elon musk

Elon Reeve Musk ( EE-lon; born June 28, 1971) is a business magnate, industrial designer, and engineer. He is the founder, CEO, CTO, and chief designer of SpaceX; early stage investor, CEO, and product architect of Tesla, Inc.; founder of The Boring Company; and co-founder of Neuralink and OpenAI. A centibillionaire, Musk is one of the richest people in the world.
Musk was born to a Canadian mother and South African father and raised in Pretoria, South Africa. He briefly attended the University of Pretoria before moving to Canada aged 17 to attend Queen's University. He transferred to the University of Pennsylvania two years later, where he received bachelor's degrees in economics and physics. He moved to California in 1995 to attend Stanford University but decided instead to pursue a business career, co-founding the web software company Zip2 with his brother Kimbal. The startup was acquired by Compaq for $307 million in 1999. Musk co-founded online bank X.com that same year, which merged with Confinity in 2000 to form the company PayPal and was bought by eBay in 2002 for $1.5 billion.
In 2002, Musk founded SpaceX, an aerospace manufacturer and space transport services company, of which he is CEO, CTO, and lead designer. In 2004, he joined electric vehicle manufacturer Tesla Motors, Inc. (now Tesla, Inc.) as chairman and product architect, becoming its CEO in 2008. In 2006, he helped create SolarCity, a solar energy services company that was later acquired by Tesla and became Tesla Energy. In 2015, he co-founded OpenAI, a nonprofit research company that promotes friendly artificial intelligence. In 2016, he co-founded Neuralink, a neurotechnology company focused on developing brain–computer interfaces, and founded The Boring Company, a tunnel construction company. Musk has proposed the Hyperloop, a high-speed vactrain transportation system.
Musk has been the subject of criticism due to unorthodox or unscientific stances and highly publicized controversies. In 2018, he was sued for defamation by a diver who advised in the Tham Luang cave rescue; a California jury ruled in favor of Musk. In the same year, he was sued by the US Securities and Exchange Commission (SEC) for falsely tweeting that he had secured funding for a private takeover of Tesla. He settled with the SEC, temporarily stepping down from his chairmanship and accepting limitations on his Twitter usage. Musk has spread misinformation about the COVID-19 pandemic and has received criticism from experts for his other views on such matters as artificial intelligence and public transport.

View More On Wikipedia.org
  1. X

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: "Trump yuko kwenye file la Epstein hii ndio sababu ya msingi haijawekwa hadharani."

    Naona ushosti kati ya Trump na Elon unaelekea kufa vibaya mno. Leo imekuwa siku yao ya kupeana vijembe kupitia kurasa zao za mitandao ya jamii
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni Usonji au madawa ndio humpelekea Elon Musk kufanya vitendo vya ajabu akiwa mbele ya watu?

    Elon Musk jana akitokea hadharani akiwa na ngeu usoni ameulizwa kuhusu taarifa za yeye kutumia dawa za kulevya akawa mkali sana bila kukanusha hayo madai.
  3. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump na Elon Musk ndani ya Oval Office

    Dakika chache zilizopita, Rais Donald Trump kaongea na waandishi wa habari ofisini kwake katika hafla ya kumuaga Elon Musk, ambaye amenaliza muda wake kama ‘Special Government Employee’. Kinyume na narrative ya baadhi ya watu kuwa Trump na Musk wamemwagana [whatever that means], Musk kamaliza...
  4. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Elon Musk atangaza kuondoka katika utawala wa Rais Trump wa Marekani

    Bilionea wa teknolojia Elon Musk ametangaza kuwa anaondoka katika utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump, ambako aliongoza mradi wa miezi kadhaa wa kupunguza gharama katika serikali ya shirikisho. "Wakati wangu niliopangiwa kama Mfanyakazi Maalum wa Serikali unakamilika, ningependa...
  5. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Elon Musk na D Trump tayari wamemwagana

    Wakuu Elon Musk alikuwa Special employee wa Serikali ya Marekani ku lead Department of Efficiency(DOGE) tumekuwa tukisema umu kuwa mafahari wawili hawakai zizi moja Bunge la marekani na Wapinzani wa Trump mara kadhaa wamesikika wakilaumu kuwa Mamlaka ya Elon yanavuka Mipaka Trump was somehow...
  6. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Jumuiya za Kimataifa, Gen Z Kenya, Elon Musk na Diaspora saidieni kupaza sauti ukandamizaji mkubwa unaoendelea Tanzania

    Hii ni kwa wale wenye mapenzi mema ma wazalendo wa nchi yao, Wote tunashuhudia ukandamizaji mkubwa wa demokrasia, utekaji na mauaji makubwa yakifanyika mchana kweupe. Wote tunashuhudia ni kwa jinsi gani CCM imedhamiria kutumia mabavu kwa namna yoyote kuhakikisha inasalia kwenye dola, Nani...
  7. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kuifungua X ni kumtukana Elon Musk.

