Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 3,067
- 5,510
Wasalaam Aleykhum Ndugu zangu
Ebwana mfumo huu mzuri wa kiutumishi umerahisisha mambo mengi kwakweli. Sie tunafanya mambo mengi wenyewe popote bila kwenda kuweka foleni katika mabenki kote huko bara na hapa Zanzibar pia
LAKINI Changamoto ipo
Sasa nkiwa bara nilitaka kuhamisha ama kuuza mkopo wangu kutoka benki moja na kuuhamishia katika benki nyingine inayopatikana kirahisi katika mazingira yangu
Hili zoezi nimeshindwa kulikamilisha kwasababu wahusika wa essutumishi hawajaruhusu jambo hilo kufanyika katika mfumo
Wapo wenzangu pia wapata shida hiyohiyo katika idara na ukienda katika mabenki wao wasema hawawezi kufanya hilo mpaka tufanye wenyewe online.
Mwatusaidieje?