Kuhama kituo cha kazi kupitia mfumo wa ESS

Vete

New Member
Joined
Jul 13, 2026
Posts
2
Reaction score
0
Wadau naomba kuuliza kama boss wangu hataki kunipitishia barua katika mfumo wa ESS naenda wapi kutoa malalamiko katika mfumo mana utumishi kwa sasa kila kitu lazima ESS na barua yangu imekwama kwake nasema hapitishi sasa ivi imeenda siku ya 7 ipo kwako
 
Sasa mkuu ushauriwa kwenda wapi ikiwa hujataka idara yako na msimamizi wako wa kazi?
 
Wadau naomba kuuliza kama boss wangu hataki kunipitishia barua katika mfumo wa ESS naenda wapi kutoa malalamiko katika mfumo mana utumishi kwa sasa kila kitu lazima ESS na barua yangu imekwama kwake nasema hapitishi sasa ivi imeenda siku ya 7 ipo kwako
Una muda gani kazini?
 
Duuh aisee.

Mfumo wa maombi umewekwa sasa hivi akikataa kupitisha linaondoka lenyewe. Hauhitaji barua yoyote unaomba moja kwa moja kwenye mfumo. Usijali mkuu utahama tu, miaka 17 kituo kimoja kwa kweli ni muda mrefu sana.​
 
Wadau naomba kuuliza kama boss wangu hataki kunipitishia barua katika mfumo wa ESS naenda wapi kutoa malalamiko katika mfumo mana utumishi kwa sasa kila kitu lazima ESS na barua yangu imekwama kwake nasema hapitishi sasa ivi imeenda siku ya 7 ipo kwako
Umejaribu kumuomba akupitishie au unalalamika tu bila kumpa taarifa muhusika, maana Kuna Maboss huingia kwenye mifumo kwa nadra sana
 
Back
Top Bottom