eneo

  1. M

    Kinatakiwa kiwanja 6m Dodoma sqm 1200 na zaidi eneo lenye umeme

    Dogo mpambanaji anataka kiwanja, kwa bei hiyo. Kuwe na huduma ya umeme
  2. Watu 20 wafariki Gaza baada ya Jeshi la Israel kushambulia shule ya Fahmi al-Jarjawi

    Angalau watu 20 wameuawa katika shambulio la anga la Israel kwenye shule ya Fahmi al-Jarjawi mjini Gaza, ambapo wakimbizi wa ndani walikuwa wakijihifadhi, kwa mujibu wa waokoaji. Zaidi ya watu 60 walijeruhiwa, wengi wao wakiwa watoto. Jeshi la Israel limesema lililenga kituo cha uongozi wa...
  3. Mhandisi Emmanuel Shija: Utafiti umebaini uwepo wa kiasi kikubwa cha madini eneo la Ruangwa, Mkoani Lindi

    Mkoa wa Lindi unatarajiwa kuwa lango kuu la uchimbaji wa madini kutokana na kuonekana kuwa na aina zaidi ya 10 za madini mbalimbali yanayopatikana kwa wingi ikiwemo madini ya kimkakati kama Kinywe (Graphite) na Nickel. Akizungumza katika mahojiano maalum, Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Lindi...
  4. Fatma Mwassa: Ifanyike tathimini waliojenga eneo la Mto Kanoni (Bukoba). Inadaiwa wamepelekea ujenzi wa daraja kusuasua

    Ikiwa imepita miezi minne tokea Mwanachama wa JamiiForums.com adai kwamba kuna ujenzi holela wa 'Night Club & Bar' ambapo alidai sehemu ya miundombinu yake imejengwa kwenye eneo la Hifadhi ya Mto Kanoni, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa amefanya ziara eneo hilo akiwa na wataalamu wa mipango...
  5. IDF inatangaza Khan Younis yote kuwa eneo la mapigano!!!

    IDF inatangaza Khan Younis yote kuwa eneo la mapigano, raia kuhama haraka kutoka katika eneo hilo. IDF inasema Wapalestina wanaoishi ndani na karibu na mji mkubwa wa kusini wa Gaza wa Khan Younis lazima waondoke makwao inapojiandaa kuanzisha "shambulio ambalo halijawahi kushuhudiwa" katika eneo...
  6. Eneo la Siri la Serikali (ESS) pokea mtazamo wa Kalooism kuhusu madaraja ya hapa kazi tu

    Ndg wanajamvi,Habari za majukumu,Wapo poleni na wapo hongereni,mimi mwenzenu bado ni mzima wa Afya. Kama ilivyo kawaida kwa watu wa asili moja,nchi moja bara moja lazima na ni bora tuwe na mtazamo wa dunia moja katika ulimwengu tuishio,Hapa Nina mtazamo wa kalooism kuhusu namna fulani inayoweza...
  7. Waziri kasema ukarabati wa uwanja haukubusisha eneo la kuchezea, haufai kwa mvua

    CAF kuupeleka Zanzibar mchezo wa Simba na Berkane ni sawa kabisa maana hata waziri wa michezo aliutangazia umma kuwa ukarabati unaofanywa hauhusishi pitch, hivyo ni kweli haufai kuchezea wakati wa mvua kama ambavyo haukufaa wakati wa mechi na al masry baada ya mvua kunyesha. Full stop
  8. Kuna jamaa aliuziwa nyumba, aliyemuuzia kafariki halafu hajabadili hati alimdanganya hana hati kumbe nyumba ina hati

    Wakuu jamaa yangu aliuziwa nyumba, sasa aliyemuuzia amefariki jamaa akiwa bado hajabadili jina la hati ya nyumba hapo inakuaje Ili kuweza kupata haki yake wakuu au ndio atadhulumika? Mwenye nyumba alimdanganya kwamba hati hajapata kumbe anayo ndani, watoto wa marehemu wameiona sasa inasemekana...
  9. Eneo linauzwa mbezi Luguruni

    Habari wakuu. Eneo linauzwa Luguruni Eneo linaangalia barabara kuu ya Morogoro Road. Sqm 2789 Title Deed Milion 550 Uwekezaji wowote unafaa sababu eneo linaangalia barabarani (MAIN ROAD) 📱0754693556
  10. Eneo linauzwa Kigamboni sqm 5000

