Elon Musk na D Trump tayari wamemwagana

Elon Musk na D Trump tayari wamemwagana

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
4,600
Reaction score
9,658
Wakuu Elon Musk alikuwa Special employee wa Serikali ya Marekani ku lead Department of Efficiency(DOGE) tumekuwa tukisema umu kuwa mafahari wawili hawakai zizi moja

Bunge la marekani na Wapinzani wa Trump mara kadhaa wamesikika wakilaumu kuwa Mamlaka ya Elon yanavuka Mipaka

Trump was somehow kimya kwa vile elon pia alihusika na Kampeni zake pakubwa sana haswa mitandaoni kumpigia Chapuo trump

it's just a matter of time, Elon ana exit Serikali ya trump Siku izi za Mwisho May
 
Elon hajamwagwa bali anajiondoa taratibu baada ya siasa za Trump na cheo chake kuathiri biashara zake karibu kote ulimwenguni
 
Hayupo satified na Budget ya Trump afu hio kujiondoa kimya Kimya ni Diplomasia tu ndio inatumika ili Kutoharibu mambo ila in real sense hao jamaa wameshindwana
 
it's just a matter of time, Elon ana exist Serikali ya trump Siku izi za Mwisho May
Toa habari kwa ukamilifu na si kwa kupotosha wala kupendelea.

Elon Musk alikuwa ni Special Government Employee.

Hiyo ni nafasi ya muda mfupi tu. Siyo nafasi ya kudumu.

Special Government employees hawatakiwi, kwa mujibu wa sheria, kuhudumu kwa zaidi ya siku 130 katika siku 365 za mwaka.

Piga hesabu tokea Elon awe special government employee mpaka leo, ni siku ngapi zimepita.

Muda wake umemalizika. Hiyo haikuwa nafasi ya kudumu.

Hivyo kudai kuwa kuondoka kwake kunatokana na kufarakana kwake na Trump, si sahihi.

Soma zaidi hapa chini kuhusu Special Government Employee:

What is a "special government employee"?​

“In 1962, Congress created the role of "special government employee," which allows the executive branch, the legislative branch and independent federal agencies to bring on employees for specific roles on a temporary basis.

Typically, SGEs are hired as experts or consultants or serve as members of federal advisory committees, of which there are roughly 1,000across the U.S. government.

SGEs are limited to working for the government for no more than 130 days out of a 365-day period, though they can work multiple years, and they can either be paid or unpaid. NPR has reported that Musk is not being paid for his work with DOGE.”

Wakuu Elon Musk alikuwa Special employee wa Serikali ya Marekani ku lead Department of Efficiency(DOGE) tumekuwa tukisema umu kuwa mafahari wawili hawakai zizi moja

Bunge la marekani na Wapinzani wa Trump mara kadhaa wamesikika wakilaumu kuwa Mamlaka ya Elon yanavuka Mipaka

Trump was somehow kimya kwa vile elon pia alihusika na Kampeni zake pakubwa sana haswa mitandaoni kumpigia Chapuo trump

it's just a matter of time, Elon ana exit Serikali ya trump Siku izi za Mwisho May
Itaendelea…..
 
Mambo ya Marekani maskini km wewe ambaye hujayaweza ya kwenu yanakuhusu nini. Pambana na ufukara wako na wa ukoo wako hao wameshatoboa we bwege
 
Elon hajamwagwa bali anajiondoa taratibu baada ya siasa za Trump na cheo chake kuathiri biashara zake karibu kote ulimwenguni
Hayupo satified na Budget ya Trump afu hio kujiondoa kimya Kimya ni Diplomasia tu ndio inatumika ili Kutoharibu mambo ila in real sense hao jamaa wameshindwana
Hivi mnajua hata mkataba wa Elon ulikuwaje? Au ndiyo twende Kibongobongo tuendelee tu kujadili kichwakichwa?
 
Wakuu Elon Musk alikuwa Special employee wa Serikali ya Marekani ku lead Department of Efficiency(DOGE) tumekuwa tukisema umu kuwa mafahari wawili hawakai zizi moja

Bunge la marekani na Wapinzani wa Trump mara kadhaa wamesikika wakilaumu kuwa Mamlaka ya Elon yanavuka Mipaka

Trump was somehow kimya kwa vile elon pia alihusika na Kampeni zake pakubwa sana haswa mitandaoni kumpigia Chapuo trump

it's just a matter of time, Elon ana exit Serikali ya trump Siku izi za Mwisho May
Who cares?
 
Ndo hapo sasa!

Elon alikuwa ni special government employee na sheria inasema huyo SGE atahudumu kwa siku zisizozidi 130 katika siku 365.

Muda wake umeisha.
Katika kulishana taarifa Waafrika wana shida sana, hawajui nguvu ya taarifa sahihi matokeo yake wanapotoshana halafu wanaanza kulia kwamba wanachukiwa, na kuonewa kumbe wamerogana wenyewe kwa kupotoshana.
 
Ndo hapo sasa!

Elon alikuwa ni special government employee na sheria inasema huyo SGE atahudumu kwa siku zisizozidi 130 katika siku 365.

Muda wake umeisha.
Asante kwa kuliweka hili wazi
 
Mambo ya Marekani maskini km wewe ambaye hujayaweza ya kwenu yanakuhusu nini. Pambana na ufukara wako na wa ukoo wako hao wameshatoboa we bwege
Mbona bwege mwenzetu una hasira kiasi hiki?😂😂😂😂
 
Asante kwa kuliweka hili wazi
Haina shida. Muda wake umeisha.

Licha ya hilo, yawezekana pia kukawa kuna tofauti za kimtazamo baina ya Trump na Musk.

Lakini hili la kuondoka DOGE, ni muda wake umeisha.

NBC News has reported that special government employees, a class of temporary worker that included Musk, can typically work up to 130 days in a calendar year, though the days can be split up. The White House first publicly acknowledged Musk’s role on Feb. 3, so he was most likely nearing the end of that tenure.
 
Wakuu Elon Musk alikuwa Special employee wa Serikali ya Marekani ku lead Department of Efficiency(DOGE) tumekuwa tukisema umu kuwa mafahari wawili hawakai zizi moja

Bunge la marekani na Wapinzani wa Trump mara kadhaa wamesikika wakilaumu kuwa Mamlaka ya Elon yanavuka Mipaka

Trump was somehow kimya kwa vile elon pia alihusika na Kampeni zake pakubwa sana haswa mitandaoni kumpigia Chapuo trump

it's just a matter of time, Elon ana exit Serikali ya trump Siku izi za Mwisho May
reference.......

Haina shida. Muda wake umeisha.

Licha ya hilo, yawezekana pia kukawa kuna tofauti za kimtazamo baina ya Trump na Musk.

Lakini hili la kuondoka DOGE, ni muda wake umeisha.

NBC News has reported that special government employees, a class of temporary worker that included Musk, can typically work up to 130 days in a calendar year, though the days can be split up. The White House first publicly acknowledged Musk’s role on Feb. 3, so he was most likely nearing the end of that tenure.
Shukrani mkuu kwa ufafanuzi, wengi tulikuwa hatujui & unfortunately tusioelewa mambo vizuri ndo huwa tuko mbele kuleta taarifa na bla bla kibao
 
Back
Top Bottom