elon musk

Elon Reeve Musk ( EE-lon; born June 28, 1971) is a business magnate, industrial designer, and engineer. He is the founder, CEO, CTO, and chief designer of SpaceX; early stage investor, CEO, and product architect of Tesla, Inc.; founder of The Boring Company; and co-founder of Neuralink and OpenAI. A centibillionaire, Musk is one of the richest people in the world.
Musk was born to a Canadian mother and South African father and raised in Pretoria, South Africa. He briefly attended the University of Pretoria before moving to Canada aged 17 to attend Queen's University. He transferred to the University of Pennsylvania two years later, where he received bachelor's degrees in economics and physics. He moved to California in 1995 to attend Stanford University but decided instead to pursue a business career, co-founding the web software company Zip2 with his brother Kimbal. The startup was acquired by Compaq for $307 million in 1999. Musk co-founded online bank X.com that same year, which merged with Confinity in 2000 to form the company PayPal and was bought by eBay in 2002 for $1.5 billion.
In 2002, Musk founded SpaceX, an aerospace manufacturer and space transport services company, of which he is CEO, CTO, and lead designer. In 2004, he joined electric vehicle manufacturer Tesla Motors, Inc. (now Tesla, Inc.) as chairman and product architect, becoming its CEO in 2008. In 2006, he helped create SolarCity, a solar energy services company that was later acquired by Tesla and became Tesla Energy. In 2015, he co-founded OpenAI, a nonprofit research company that promotes friendly artificial intelligence. In 2016, he co-founded Neuralink, a neurotechnology company focused on developing brain–computer interfaces, and founded The Boring Company, a tunnel construction company. Musk has proposed the Hyperloop, a high-speed vactrain transportation system.
Musk has been the subject of criticism due to unorthodox or unscientific stances and highly publicized controversies. In 2018, he was sued for defamation by a diver who advised in the Tham Luang cave rescue; a California jury ruled in favor of Musk. In the same year, he was sued by the US Securities and Exchange Commission (SEC) for falsely tweeting that he had secured funding for a private takeover of Tesla. He settled with the SEC, temporarily stepping down from his chairmanship and accepting limitations on his Twitter usage. Musk has spread misinformation about the COVID-19 pandemic and has received criticism from experts for his other views on such matters as artificial intelligence and public transport.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Grimes, mzazi mwenza wa Elon Musk alalamika Elon kutelekeza watoto, adai pesa za matibabu X!

    Grimes mwanamke aliyezaa na Elon Musk watoto watatu ameamua kuposti X/Twitter akilalamika Elon baba watoto wake hapokei simu au kujibu meseji zake kuhusu mahitaji ya mtoto wao anayehitaji matibabu na kwamba kadri anavyochelewa kutibiwa atapata madhara ya kudumu. Anasema kama Elon hataki kuongea...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Elon Musk afananishwa na Nick Cannon baada ya kupata watoto 13 na wanawake 4 tofauti

    Mtandao umemfananishwa Elon Musk na Nick Cannon baada ya kufichuka kuwa amepata mtoto na mwanaharakati wa mrengo wa kulia mwenye umri wa miaka 27, na kufanya idadi ya watoto wake kufikia 13 kutoka kwa wanawake wanne tofauti. Nick Cannon na Elon Musk ni majina mawili ambayo wengi hawakutarajia...
  3. The Assassin

    Errol Musk, baba wa Elon Musk asema yeye ni mtu wa Totoz na hajawahi kuona ama kukutana na mwanaume yoyote Duniani hapa ambae sio wa Totoz.

