Eti liverpool ndio bingwa wa EPL 2019/20? (msijidanganye)

kaka-blaza

Member
Nov 7, 2019
27
125
Habari wakuu.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni makosa makubwa sana kudhani kuwa eti liverpool tayari ameshakuwa bingwa mpya wa epl msimu huu..

Kwa navyomuona PEP na man city yake naona kama ndio aenda kuimarika zaidi kuliko msimu ulipokuwa unaanza.
kinachonipa wasiwasi kuona kama liverpool anaweza kuukosa tena huu ubingwa kwa mara nyingine tena kama ilivyokuwa mwaka jana na mwaka 2014 ni namna liverpool inavyoonekana kama wao wanaenda wanachoka hivi.

Nadhani watakuwa na kipindi fulani cha mpito hapa katikati ambacho kama man city watakitumia vizuri wanaweza kupunguza gape na kubaki alama kati ya 3 hadi 7 kitu ambacho kitampanikisha liver na kumpa nguvu city ambaye anaweza kufanya aliyoyafanya 2014 baada ya akina mr liverpool kuteleza mbele ya demba ba.

Tusiongee mengi uzi huu tutaukumbuka mwezi may 2020.
 
Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
1,079
2,000
Dah kumfunga leicester jana ndio unakuja na conclusion kabisa kuwa yeye n bingwa kumbuka Liverpool n klabu bora dunian kwa sasa wao hawaangalii mpira mzur kwao ushnd n kila kitu hata Jana kuna mpuuz aliitabiria kutochukua klabu bingwa dunia lakn sote tiliona nn kiltokea

Kwa sasa wachezaj wasLiverpool wanajua nn maana ya ubingwa wacheze VP ili washnde nakuhakikishia liver atabeba ndoo kabla ya mechi tatu za mwisho

#Liverpoolbabalao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gonamwitu

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
596
1,000

Kwa muda mrefu hii imekuwa ikimsumbua klop ndio maana gainali nyingi kapigwa but sasa hivi kajua acheze VP ili aweze kushinda kikombe na nfio maana sasa hivi anashonda tu vikombe
 
kaka-blaza

Member
Nov 7, 2019
27
125
Dah kumfunga leicester jana ndio unakuja na conclusion kabisa kuwa yeye n bingwa kumbuka Liverpool n klabu bora dunian kwa sasa wao hawaangalii mpira mzur kwao ushnd n kila kitu hata Jana kuna mpuuz aliitabiria kutochukua klabu bingwa dunia lakn sote tiliona nn kiltokea

Kwa sasa wachezaj wasLiverpool wanajua nn maana ya ubingwa wacheze VP ili washnde nakuhakikishia liver atabeba ndoo kabla ya mechi tatu za mwisho

#Liverpoolbabalao

Sent using Jamii Forums mobile app
tuombe uzima tu, tutakutana hapa mwezi mei. hii ni december
 
Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
7,866
2,000
Kuna mtu mlimpa jina Mungu, mnafikiri hiyo laana itawaacha salama? Labda iwe walishafanya maombi pale anfield na yale majivu yakakondolewa!otherwise mtabaki mkisema "you will never walk alone"
Dah kumfunga leicester jana ndio unakuja na conclusion kabisa kuwa yeye n bingwa kumbuka Liverpool n klabu bora dunian kwa sasa wao hawaangalii mpira mzur kwao ushnd n kila kitu hata Jana kuna mpuuz aliitabiria kutochukua klabu bingwa dunia lakn sote tiliona nn kiltokea

Kwa sasa wachezaj wasLiverpool wanajua nn maana ya ubingwa wacheze VP ili washnde nakuhakikishia liver atabeba ndoo kabla ya mechi tatu za mwisho

#Liverpoolbabalao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
7,613
2,000
Habari wakuu.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni makosa makubwa sana kudhani kuwa eti liverpool tayari ameshakuwa bingwa mpya wa epl msimu huu..

Kwa navyomuona PEP na man city yake naona kama ndio aenda kuimarika zaidi kuliko msimu ulipokuwa unaanza.
kinachonipa wasiwasi kuona kama liverpool anaweza kuukosa tena huu ubingwa kwa mara nyingine tena kama ilivyokuwa mwaka jana na mwaka 2014 ni namna liverpool inavyoonekana kama wao wanaenda wanachoka hivi.

Nadhani watakuwa na kipindi fulani cha mpito hapa katikati ambacho kama man city watakitumia vizuri wanaweza kupunguza gape na kubaki alama kati ya 3 hadi 7 kitu ambacho kitampanikisha liver na kumpa nguvu city ambaye anaweza kufanya aliyoyafanya 2014 baada ya akina mr liverpool kuteleza mbele ya demba ba.

Tusiongee mengi uzi huu tutaukumbuka mwezi may 2020.
https://www.jamiiforums.com/threads...ibaya-na-club-cha-flamingo-ya-brazil.1669546/
Mwenzio huyo, chizi kama wewe
 
bongonyoo

JF-Expert Member
Jun 29, 2019
493
500
Na utaumbuka kweli kwa kujitia sheikh yahya,we ishia kutabiri mvua
Habari wakuu.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni makosa makubwa sana kudhani kuwa eti liverpool tayari ameshakuwa bingwa mpya wa epl msimu huu..

Kwa navyomuona PEP na man city yake naona kama ndio aenda kuimarika zaidi kuliko msimu ulipokuwa unaanza.
kinachonipa wasiwasi kuona kama liverpool anaweza kuukosa tena huu ubingwa kwa mara nyingine tena kama ilivyokuwa mwaka jana na mwaka 2014 ni namna liverpool inavyoonekana kama wao wanaenda wanachoka hivi.

Nadhani watakuwa na kipindi fulani cha mpito hapa katikati ambacho kama man city watakitumia vizuri wanaweza kupunguza gape na kubaki alama kati ya 3 hadi 7 kitu ambacho kitampanikisha liver na kumpa nguvu city ambaye anaweza kufanya aliyoyafanya 2014 baada ya akina mr liverpool kuteleza mbele ya demba ba.

Tusiongee mengi uzi huu tutaukumbuka mwezi may 2020.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
famad

JF-Expert Member
Feb 19, 2019
243
500
Kuna mtu mlimpa jina Mungu, mnafikiri hiyo laana itawaacha salama? Labda iwe walishafanya maombi pale anfield na yale majivu yakakondolewa!otherwise mtabaki mkisema "you will never walk alone"
Na Man U sijui ndo inawaandama hio laana mana wanasema MAN U IS A RELIGION.
By the way mbana liverpool wanachukua makombe au umekusudia lipi ambalo lina laana hio. May 2019 walichukua UCL, august super cup na jana WC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom