eneo

  1. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Jeshi Lugalo ihamishwe serikali ipime viwanja vya makazi eneo hilo

    Hiyo kambi ipo kitambo sana enzi hizo mji unaishia Magomeni na Oysterbay, Sinza ilikuwa mashamba ya miwa na mpunga. Lugalo ilionekana ni nje ya mji. Mimi sio mtaalamu wa mambo ya kijeshi ila ile kambi kuwa pale ni kero tu. Kwanza huku Kawe watu wanaishi kwa hofu tu, kila mtu anajifanya ni...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: Kilimo cha nyumbani ukiwa na eneo dogo

    Hapa no kilimo cha matunda, mbogamboga na baadhi ya mazao ya chakula Huhitaji tena kwenda kununua mboga zisizo salama.. Na wala huhitaji kulalamika kuwa huna eneo la bustani
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Profesa Palamagamba akiwa field eneo la kazi

    Wizara aliyopewa Palamagamba ni ngumu sana kwake Kama sio njaa angekuwa anapigania No Reforms No Election. Alikuwa mjumbe wa Kamati ya Warioba huyu
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Pwani: Watu wasiojulikana wakidaiwa kuwa ni polisi wabomoa nyumba na kuchoma moto mali za wananchi wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo

    Watu 'wasiojulikana' wamefika katika Kitongoji cha Mchango wa Hela, Pwani, na kubomoa nyumba kadhaa huku wakichoma moto baadhi ya vitu, wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo. Tukio hili limezua taharuki kubwa kwa wakazi wa eneo hilo ambao wamemlilia Rais Samia Suluhu Hassan awasaidie...
  5. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa Goba Njia Nne kwenye lami

    Eneo linauzwa Goba Njia Nne kwenye lami kabisa. 1000 sqm. Limepimwa. Bei Mil.430. Contact 0788893364
  6. Magical power

    JamiiForums Tanzania Gari lililowahi kumilikiwa na watu wengi eneo fulani utakapopita nalo linahitaji moyo kulifurahia

    Gari lililowahi kumilikiwa na watu wengi eneo fulani utakapopita nalo linahitaji moyo kulifurahia. Maneno ya waliwahi kulitumia yanaweza kukuamiza sana Kila utakapopita nalo, utakutana na watu wanaojitapa kulijua vizuri kwa sababu walipata kulitumia; wapo watakaelezea namna walivyokuwa...
  7. blackstarline

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa miamba eneo lenye mafuta ni dalili gani zinaonyesha chini kuna mafuta

    Habari wa wataalamu wa miamba kuna eneo lina dalili ambazo hazieleweki, naomba kwa mjuzi anae jua, sehemu inayoonyesha kuna dalili za kuchimbwa mafuta kunakuwaga na ishara gani?
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Kibaha eneo la Kongowe imekata mawasiliano Morogoro road

    Kama Una mpango wa kutumia Morogoro Road kwenda Chalinze na kuendelea ama Tanga Moshi na kuendelea tafadhali tumia Bagamoyo road maana Morogoro road imefungwa.. Magari yamejaa barabara zote mbili.. Old Morogoro rd na New Morogoro rd.. Ilikuwa ni ajali ya alfajiri pale maeneo ya Kongowe pale Howo...
  9. kaputula

    JamiiForums Tanzania Historia inaonyesha Watutsi/wahima kama wakoloni weusi toka eneo la Ethiopia dhidi ya mbari ya Wabantu.

    Historia inaonyesha watutsi kama wafugaji wenye uhodari wa kupigana vita wa mbari ya kihima. Watu hawa karne kadhaa kabla ya ukoloni wa kizungu walishuka na mifugo yao toka kaskazini wakifuata mto Nile. Wana historia wengine waliwatambua kama Cushite. Sura na maumbo yao ni zile za waoromo wa...
  10. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kuna Maafisa wa Ardhi wanataka kutuondoa kwenye maeneo yetu Wakazi wa Masimba kwa kisingizio tupo eneo la Airport (Tabora)

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Masimba upo karibu na maeneo ya Uwanja wa Ndege wa hapa Tabora, miaka kadhaa nyuma sisi wakazi wa hapa tulishuhudia mamlaka ya Uwanja wa Ndege ikipita na kuzungushia uzio maeneo yote ya Uwanja huo. Lengo lao kuu ilikuwa ni kuweka angalizo ili Wananchi wasije wakaingilia...
  11. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Nauza eneo la kituo cha Gas