    Errol Musk, baba wa Elon Musk amefichua siri kwamba yeye ni mtu wa totozi. Mzee Musk ameenda mbali zaidi na kusema yeye amekula kuku na mayai yake na wala hakuna ubaya kula mayai kwa maana kwamba ametembea na kuzaa na binti yake wa kambo. Mzee Musk alimuoa Heide, mkewe mwingine ambae walioana...
  4. R

    Ni kwanini Elon Musk haondoi video za pono kwenye huko twitter, hii kitu ina addiction kali sana kwa vijana

    Nahisi sikuhizi wadau wa haya mambo hawaingii kwenye zile sites zao, wananyooka moja kwa moja twitter MADHARA YAKE Porn inamaliza pesa, ni sembe ya kidijitali, mtu yupo radhi ale maandazi usiku ili anunue kifurushi cha elfu mbili Porn inachochea kujichua ukiwa mraibu wa kujichua kwa muda...
  5. Yoda

    Wanawake wa Marekani wana haki kudai kwenda na watoto wao kazini kama Elon Musk?

    Huko Marekani kuna wanawake wameanza kulalamika kwamba ingekuwa ni mwanamke anafanya kama anavyofanya Elon Musk kwenda na watoto wake kazini Ikulu ya Marekani watu wangepiga kelele sana! Haya madai yana mashiko?
  6. GENTAMYCINE

    Huu uhuru anaopewa Bilionea Elon Musk na Rais Trump unatokana na nini? Mbona ni kama vile Musk ndiyo Rais wa Marekani?

    Maaumuzi mengi tena yenye Unyeti anatoa Elon Musk huku Rais Trump akionekana Kukubaliana nayo hata kama Wachambuzi Nguli wa Siasa za Dunia wanasema ni Hatari kwa Ustawi wa Marekani. Kuna Clip naiona sasa Elon Mask yuko Ikulu na Mwanae na anafanya Vituko vya kila aina huku Mwanae nae akiifanya...
  7. Stuxnet

    Pamoja na utajiri wake; matatizo ya Elon Musk na familia yake ni makubwa kuliko maskini

    Kweli kuwa Bilionea siyo mwisho wa matatizo. Angalia mahusiano mabaya ya Elon Musk dhidi ya wanafamilia wake:- 1. Wake wa Zamani Elon Musk amewahi kuoa mara mbili kwa wanawake wawili tofauti: Justine Musk (2000–2008): Justine alikuwa mke wa kwanza wa Musk, na walizaa watoto watano pamoja...
  8. N

    Kundi la Wawekezaji wakiongozwa na Elon Musk wametoa ofa dola bilioni 97 kununua OpenAi

    Elon Musk pamoja na wawekezaji wengine wametoa ofa ya kununua OpenAi kwa dola bilioni 97 na ushee. OpenAi ilianzishwa mwaka 2015 kama nonprofit na Sam Altman, Elon Musk na wengine. Lakini Elon Musk alijiondoa baadae na kuwa adui wa Altman. Altman ndio CEO wa OpenAi kwa sasa. ============ CEO...
  9. Ritz

    Elon Musk amepata majibu murua kutoka kwa Julius Malema

    Wanakumbi. Vikwazo vya mara moja kwa Malema na kutangazwa kwake kama mhalifu wa kimataifa! Elon Musk. Majibu ya Julius Sello Malema. Nadhani umepoteza kabisa ubongo wako wa kushoto: shujaa wa kawaida aliyeharibiwa na mnufaika wa moja kwa moja wa weupe wa ubaguzi wa rangi. Najua watu weusi...
  10. Yoda

    Elon Musk atuhumiwa kuivunja USAID kutokana na uchunguzi wake kwa Starlink kukiuka vikwazo dhidi ya Urusi

    Kumbe USAID mwaka jana September ilifungua uchunguzi dhidi ya kampuni ya Elon ya Starlink kuhusu kuruhusu jeshi la Urusi kutumia Starlink katika vita vyake vya uvamizi Ukraine! Mojawapo ya vikwazo ambavyo Serikali ya Marekani iliweka kwa Urusi baada ya uvamizi ni pamoja na Starlink kutoruhusiwa...
  11. Mindyou

    Elon Musk ataka Julius Malema apigwe vikwazo vya kimataifa na atangazwe kuwa mhalifu wa kivita