    Kumtukana bila sababu. Kumuhusisha na hackers wa Gen X au whoever it is is troubling our country. And this is not the first time the government is arguing with Elon. Recently lilikuwepo tatizo kama Hilo. Inaweza kuleta matatizo. What insult is there ukisema Rais Samia amefariki? Lakini...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Siku Elon Musk anatambulishwa kwangu alibubujikwa na machozi na Vinyweleo Kumsimama

    Hiki kisa ukienda pale Harvard University watakusimulia wale ma Professor maana ilikuwa gumzo siku hiyo. Mimi sina hili wala lile kumbe Elon Musk ashaambiwa kuwa kuna kijana Black Ame ana akili balaa. Akawa anasimuliwa stories zangu na maskendo yangu ya kutosha pale Harvard. Jinsi ambavyo kuna...
  9. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Masharti magumu Elon Musk huwapa wanawake wanaomzalia watoto.

    Elon Musk tajiri namba moja duniani na boss wa Tesla huwapa masharti wanawake ambao anawabebesha mimba. Sharti la Kwanza kutotangaza mimba. Na kujifungua kwa njia ya opereshen C-section. Na kama Mtoto wa kiume asitahiriwe. Elon Musk anaamini Mtoto akizaliwa Kwa njia ya C-section anakuwa na...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mtu mwngine amepandikiziwa kifaa cha akili bandia kwenye ubongo kutoka kampuni ya Elon Musk imeleta faraja kubwa

    Los Angeles, Mei 7, 2025 – Mr. Smith ameweka historia kwa kuwa miongoni mwa watu wachache waliopokea upandikizaji wa kifaa cha Neuralink – teknolojia ya hali ya juu inayowezesha mawasiliano ya moja kwa moja kati ya ubongo na kompyuta. Operesheni hiyo ilifanyika kwa mafanikio katika kituo cha...
  11. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania FALSE Elon Musk Did Not Suspend Gen. Muhoozi’s X Account as reported by Kampala Journal News

  12. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Elon musk kuzindua huduma ya intaneti satellite ya Starlink nchini Uganda

    Katika kuhakikisha Mtandao wa Starlink unazidi kushika Kasi ulimwenguni Tajiri Elon Musk ameamua kuongeza nguvu zaidi kwa kuleta huduma hii nchini Uganda. Mtandao wa Starlink ambao unasifika kwa kutoa intaneti yenye Kasi na usio na wasiwasi Hatimaye wameomba leseni Rasmi ya kufanya kazi nchini...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Mfanyabiashara wa Ghana Kofi Amoah aivyomtaka Elon Musk kuinunua Afrika, kisha kufuta viongozi wote!

    Mfanyabiashara Toka Ghana Dr.Kofi Omoha amtaka Billionaire Elon Musk kuinunua Africa Kisha kufuta viongozi wake wote
  14. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Elon Musk apewe tenda kuibadili PCCB kwa miezi 3!

    Mwamba apewe kazi ya kuibadili PCCB kiufanisi kama hatujafanya uchaguzi Mkuu upya kila baada mwezi. Ufanisi utavuka 100%
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Maandamano yaanza kwenye majimbo yote 50 Marekani kupinga utawala wa Donald Trump

    Waandamanaji maelfu walikusanyika Jumamosi katika miji mbalimbali Marekani kupinga utawala wa Rais Trump, katika maandamano makubwa zaidi tangu aingie madarakani. Maandamano hayo ya "Hands Off" yalifanyika katika majimbo yote 50 na hata nje ya Marekani, ikiwemo London na Berlin. Waandamanaji...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Elon Musk says xAI has acquired X in deal that values social media site at $33 billion

    Elon Musk said on Friday that his startup xAI has merged with X, his social network, in an all-stock transaction that values the artificial intelligence company at $80 billion and the social media company at $33 billion. More...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Elon musk?

    Matajiri Dunia imewashuhudia wengi lakini Mimi nikiacha habari ya Tajiri na mfalme sulemani. Niseme habari ya Tajiri mwingine wa aina yake kwa mtazamo wangu.Yaani Elon Musk. Mtazamo wangu unazingitia mambo yafuatayo: Moja namna anajiweka karibu na jamii. Jinsi ambavyo anautafsiri utajiri(kama...
  18. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji taasisi ya kufanana na DOGE ile ya Marekani ya Elon Musk; uzembe na matumizi mabovu ya rasilimali hapa nchini unaenda ukikithiri

    Wanamjengo, Kuna matukio makubwa Trump kafanya leo terehe 21 March, kwa kusaini executive order ya kuvunja Department of Education na pia kutangaza kupunguza idadi ya wafanyakazi wa idara ya Small Businesses Administration kwa asilimia 40. Sera hizo mbili zina mchagizo wa kazi nzuri...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wamekuwaje? Ona wanachofanya kwa Elon Musk

    Wamechoma yard ya magari yake. Ona walichokifanya wahuni hawa ingawa wana a bit justified?course...hapana
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ushajuliza kwa nini watu kama Elon na Donald Trump wanapata chuki kubwa nchini mwano na duniani kote ingawa wanafanya yale ya kuimarisha nchi yao?

    Katika misimamo ya ki-conservative, majemedali hawa wanataka marekani iwe marekani ya viwango vikubwa bila ya kupoteza asili, utamaduni na chapa yake ya kuwa nchi yenye nguvu zaidi duniani. Wamekuwa maadui kwa wafuatao: Mashoga Transgenders Wanaofanya abortion Wahamiaji holela Wavushaji wa...
Back
Top Bottom