ess

S, or s, is the nineteenth letter of the Latin alphabet, used in the modern English alphabet, the alphabets of other western European languages and others worldwide. Its name in English is ess (pronounced ), plural esses.

View More On Wikipedia.org
  1. V

    JamiiForums Tanzania Kuhama kituo cha kazi kupitia mfumo wa ESS

    Wadau naomba kuuliza kama boss wangu hataki kunipitishia barua katika mfumo wa ESS naenda wapi kutoa malalamiko katika mfumo mana utumishi kwa sasa kila kitu lazima ESS na barua yangu imekwama kwake nasema hapitishi sasa ivi imeenda siku ya 7 ipo kwako
  2. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa ....

    Habari wa ndugu .... Iko hivi ... Nilipata ruhusa ya kwenda chuo nje ya nchi ila mkurugenzi wangu aligoma kunisainia barua. Nikaondoka bila ruhusa yake. Nikiwa huko masomoni nikapigwa SP ""Stop Pay"" sababu ni kuondoka kwenye kituo cha kazi bila ruhusa. Nikapambana kwa kumbembeleza mwajiri...
  3. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania ESS kunani mbona haifunguki

    ESS haifunguki Leo kutwa nzima Kuna Shida gani..?
  4. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwenye ess kuomba mkopo

    Nikifika hatua ya mwisho napata ujumbe huu, na nimefanya kila kitu kujaribujaribu bado ujumbe ni ule ule Nimewasiliana na benk wanaelekeza na nafanya marekebisho wapi. Nionacho wataalaam wa IT wanisaidie hili jambo
  5. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa ESS hautambui changamoto za kiutumishi katika ombi la uhamisho

    Tangu kuletwa kwa mfumo huu umekua kikwazo na kero zaidi kwa watumishi kuomba uhamisho. Mfumo huu umetumiwa kuminya haki ya uhamisho kwa watumishi waumma. Mbaya zaidi mfumo hautambui changamoto za watumishi katika kuomba uhamisho mfano,ugonjwa,mazingira hatarishi au ndoa. Hali hii inapelekea...
  6. K

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa ESS kwa watumishi

    Mimi ni mojawapo ya mtumishi ambae nimeathiriwa na mfumo huu wa ESS katika upandishaji wa madaraja. Nimejaribu kufatilia je, ni sehemu gani sijaenda sawa hata sioni ninaandaa azimio la kazi ninaandaa andalio la somo ninasaini log book. Ninaandaa zana za kufundishia, ninasaini class journal...
  7. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rushwa Million 5 Hadi 7 Uhamisho kwenda Kituo Kingine Wizara Ya Afya-port Health, Maombi Kupitia Ess Hayazingatiwi, Wanaomba Rushwa Kujinufaisha

    Rushwa Rushwa Rushwa!! Maafisa Rasilimali Watu, Makatibu wa Afya na viongozi waandamizi Ofisi ya Katibu Mkuu na Porthealth wanachukua Rushwa (Million 5 hadi 7) kuhamisha watu vituo, ilihali ukiomba kupitia mfumo maombi hayapitishwi kwa wakati na wanayapuuzia, ila wanakujengea mazingira ya kutoa...
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Watumishi mnaopanda madaraja poleni Kwa kuonewa na mfumo ESS

    Wale ambao hamjapanda madaraja poleni mfumo wa ESS umetumika kuwaumiza hela za kuwapandisha hakuna kwahiyo k8gezo Cha ess kimetumika kama fimbo Kwa wale ambao hamjafikisha asilimia. Source mnyetishaji
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma ya kuuza na kununua madeni ya mikopo ya Watumishi katika mfumo wa ESS, iruhusiwe

    Jambo la kushangaza ni kuwa mfumo wa ESS unashindwa kutuhudumia upande wakuuza mikopo, uhuru wa kuchagua benki ni wa wazi na riba zinaonekana, tunaiomba Serikali imalizie ama i-activate mfumo wa kuuza na kununua madeni (loan takeover). Tunajua ni njama za benki zinaogopa kupoteza wateja, hivyo...
  10. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali okoeni watumishi kwenye mikopo kupitia ESS, wengi hawana uelewa wa hii mikopo. Riba mpaka 40%

    Salaam! Kuleta mfumo wa ESS ni jambo zuri hasa katika uombaji wa mikopo binafsi. Tatizo lililopo, watumishi wengi hawana uelewa wa athari za hii mikopo, maana imefikia mpaka 40% ya riba. Unakopa 16M, unapewa 14M then unalipa 70M wao wanapata 50M+ Serikali kupitia Utumishi, mmesajili taasisi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kama serikali imeshindwa kuendesha mfumo wa ESS , bora waufute au kuwe na mbadala in case mfumo unafeli

    Huu mfumo japo umekuja na mazuri, lakini kwa sasa unageuka kero kwa Watumishi kwa baadhi ya huduma kutopatikana leo ikiwa ni siku ya 2 mfululizo. Mimi nashauri waufute huu mfumo au kuwe na mbadala pale mfumo huu unapofeli kwani unakwamisha sana mambo ya watu na kwa sasa unageuka kero badala ya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya mfumo wa ESS kwa watumishi wa Umma, nani awajibishwe?

