ess

S, or s, is the nineteenth letter of the Latin alphabet, used in the modern English alphabet, the alphabets of other western European languages and others worldwide. Its name in English is ess (pronounced ), plural esses.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu utumishi, hamuoni ni kama kuhujumu HESLB kama mpaka leo mmeshindwa kuwezesha mfumo wa ESS kuuza madeni ya watumishi likiwemo la HESLB?

    ESS ni mfumo wa serikali unaoendeshwa na kusimamiwa na Ofisi ya Raisi Utumishi. Mfumo huu hutumika kwa mambo mengi ya kiutumishi yanaywahusu watumishi wa umma kama vile kufanya maombi ya likizo, uhamisho, kupats salary slip, n.k online. Pamoja na mambo mengine, mfumo huu pia umerahisha uomboji...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO NMB na ESS utumishi kuna nini kinaendelea?

    Kuna agenda gani kati ya NMB na mfumo wa ESS UTUMISHI katika suala la uuzaji mikopo? Maana watumishi waliokuwa na mikopo NMB wanashindwa kuuza mikopo yao (topup to another bank) bank nyingine, ikiwa baadhi ya watumishi ambao wanamikopo katika bank nyingine tofauti na NMB kwenye Mfumo wa ESS...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utapeli wa mikopo ya kausha damu kwa watumishi wapya kutoka Platinum Credit limited, na kutofanya kazi mfumo wa ESS kipengele cha kuuza mkopo

    Wasalamu Napenda kutoa kero yangu iliyonisibu na kuharibu maisha yangu kwa kiasi fulani. Na Ilichangizwa kwa namna moja na uelewa wangu mdogo kwenye masula ya mikopo kipindi hicho, Ila pia inachangizwa na watumishi wasio wazalendo kwa makusudi ( utafiti wangu) sekta ya fedha ( B.O.T) Na...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mwenyekujua jinsi ya kutatua hii changamoto ya Mfumo wa ESS anisaidie

    Nina changamoto ya kutumia mfumo huu wa ess nimeomba mkopo crdb bank week mbili zilixopita ili kupata mkopo ila kila nikifikia stage ya ku submit code namba kwenda utumishi inagoma na kuandika something went wrong .naomba msaada wenu mwenye uelewa zaidi
  5. Ahead

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wale wa mkopo ESS usijichanganye kuchukua mkopo Azania benki

    Hii benki imenirudisha enzi za ujima na analogy tulipokuwa tunasubiri mkopo wiki mbili mpaka tatu,yaani naenda siku ya tano, kila sehemu umetishwa na makato yameingizwa ila wao hawataki kunipa hela, watumishi wenzangu siku hizi mkopo unaweza kupata hata ndani ya masaa manne ilimradi wapitishaji...
  6. D

    JamiiForums Tanzania PBZ wananizingua; Kuna benki yoyote inayotoa mkopo 'online' (katika ESS) ndani ya siku mbili niwakimbie hawa?!!!

    Inakaribia wiki ya tatu Sasa nahangaika na hawa tu bila mafanikio. Mara huyo fsp (financial service provider) ali'reject' na kunitaka niongeze miezi (wakati mfumo umekubali). Nafanya hivyo anareject tena ananitaka nipunguze miezi. Mnyonge Hana kususa, narekebisha na kufanya alichosema hii Sasa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania ESS... E-loan shida ni nini!!?

    Nikiapply loan verification code sipati akati number ya simu ni sahihi na iliyopo kwenye profile tatizo ni mtandao au ni nini!?
  8. Outsiders

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za watumishi na taasisi za mikopo kwenye mfumo wa ESS

    Kumekuwa na changamoto kubwa sana pale mtumishi anapokopa kwenye ma-bank kama NMB,CRDB na taasisi zingine kupitia mfumo wa ESS,, Changamoto hizo ni kama ifuatavyo; 1. Mtumishi mwenye kipacho cha chini aliyekopa labda 20Mil,, anatakiwa rudisha riba 15Mil jumla anakua na deni la 35Mil kwa miaka 7...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Je serikali imeondoa kukopa kwa ESS?

