Tangazo kwa Wamiliki wa Mali/Viwanja!
Kwa niaba ya mteja wetu, tunatafuta Eneo la kununua Masaki au Oysterbay, Dar es Salaam.
Ukubwa wa Eneo unapaswa kuwa 800sqm-1500sqm. Kiwango cha juu cha bajeti ya mteja Dola 800,000.
Kumbuka: Kiwanja kinapaswa kuwa na hati ya umiliki Safi. Toa maelezo...
Habari za majukum wanajamvi.
Ninahitaji huduma ya kupimiwa eneo langu ili ni process kupata hati ya kiwanja. Eneo lipo kibaha mkoa wa pwani. Any leads nitashukuru sana
Kama kichwa h'cha habari kinavyojieleza natafuta eneo goba Nina hicho kiasi Ili niweze kujenga Kwa mwenye eneo naomba tufanye biashara MODS: msihamishe huu Uzi tafadhali uacheni jukwaa hili hili
Tangazo kwa Wamiliki wa Mali/Viwanja!
Kwa niaba ya mteja wetu, tunatafuta viwanja 2 vya kununua Masaki au Oysterbay, Dar es Salaam.
Ukubwa wa kiwanja unapaswa kuwa 900sqm-2500sqm. Kiwango cha juu cha bajeti ya mteja USD 1M.
Kumbuka: Kiwanja kinapaswa kuwa na hati ya umiliki Safi. Toa...
Tangazo kwa Wamiliki wa Mali/Viwanja!
Kwa niaba ya mteja wetu, tunatafuta Kiwanja cha JV kilichopo Masaki au Oysterbay, Dar es Salaam.
Mahitaji ya mteja:
-Ukubwa wa kiwanja uwe 2000sqm-4000sqm upeo.
-Masharti 30%/70%.
-Mmiliki anapaswa kuwa tayari kwa maendeleo ya Villa(Villa development)...
Afisa Uhusiano wa Coca-Cola Kwanza, Maria Kimwaga, kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Emmanuel J. Mkongwa, wakati wa makabidhiano rasmi ya eneo la Stendi ya Msamvu kwa Kampuni hiyo.
Hafla ya makabidhiano ya eneo hilo ilifanyika katika ofisi za Mkurugenzi wa Manispaa...
Habari wadau.
Kuna jambo limenishangaza sana.
Katika mtaa wa lumo, kata ya yombo vituka, wilaya ya temeke kuna shule ya sekondari iliyojengwa awamu ya 4 rais akiwa Kikwete katika mradi wa shule za kata. Shule hiyo ya sekondari ilipewa jina la Lumo secondary. Then ikabadilishwa jina na kuitwa...
Ninapofanya kazi sio shwari kuna mambo mengi hayapo sawa. Huyu muwekezaji ana nguvu na anajeuri ya kupindisha mambo ya kisheria kuanzia kwa wafanyakazi mpaka mambo ya kimamlaka na ukosefu wa uadilifu.
Nataka nifikishe ili jambo kwenye vyombo vya serikalini na watetezi wa haki za wafanyakazi...
Balozi wa Marekani nchini Israel Mike Huckabee anasema "haifai" kwa Ufaransa, au mtu mwingine yeyote, kulazimisha "taifa la Palestina" kwa wakati huu ambapo Israel watu wake 1,200 waliuwawa na wengine kutekwa nyara na magaidi wa Hamas
Aliongeza kuwa ikiwa Wafaransa wana huruma sana juu ya...
Eneo hili lipo njia ya koba kutokea Mbezi Magufuli ni karibu Zaidi pia kutokea mjini Kwa njia ya goba ni Sawa pia.
Mita 100 kutoka usawa wa eneo hadi barabara kuu ya Goba.
Location kituo cha daladala kinaitwa Kwa Robert.
Eneo Lina nyumba ambayo anaishi muuzaji wa eneo.
Ukubwa wa eneo ni sqm...
Angalau watu 20 wameuawa katika shambulio la anga la Israel kwenye shule ya Fahmi al-Jarjawi mjini Gaza, ambapo wakimbizi wa ndani walikuwa wakijihifadhi, kwa mujibu wa waokoaji. Zaidi ya watu 60 walijeruhiwa, wengi wao wakiwa watoto.
Jeshi la Israel limesema lililenga kituo cha uongozi wa...
Mkoa wa Lindi unatarajiwa kuwa lango kuu la uchimbaji wa madini kutokana na kuonekana kuwa na aina zaidi ya 10 za madini mbalimbali yanayopatikana kwa wingi ikiwemo madini ya kimkakati kama Kinywe (Graphite) na Nickel.
Akizungumza katika mahojiano maalum, Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Lindi...
Ikiwa imepita miezi minne tokea Mwanachama wa JamiiForums.com adai kwamba kuna ujenzi holela wa 'Night Club & Bar' ambapo alidai sehemu ya miundombinu yake imejengwa kwenye eneo la Hifadhi ya Mto Kanoni, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa amefanya ziara eneo hilo akiwa na wataalamu wa mipango...
IDF inatangaza Khan Younis yote kuwa eneo la mapigano, raia kuhama haraka kutoka katika eneo hilo.
IDF inasema Wapalestina wanaoishi ndani na karibu na mji mkubwa wa kusini wa Gaza wa Khan Younis lazima waondoke makwao inapojiandaa kuanzisha "shambulio ambalo halijawahi kushuhudiwa" katika eneo...
Ndg wanajamvi,Habari za majukumu,Wapo poleni na wapo hongereni,mimi mwenzenu bado ni mzima wa Afya.
Kama ilivyo kawaida kwa watu wa asili moja,nchi moja bara moja lazima na ni bora tuwe na mtazamo wa dunia moja katika ulimwengu tuishio,Hapa Nina mtazamo wa kalooism kuhusu namna fulani inayoweza...
CAF kuupeleka Zanzibar mchezo wa Simba na Berkane ni sawa kabisa maana hata waziri wa michezo aliutangazia umma kuwa ukarabati unaofanywa hauhusishi pitch, hivyo ni kweli haufai kuchezea wakati wa mvua kama ambavyo haukufaa wakati wa mechi na al masry baada ya mvua kunyesha. Full stop
Wakuu jamaa yangu aliuziwa nyumba, sasa aliyemuuzia amefariki jamaa akiwa bado hajabadili jina la hati ya nyumba hapo inakuaje Ili kuweza kupata haki yake wakuu au ndio atadhulumika?
Mwenye nyumba alimdanganya kwamba hati hajapata kumbe anayo ndani, watoto wa marehemu wameiona sasa inasemekana...
Habari wakuu.
Eneo linauzwa Luguruni
Eneo linaangalia barabara kuu ya Morogoro Road.
Sqm 2789
Title Deed
Milion 550
Uwekezaji wowote unafaa sababu eneo linaangalia barabarani (MAIN ROAD)
📱0754693556
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.