afrika Kusini wapewe Jimbo lao wenyewe kwani wako tofauti kiutamaduni na the rest of Afrika Kusini

Sasa hivi ni kama wanalazimishwa kuishi kwenye jamii ambayo wako tofauti nayo na wanarudishwa nyuma tu, By The Way ukisikia Wahabeshi ndio Tigray people
Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Hao wajinga 80% na hao 6% interlectuals kwa umoja wao ndio wanaitengeneza nchi ya Ethiopia.
 
Kuna jamaa anavyoijenga Kanda ya ziwa kwa upendeleo, ipo siku watu wa kanda ya ziwa wataanza kujihisi kama raia wa Tigray pale itakapotokea amekuja rais anayejua ku balance shobo, nyie endeleeni tu kupendeleana na kujazana kwenye nafasi nyeti serikali mkiamini kanda ya ziwa itatawala milele.
 
Hilo ni gumu kutokea kwa maana watu waishio Kanda ya ziwa siyo wamoja, hivyo hawawezi kutaka kujitenga kwanza wenyewe kwa wenyewe wanaweza kuanza kupingana, hawana lugha moja, hawana Utamaduni mmoja hata mifumo yao ya maisha ni tofauti na isitoshe hawajawahi kuwa nchi kabla ya uasisi wa Tanzania, sasa huo umoja wa kujitenga utatokea wapi ?
Kila jambo huwa lina mwanzo , hata Tanzania kama taifa halikuwepo kabla ya mwaka 1961 au kabla ya wakoloni
 
Kanda ya Ziwa watajenga kwa kutumia kigezo gani ? Hawajahi kuwa nchi au jamii moja sasa kipi kitawaunganisha kama hata Lugha moja hawana ?
Tanganyika au Tanzania iliwahi kuwa nchi moja ?
Au watz waliwahi lini kuwa jamii moja kabla ya kuunganishwa chini ya utawala wa kikoloni

Kama issue ni lugha , wataunganishwa na Kiswahili
 
Watu wa Tigray Ethiopia ni 6 % ya Waethiopia wote zaidi ya milioni 80,

Lakini ndiyo wanaoIOngoza Ethiopia kwenye kila sekta, Uchumi wote wa Ethiopia uko chini ya Watu wa Jamii ya Tigray , hii economic miracle ya Ethiopia tunayooishuhudia ni sababu ya Tigray people

Kiongozi Meles Zenawi (1955-2012 ) alikuwa ni Tigray, Maelite karibia wote wa Ethiopia wanatoka Tigray region hata Top Boss wa WHO Tedros Adhanom ni mtigray, kwa kifupi Ethiopia bila ya Tigray people hakuna kitu na hawa ni 6% tu ya population ya Ethiopia

Ni watu tofauti wana utamaduni wao tofauti, wanathamini kazi, uaminifu na kujituma na wamejenga ustaarabu ambao umesimama hivyo wanarudhishwa nyuma na the rest of Ethiopia na wana kila haki ya kujitenga kwani peke yao watafika mbali sana, wana higher IQ kuliko the rest of Ethiopia, hivyo hawawezi kuishi pamoja kwani wako tofauti.

Hivyo binafsi nawaunga mkono kama ninvyounga mkono watu wa Katalonia (Barcelona) kujitenga na the rest of Spain, Wakatalonia ndiyo wanaobeba uchumi karibia wote wa Uhispania bila ya Katalonia Spain ni third world country, vivyo hivyo ningependekeza pia White People Afrika Kusini wapewe Jimbo lao wenyewe kwani wako tofauti kiutamaduni na the rest of Afrika Kusini

Sasa hivi ni kama wanalazimishwa kuishi kwenye jamii ambayo wako tofauti nayo na wanarudishwa nyuma tu, By The Way ukisikia Wahabeshi ndio Tigray people
Mkuu inaonekana we ni mbaguzi saana Mana dhambi ya ubaguzi ni Kama kula nyama ya mtu na ipo siku utakuja hapa kazkazini wajitenge
 
Kule Nigeria,Kuna kabila linaitwa Ibo,Hawa wanaitwa black jews,ni wajasiliamali sana.
Ukija bongo,wapo wakwe zangu Wachaga,Hawa pia wanaijua shilingi,na wengine Kama wahaya,
Lakini aimaniishi jamii zingine zote ni vilaza,
Diamond,babu tale,mkubwa fela,Freddy vunja bei sio Wachaga,wahaya,
Bakhressa sio mchaga,Wala muhaya,zipo jamii nyingi tu,zinakosa fulsa kutokana na historia,
Mackzuckerberg,sio kwamba ana akili kuriko vijana wa kibongo wanaosoma IT,hivyo hivyo sio kwamba weupe wa SA Wana akili sana kuriko weusi,zipo sababu za kihistoria,
Wapo weusi wengi tu,wenye akili.
Dangote sio mzungu,

Ningeshangaa kama Wachagga tusingetajwa humu na vyasaka.
 
Nafikiri labda haujaelewa mada yangu inahusu nini au labda tunaongelea vitu tofauti, Tanzania iliundwa kwa nguvu na watu wa nje na haikuwepo mwanzoni, uliona wapi watu wa aina moja wasio kuwa na Lugha moja ? Huo umoja wao unatokea wapi ?
Unajitoa ufahamu tu kutaka kutouelewa mfano wangu
 
Back
Top Bottom