Matumaini ya Aston Villa kusalia EPL yafufuka.

Mc PIPI

JF-Expert Member
Feb 25, 2020
319
428
Ukiangalia msimamo wa EPL mwaka huu Kuna dalili nzuri ya ASTON VILLA kusalia ligi kuu.
Nafasi ya:-
16.Westham -37 pts
17.Aston Villa-34 pts
18.Watford-34 pts
19.Bournemouth-31 pts
20.Norwich-21 pts

Sasa mechi za kufunga msimu ni:-
Arsenal vs Watford
Westham vs Aston Villa
Je, Watford atamfunga Asernal ili afikishe point 37 asalie ligi kuu na huku akimuombea Aston Villa Afungwe au atoe draw?
Ikitokea Watford akafungwa na Asernal na Aston Villa akapata hata draw tu bus hapo inakuwa chereko,vifijo na nderemo kwa Aston Villa kusalia EPL kwa msimu mwingine Tena.

Tusubiri na tuone maajabu ya mpira.
 
Kama Westham aki draw au akampiga man u ..itakuwa nafasi nzuri kwake maana gemu ya mwisho wagonga nyundo watacheza kwa kurilax ila AstonVilla bado ana kazi ya kufanya maana Watford hatoelewa...
 
Game ilishaisha hiyo.Arsenal ndiyo walioshikilia moyo wa Aston villa kwa sasa.
Arsenal kampa Aston villa point jana na atampigia Watford na game itaishia hapo.
Hata ulaya haya yapo ila yanafanyika kwa akili mno siyo wazi kivile.
Aston villa asingemfunga Arsenal jana na pia arsenal yupo na Fa zaidi kwenye ligi hana matumaini yoyote zaidi anashinda FA CUP mwaka huu na kuongeza timu ligi kuu UEFA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Westham aki draw au akampiga man u ..itakuwa nafasi nzuri kwake maana gemu ya mwisho wagonga nyundo watacheza kwa kurilax ila AstonVilla bado ana kazi ya kufanya maana Watford hatoelewa...
Man u akishinda game na westham anaingia top 4 anamshusha Leicester city na man hakosei hapo siioni sare ya man na westham.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii mechi itaisha kwa Astonvilla kushinda na mfungaji wa goli la Ushindi ni Mbwana . Ali samata .alafu comentatator. wataandika samata Aibakisha Astonvilla epl.
mwisho wa nukuu
 
Back
Top Bottom