    Mfumo wa ESS kwa watumishi wa Umma umekua na changamoto za mara kwa mara ..mara nyingi unakua down,je wanao simamia au walioleta huu mfumo hawakujua unyeti wa hili wanalo anzisha ? Hawakujua kuwa mfumo unapaswa kuwa bora sana kuliko ulivyo sasa .. Kumbuka huu mfumo ndio unaonesha uwajibikaji...
  13. Meddy MD

    JamiiForums Tanzania ESS Portal challenges

    Nilikuwa naaply loan kwenye mfumo wa ess lakini sijafanikiwa kusubmit kwa FSB nikiwa nimejaribu zaidi na zaidi ila alifanikiwa kuletewa code ili niendelee. Shida itakuwa nini wakuu? Naomba kusaidiwa
  14. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Mfuno wa ESS kwenye simu

    ....Wakuu nimejaribu kuapply loan lakini natumia simu imekuja namna hiyo kwahiyo siwezi kuona kiasi gani napata na makato yake Ili niweze ku apply kila nikijaribu kusogeza nione mbele inagoma, hata ku rotate simu pia haitaki msaada nifanye Nini niweze kuona hapo MFUMO WA ESS KWA SIMU
  15. Kubwjing

    JamiiForums Tanzania ESS Utumishi kwanini hamruhusu Loan Take Over? Mnatutesa wengi

    Wasalaam Aleykhum Ndugu zangu Ebwana mfumo huu mzuri wa kiutumishi umerahisisha mambo mengi kwakweli. Sie tunafanya mambo mengi wenyewe popote bila kwenda kuweka foleni katika mabenki kote huko bara na hapa Zanzibar pia LAKINI Changamoto ipo Sasa nkiwa bara nilitaka kuhamisha ama kuuza mkopo...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma Usiombe mkopo ESS CRDB utajuta

    Kama unataka upate pesa ndani ya lisaa limoja omba NMB, nimewaombea wengi mkopo NMB yaani kama HR wako yuko chap ndani ya dk 5 ushapata mkopo. NBC ndani ya masaa 24 uhakika, Azania ndio benki bora zaidi, makato nafuu kuliko benki zote ila kidogo wako slow. Ila haivuki wiki unapata pesa . CRDB...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu utumishi, hamuoni ni kama kuhujumu HESLB kama mpaka leo mmeshindwa kuwezesha mfumo wa ESS kuuza madeni ya watumishi likiwemo la HESLB?

    ESS ni mfumo wa serikali unaoendeshwa na kusimamiwa na Ofisi ya Raisi Utumishi. Mfumo huu hutumika kwa mambo mengi ya kiutumishi yanaywahusu watumishi wa umma kama vile kufanya maombi ya likizo, uhamisho, kupats salary slip, n.k online. Pamoja na mambo mengine, mfumo huu pia umerahisha uomboji...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO NMB na ESS utumishi kuna nini kinaendelea?

    Kuna agenda gani kati ya NMB na mfumo wa ESS UTUMISHI katika suala la uuzaji mikopo? Maana watumishi waliokuwa na mikopo NMB wanashindwa kuuza mikopo yao (topup to another bank) bank nyingine, ikiwa baadhi ya watumishi ambao wanamikopo katika bank nyingine tofauti na NMB kwenye Mfumo wa ESS...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utapeli wa mikopo ya kausha damu kwa watumishi wapya kutoka Platinum Credit limited, na kutofanya kazi mfumo wa ESS kipengele cha kuuza mkopo

    Wasalamu Napenda kutoa kero yangu iliyonisibu na kuharibu maisha yangu kwa kiasi fulani. Na Ilichangizwa kwa namna moja na uelewa wangu mdogo kwenye masula ya mikopo kipindi hicho, Ila pia inachangizwa na watumishi wasio wazalendo kwa makusudi ( utafiti wangu) sekta ya fedha ( B.O.T) Na...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Mwenyekujua jinsi ya kutatua hii changamoto ya Mfumo wa ESS anisaidie

    Nina changamoto ya kutumia mfumo huu wa ess nimeomba mkopo crdb bank week mbili zilixopita ili kupata mkopo ila kila nikifikia stage ya ku submit code namba kwenda utumishi inagoma na kuandika something went wrong .naomba msaada wenu mwenye uelewa zaidi
Back
Top Bottom