    Habari wakuu. Eneo Kwajili ya Gas linauzwa GOBA Hapo unaweza kufungua kituo cha Kuuza Gas. Ewe mwekezaji fumba macho ununue hili Eneo. Sqm 2000. Kwa mawasiliano Zaidi 0754693556
  12. Faana

    JamiiForums Tanzania Hii picha imepigwa wapi na eneo gani la sehemu husika

    Kwenu wajuzi, hii picha imepigwa mkoa gani? Mji gani? Mtaa gani?
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Chalinze haina Mpinzani kwenye ajali za Barabarani. Ni eneo hatarishi sana kwa Maisha. Mamlaka zichukue hatua.

    Nadhani hii ndo wilaya pekee Tanzania inayokunywa damu.za kutosha. Ukiingia youtube au google uka search Chalinze Taarifa 3 za kwanza ni ajali ajali miaka nenda rudi ni eneo hatari sana na watu wanapaswa kuwa makini. Check hii ni ya leo leo Bwilingu nadhani na ufinyu wa barabara unachangia...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Arena ijengwe Kawe wakati Serikali ya awamu ya 5 ilitoa eneo kubwa lililopo Kwembe/luguruni kwaajili ya kujenga Arena?

    Eneo kubwa linalo milikiwa na Serikali lililopo Kwembe/luguruni lilitolewa au lilitengwa na Serikali ya awamu ya 5 kwajili ya ujenzi wa Arena baada ya Mbunge wa eneo hilo kuliomba. sasa leo hii tunasikia Arena itajengwa Kawe?!! kulikoni? mboni wilaya ya Ubungo inatengwa kupata miradi ya...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimeichungulia hii mahala na imenishtua kwa kiasi fulani hivi je, ina ukweli wowote kwa Wahusika wa hilo Eneo?

    Kwamba katika Kitabu kitakatifu cha Dini ya Kiislamu cha QURAN Yesu Kristo katajwa sana tu kuliko Mtume Mohammad?
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afungua Shule ya wasichana Tanga, apendekeza iitwe Beatrice Shellukindo

    Rais Samia akifungua shule ya wasichana Tanga Februari 25, 2025. https://www.youtube.com/live/J2zo4vUF2HA?si=CYaVU5CnldQZy8kG Rais Samia amependekeza Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Kilindi iitwe jina la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilindi kupitia CCM Beatrice Shellukindo aliyefariki...
  17. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa Ali Hassan Mwinyi Road

    2240 SQM Title deed: 99 Years Alongside Ali Hassan Mwinyi Road Topographical map available for serious buyers Property is unique for Apartments, Business complex, Hotel. Asking price: $2 Million (negotiable) Call/WhatsApp 0788893364
  18. Sun Zu

    JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa, jirani na stand ya SGR DODOMA

    Eneo lina ukubwa wa 1200 Sq Meter Huduma zote muhimu zipo, ni jirani kabisa na stand ya SGR DODOMA. Eneo ni la kwangu binafsi, sio dalali. 15,000,000 (Milion kumi na tano), maongezi yapo. 0719928661
  19. JUKUMU

    JamiiForums Tanzania Eneo kwa ajili ya uzalishaji bidhaa.

    Habari za usiku huu wadau/wanajamii forum. Kwa ufupi tu, kwa wale/Yule ambaye yuko tayari kuwekeza kwenye sector ya uzalishaji(maji, juice, pombe, unga au product yoyote inayohusu chakula). Karibu Kilimanjaro, kuna eneo tayari Lina jengo kubwa( limekamilika kabisa), kuna mashine ya kuchuja...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wizara Yatakiwa Kubuni Mazao Mapya ya Utalii Kwenye Eneo la Amboni

    WIZARA YATAKIWA KUBUNI MAZAO MAPYA YA UTALII KWENYE ENEO LA AMBONI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kubuni mazao mapya ya Utalii ili kuwavutia watalii huku ikisisitiza kwamba inatamani watalii wanaotoka Zanzibar kwenda kutalii...
Back
Top Bottom