TBS wafanya zoezi la ukaguzi na kutoa elimu kwa wajasiriamali juu wa kuthibitisha ubora wa bidhaa zao

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
Wakaguzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakikagua baadhi ya maduka ya vyakula na vipodozi pamoja na viwanda vya wajasiriamali wilayani Liwale mkoani Lindi.

TBS imeanza kampeni ya kutoa elimu kwa wajasiriamali na wenye viwanda juu ya umuhimu wa kupata alama ya ubora sambamba na kukagua na kusajili maduka ya vyakula na vipodozi kwa mkoa wa Lindi .

IMG-20210824-WA0062.jpg


IMG-20210824-WA0063.jpg


IMG-20210824-WA0061.jpg
 
Back
Top Bottom