    Wadau salam. Kipengele cha E Loan kwenye ESS,kimekuwa disabled ,ni muda sasa.Je serikali imeamua kuachana na mfumo huu na kurejea mfumo wa awali. Ni vyema serikalinikatoa tamko kuliko kukaa kimya.
  10. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania ESS ni janga kwa watumishi wa umma si msaada siku ya tano mfumo haupo hewani, na hakuna tarifa rasmi

    Pamoja na serikali kupambana katika kuboresha maslahi ya watumishi kuna huu mfumo unaitwa ESS unaoshughulikia mambo mbalimbali ya kiutumishi kwa watumishi aisee hiki ni kimeo tena kimeo kikubwa tu baada ya kupunguza migogoro sasa kinaongeza migogoro kwa mtumishi na mwajiri wake hasa serikali...
  11. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

    Ni balaa, Watumishi wanakimbizana huko na mikopo mpaka mfumo umesizi Nina wasi wasi na walimu ndio wamesababisha mfumo kufungwa maana Dah
  12. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utumishi, options za loan takeover na restructuring kwenye mfumo wa ESS utumishi hazifanyi kazi. Hata deni la HESLB mpaka leo haliuzikii!!!

    Huu mfumo wa ESS utumishi umekuja na mambo mengi mazuri kwa Watumishi wa umma kama vile ku- access mikopo online bila kulazimika kwenda benki, kuomba likizo online na mambo mengine ambayo kwa saaa yanafanyika online na kwa haraka zaidi tofauti na zamani. Hata hivyo, kuna jambo moja ambalo sasa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya Rais Utumishi ni kero kuhusu hamisho kwenye mfumo wa ESS

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano kupitia ofisi ya Rais- Utumishi ilianzisha mfumo wa ESS ambao umerahisisha shughuli nyingi za kiutumishi, moja ya suala lililorahisishwa ni ushughulikiwaji wa uhamisho wa Watumishi kwa njia ya mtandao. Cha ajabu ni kwamba Watumishi walioidhinishiwa hamisho zao na...
  14. komunisti

    JamiiForums Tanzania Taasisi za mikopo ESS

    Hivi naruhusiwa kuchukua mkopo kwa taasisi yoyote iliyoko ESS hata kama mkoani kwangu hakuna tawi lao?
  15. Trainee

    JamiiForums Tanzania KERO Benki na Serikali ziboreshe Mfumo wa Mkopo wa ESS wakati wa marejesho, unasumbua sana!

    Ukitaka kukopa ni mserereko tu huendi ofisi yoyote wala humpigii simu yoyote ila ngoma ni wakati wa kulipa hasa unapotaka kufanya mabadiliko ya malipo ya mkopo wako, huwezi ng'o! Benki hebu acheni hizo bana yaani kuna vitu hivi laiti mngewezesha Watu kujihudumia wenyewe kwenye Mfumo wa ESS...
  16. Mr Mjs

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi kwenye mfumo wa ESS ni kitendawili kisicho na mteguo

    Kuna jamaa yangu ameomba uhamisho wa kubadirishana kupitia kwenye mfumo wa ESS toka mwaka jana mwezi wa nne ila cha kushangaza hadi sasa status inasoma TAMISEMI na hakuna jibu na hajui ni lini ataweza kujibiwa. Ikumbukwe kuwa Serikali iliamua kuachana na Uhamisho wa manual na kuanzisha ufumo wa...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ESS: ujumbe huu una maana gani kwenye mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi

    Napata ujumbe huu "error initializing transfer request " Niliomba maombi ya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi , mwenzangu aka accept ombi then maombi yakatumwa kwa mkurugenzi na kuwa approved, baada ya hapo mfumo unataka nisubmit maombi nikiwa nimeambatanisha docs Nimefanya hivyo lakini...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka zishughulikie changamoto za Mfumo wa ESS, zinatusumbua Watumishi tunashindwa kujaza taarifa kwa wakati

    Kumekuwa na changamoto kwa takribani wiki moja sasa kwenye MFUMO wa ESS (Employee Self Service) kushindwa kupakia majukumu ya kiutumishi kwenye kipengele kilichomo ndani ya mfumo huo cha PEPMIS (Public Employee Performance Management Information System) bila kujua changamoto hizo zinatokana na...
  19. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tapeli anapigia Watumishi wa Umma na kuwaambia Taarifa zao Binafsi, anazitoa wapi? Mfumo wa ESS upo salama kweli?

    Mimi ni Mtumishi wa Umma, ninahofu na usalama wa Taarifa zangu binafsi na za Utumishi kutumiwa na watu wasio sahihi. Jumamne ya tarehe 3/12/2024 mtu mmoja mwenye namba 0768***684 ambaye baadaye nilibaini ni tapeli alijitambulisha kwamba ni Afisa Utumishi Mkoa wa Mwanza, alikuwa akiwapigia...
  20. Mgaratia Wa bongo

    JamiiForums Tanzania Error in retrieve partner's information in ESS

    Fail to retrieve partner's information in ESS transfer exchange request. Nini tatizo na jinsi ya kutatutua hii changamoto?
Back
Top Bottom