    Mjasiriamali bilionea Elon Musk ameibua mvutano mpya na kiongozi wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), Julius Malema, akipendekeza kwamba Malema atangazwe kuwa mhalifu wa kimataifa. Mvutano huu umetokana na video ya Malema akidai kuwa chama cha Democratic Alliance (DA) kinawaunga mkono...
  12. Kinyungu

    Kauli Rasmi ya EEF baada ya Elon Musk kutaka Julius Malema atangazwe kuwa Mhalifu wa Kimataifa

    Kufuatia Bilionea Elon Musk mwenye uraia wa Afrika Kusini na Marekani kutaka Kamanda mkuu wa chama cha EFF Bw. Julius Malema atajwe kama mhalifu wa kimataifa, chama chake cha EFF kimetoa kauli kali kama inavyosomeka hapa chini Hapa chini ni Tafsiri ya Kiswahili ya taarifa hiyo (siyo rasmi)...
  13. Mkalukungone Mwamba

    Elon Musk ataka Radio Free Europe/Radio Liberty (RFE/RL) na Sauti ya Amerika (VOA) zifungwe akidai hazina umuhimu tena

    Elon Musk ametaka kufungwa kwa Radio Free Europe/Radio Liberty (RFE/RL) na Voice of America (VOA), vyombo viwili vya habari vinavyofadhiliwa na serikali ya Marekani, akidai kuwa havina umuhimu tena. Musk alitoa kauli hizi akijibu chapisho la Richard Grenell, Mjumbe Maalum wa Marekani, ambaye...
  14. Mi mi

    Elon Musk na Julius Malema ndani ya vita kali ya maneno. (Huyu Elon toka apewe rungu anaenda kuchanganyikiwa)

    Vita vya maneno vimeibuka katika mtandao wa X kati ya tajiri mbwatukaji Elon Musk na mwanasiasa mbwatukaji toka Afrika Kusini Julius Malema kisa kauli zilizo tafsiri kuwa za kibaguzi toka kwa mwanasiasa huyu kwenda kwa jamii ya wazungu wa Afrika Kusini. Tajiri Elon hapa kachafukwa anataka...
  15. Mi mi

    Elon Musk angekuwa China asingeendeleza hivi vituko vyake yeye na Trump

    Huyu tajiri Elon na tajiri mwenzake Trump waliovamia siasa na kuziendesha vile watakavyo wao sioni kama watakuwa na mwisho bora. Kwa siasa za China Trump asingefika hata hapa alipofika tena huyu chawa wake Elon muda huu nina uhahika angekuwa Jack Ma wakimarekani. Nakumbuka Jack Ma naye alianza...
  16. DeepPond

    Elon Musk: Nampenda TRUMP Kama MWANAUME anavyoweza kumpenda MWANAUME mwenzake

    Siku ya Jana kupitia mtandao wake WA kijamii, maarufu Kama X , Bilionea Elon Musk ameandika kua Anampenda Raisi Donald Trump Kama vile mwanaume anavyoweza kumpenda MWANAUME mwenzake. Aisee, imekaaje hii wakuu au mi ndo sijaelewa🤔
  17. Kishimbe wa Kishimbe

    Elon Musk ni kichomi

    Jamaa kaanza kuajiri wahuni wa mitaani kwenye kazi ya kupekua taarifa nyeti za serikali na walipa kodi wa AMERICA! 🤣 Miongoni mwa wahuni alioajiri Musk kwenye kitengo chake cha kudhibiti utendaji swafi wa serikali, aka DOGE, ni 'hacker' mmoja mwenye umri wa miaka 19, kwa jina Edward Coristine...
  18. Poppy Hatonn

    Wabunge wa Democratic waenda AID hq kuzuia Trump na Elon Musk kuifuta AID

    Wabunge wa Democratic wanasema AID iliwekwa na Bunge kwa hiyo Elon Musk hana mamlaka ya kuiondoa AID. Kama Trump anataka kuifuta AID alete muswada Congress atuombe ruhusa. Lakini AID haiwezi kufutwa na Elon Musk bilionea ambaye hakachaguliwa na mtu yeyote. Hili ni shirika linawasidia watu...
Back
Top Bottom