ess

S, or s, is the nineteenth letter of the Latin alphabet, used in the modern English alphabet, the alphabets of other western European languages and others worldwide. Its name in English is ess (pronounced ), plural esses.

View More On Wikipedia.org
  1. 1987SANAWA

    JamiiForums Tanzania Maafisa mikopo wa crdb hawajapenda mfumo wa ESS ambao unawapunguzia ulaji

    Habari wanajukwaa! Kuna mfumo wa watumishi wa umma unaitwa employee self service ess, kupitia mfumo huo watumishi hawahitaji kubeba nyaraka nyingi ili kukopeshwa mambo yanaishia online. Kutokana na maendeleo hayo maafisa mikopo hawajafurahi hivyo kuamua kukwamisha mikopo na kuwataka watumishi...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri.

    Wakuu..Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri. Hii ni changamoto kwa utumishi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Simbachawene ingilia kati mfumo wa ESS unakwamisha maisha ya Watumishi

    Kwa ujumla huu mfumo ni mzuri sana. Maana umeondoa ukiritimba wa maafisa utumishi kwa watumishi. Tatitizo kubwa ni kuwa sasa hivi watumishi wa umma wanatakiwa kutumia mfumo wa Ess kwa kufanya kila jambo linalowahusu. Kuanzia uhamisho, likizo, na hata appraisal. Lakini mpaka sasa huduma nyingi...
  4. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Mliofanikiwa kuhama taasisi moja kwenda nyingine kupitia ESS naomba msaada wenu

    Naombeni mnifahamishe utaratibu mliofanikiwa kuhama taasisi moja kwenda nyingine hapa inakuwaje.. Naona inakuja option ya kuchagua mikoa badala ya kuja orodha ya taasisi then nichague taasisi ninayoitaka/ninayoitaka kuhamia. Hapa panakuwaje wakuu..?
  5. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Watumishi mkifanikiwa kuhama kwa njia ya Mfumo wa ESS basi washuhudieni watu ili waache kuleta nyuzi za kulalamika humu

    Husika na mada tajwa hapo juu, Kwanza naipongeza serikali ya awamu ya 6 kwa kuleta huu mfumo wa uhamisho kwa Watumishi wa umma kwasabu umerahisisha huduma na kuondoa urasmu kwa Watumishi. Pili. Ni vema kwa wale ambao wanafanikiwa kuhama kwa njia ya Mfumo wa ESS basi wakawa wanawashuhudia...
  6. komunisti

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa hili la Mkopo kupitia mfumo wa ESS

    Habari wadau, Kuna mtu aliomba mkopo bank kupitia mfumo wa ESS. Lakini baadaye akaghairi akawasiliana na HR akacancel mkopo. Lakini leo benki wameweka hela kwenye akaunti,sasa je hii imekaaje hapo, mkopo utasomeka kwenye salary slip?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu humu ndani alishafanikiwa kupata uhamisho kupitia ESS. Je utumishi huchukua muda gani kuapprove?

    Msaada jamani. Sasa hivi kila kitu ni kupitia Esss. Mimi niliomba uhamisho. Na maombi yapo utumishi yanasubiri approl. Je huwa yanachukua muda gani? Mimi Mwl muuza Kangala
  8. maina23

    JamiiForums Tanzania Mnaodai ESS imeshabadili vyeo mpo nchi gani?

    Niende kwenye hoja. Nimekuwa busy kusubiri daraja jipya wiki 2 saaa. Kila saa naangalia Mfumo. Nilipanda mwaka 2021, Juni tarehe 1, kutoka E kwenda F. Sasa nasubiri kwa hamu...sasa zaidi presha niliyonayo naona wanaodai wameshaona tofauti kwenye profile ya mfumo. Je nyie watu sio...
Back
Top Bottom