    Habari wakuu. Eneo la sqm 5000 linauzwa kigamboni opposite chekechea. Eneo linaangalia barabara kuu ya kwenda kongowe ukitokea kigamboni darajani unaenda moja Kwa moja Hadi chekechea unakutana na eneo lako. Eneo linafaa Kwa uwekezaji wowote ule. Yard Kituo cha mafuta Hotel Apartment na...
  11. Plot4Sale Kiluvya: Eneo la kujinafasi linauzwa pamoja na nyumba - Dar

    • Direction: • Structures: • Facilities: • Plot Terrain: • Plot Survey: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  12. Kikundi cha askari wa Israel chaangamizwa eneo la Rafah

    Kumetokea mapigano yasiyo ya kawaida eneo la mpaka wa kusini wa Gaza na kupelekea kikundi kikubwa cha askari wa Israel kuripukiwa na bomu wakati wamo ndani ya jengo moja mpakani huko. Habari hizo zimeripotiwa kwa mara ya mwanzo na waandishi wa shirika la Telegraph na haijathibitishwa idadi...
  13. Y

    Ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar e

    Kumekuwa na madai ya ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar es Salaam. Madai haya yanahusu hatua za DDC kudai umiliki wa maeneo ambayo tayari yameendelezwa na wananchi kwa miaka mingi...
  14. Chanzo cha vita ya India na Pakistan inayoendelea hivi leo katika eneo la Kashmir

    Mwezi wa huu wa Mei mwaka 2025, ulimwengu umetikiswa na mgogoro mpya kati ya mataifa mawili yenye historia ndefu ya mvutano – India na Pakistan. Tarehe 6 Mei, India ilitangaza operesheni kali iliyobeba jina "Operation Sindoor," ikilenga maeneo tisa ndani ya Pakistan na kipande cha eneo la...
  15. A

    KERO Ngazi za jengo jipya hapa Msimbazi zamani DDC zimejengwa hadi eneo la watembea kwa miguu

    Jengo jipya hapa msibani zamani DDC wamejenga ngazi mpaka eneo la watembea kwa miguu hivyo kusababisha watembea kwa miguu kupita eneo la barabara jambo ambalo ni hatari.
  16. H

    NYUMBA INAUZWA 90M IPO KIGAMBONI MWASONGA ENEO LA KIGOBEDI

    Nyumba inauzwa eneo la Kigobedi, Mwasonga, Kigamboni. Ukubwa wa eneo: 580Sqm 3 rooms zote master Sitting room Dining room Kitchen Store Umeme upo kijiji cha jirani kama 500m Nyumba ni mpya haijawahi kukaliwq na mtu ndani. Document zote zipo. Mawasiliano: 0783242247 Barabara ya...
  17. Kigamboni: Eneo lenye watu Wapole, Wavumilivu na Wanaonewa zaidi na Serikali yao

    Kigamboni, yaani wanaonewa kwa kila kitu. 1. Kivuko sasa wanalipa Tsh 500 kutoka Tsh 200. ni ongezeko la 150% wote kimya. 2. Ndiyo wananchi wenye toll road (Barabara ya kulipia) wakati sio luxury. Hakuna kelele. 3. Hawana mwakilishi for almost 7 months. Wamepiga kimya. 4. Siku kadhaa pamoja...
  18. Tujiburudishe na vichekesho: Mpe ex wako jina la bidhaa, kampuni, mnyama au eneo!

    Huu uzi haumlengi mtu yoyote na ni kwa ajili ya sanaa ya vichekesho na ubunifu. Naanza: Audiomack - kwa sababu huwa ananiimbia uongo on repeat. Cocacola - alikua amejaa gesi, hana ladha na ni hatari kwa afya yangu. Nike - kila muda alikua anataka we “just do it”. Kunguru - alikua mweusi...
  19. M

    Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Dar leo Aprili 23, tupia picha eneo lililoathirika

    Wakuu mvua ya leo kiboko, imeanza kunyesha kuanzisha jana usiku, tupo nayo mpaka sasa. Kama kawaida mvua kama hii ya mfululizo lazima iache madhara sehemu mbalimbali kama miundombinu kuharibika, foleni kuongezeka, watu kuchelewa kazini nk nk. Vipi eneo ulililopo mvua haijaacha madhara? Tupia...
  20. Magaidi waua watu 56 eneo la kati la Nigeria.

    Ni muendelezo wa mauaji ya kigaidi huko Nigeria katika mkesha wa pasaka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…