elimu

  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mikopo ya elimu inavyoendeleza umasikini Tanzania

    Serikali kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu hutoa mikopo (kwa riba) kila mwaka kwa vijana wanaofaulu ili kuwawezesha kupata elimu ya juu. Binafsi naona jambo hili si sawa, kwani Elimu Ni moja kati ya haki za binadamu, hivyo haitakiwi kutolewa katika misingi ya matabaka yanayotengenezwa na...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati muafaka elimu ya chuo kikuu itolewe bure, wanafunzi shule za msingi na sekondari wale chakula cha mchana bure, maana fedha ipo.

    Habari! Huhitaji kuwa na shahada ya taxation au uhasibu kujua kuwa pesa itakayokusanywa kupitia miamala ya simu na vocha kwa mwaka mmoja ni matrilioni. Serikali inapaswa kuboresha sekta ya elimu kwa kuondoa ada au kuwalipia ada wanafunzi wote wa chuo kikuu huku ikiwapa angalau mlo mmoja...
  3. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kushuka kwa kiwango cha Elimu nchini na hatua za kuchukua

    Katika maendeleo ya jamii elimu ni nguzo muhimu sana, thamani ya elimu ni kubwa mno kiasi kwamba mtu hawezi akajua thamani ya elimu papo hapo. Waliofanikiwa na wakapata mafanikio kama ajira wanajivunia thamani ya elimu na wale baadhi ambao bado wanahangaika mitaani baadhi yao hao hawaoni...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kidato cha sita msichague kozi kwa mkumbo

    Moja ya jambo ambalo vijana wengi wanafanya wakiwa katika kuchagua course za kusomea chuoni ni kufata mkumbo na kuiga kile ambacho wenzao wamechagua. Wito wangu kwa form six wote waliomaliza sasa hivi, ni kuangalia kwa upana zaidi nini unataka katika maisha yako, usiende kusomea course ambayo...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Afisa elimu mkoa wa Geita afariki ghafla kikaoni

    Afisa elimu mkoa wa geita Julius Nestory amefariki ghafla kikaoni. Taarifa zitawajia punde. === Ofisa Elimu Mkoa wa Geita, Julias Nestory amefariki ghafla wakati akiwa kwenye kikao na maofisa elimu wa wilaya kilichofanyika katika Shule ya Sekondari Nyankumbu iliyopo mjini Geita. Mganga...
  6. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania SoC01 Lugha ya Kingereza itumike kama lugha ya kujifunzia kwa shule zote za serikali na binafsi kuanzi elimu ya awali

    Nimefanya kazi katika taasisi za elimu kwa miaka mingi sasa. Tatizo kubwa ambalo nimekuja kukutana nalo hasa kwa graduates wa nchi hii ni uwezo mdogo wa kupambania soko la ajira linapokuja suala la kushindana na nchi nyingine. Tatizo kubwa hapa ni Lugha ya kufundishia. Kwa sasa shule za msingi...
  7. Abuu Said

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli ndio mkombozi wangu

    Habari wana Jamii Forum great thinkers wenza ngumu Leo naomba nikiri kwamba aliyekua Rais wa awamu ya 5 Dr. John Pombe Magufuli ndie mkombozi wangu ktk mahangaiko ya Kimaisha. Nimeiona watu wengi humu JF na kule Twitter wakimdhihaki mpendwa wetu yule km vile hakuna mema aliyoyafanya. Ngoja...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu ubadilishwe

    Moja ya jambo ambalo linatakiwa kutiliwa mkazo kwa sasa ni namma ambavyo mfumo wetu wa utoaji elimu unavyoathiri vizazi vyetu hasa vijana. Ni mfumo ambao unalenga sana kuwaandaa wanafunzi kuwa tegemezi na kuwa wavivu wa kujituma na kupambania ndoto zao. Wanafunzi wanafundishwa tu wakazane na...
  9. Meta AI

    JamiiForums Tanzania Hatma ya elimu yangu

    .
  10. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mtaala wa Elimu ya Taifa unairuhusu TAMISEMI ngazi ya Mkoa kuratibu na kusimamia shughuli za Shule ikiwemo ratiba za masomo

    Habari Wanabodi! Ukisoma Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ukurasa wa 5 kuhusu Utekelezaji wa Ibara ya 146(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977) inayohusu ugatuaji. Katiba inatamka katika Sura ya Nane (kuhusu madaraka kwa umma), kwamba...
  11. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mkuu wa Mkoa vs Waziri : Ipi tofauti kati ya "Makambi ya RC Mtaka" na RC Geita kufukuza wanafunzi 11 na kuhamisha Walimu .

    Mods uzi una maudhui tofauti na nyuzi zilizopita japo nimezitumia kama Mfano. Nimeweka Link ya Mijadala hiyo Miwili ili kuweka kumbukumbu sawa. Kuna mada imetrend sana kwenye jamvi letu kuhusu Kauli ya RC wa Dodoma Mh Mtaka akipinga maagizo ya Waziri wa elimu Prof Ndalichako ya kutaka kuondolewa...
  12. MR TOXIC

    JamiiForums Tanzania Wazir Ummy Mwalimu analeta siasa kwenye elimu; ni sampuli ya viongozi ambao hawana uchungu na elimu ya watoto wa maskini

    Bila aibu Ummy Mwalimu amesema ajira 1360 za walimu wa physics na 599 za walimu wa hesabu kwamba zimemaliza tatizo la uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi nchini. Kwangu kauli hiyo ya Ummy naona inalenga kutafuta umaarufu wa kisiasa kwani alichokisema ni uongo unaofaa kupuuzwa na kila mtu...
  13. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tunaweza kuwa Taifa imara kama tutaamua kubadilisha Mfumo wa Elimu yetu

    Wadau, hakika ili taifa liwe imara mfumo wa elimu yake lazima ubadilike, tuko hivi tulivyo kutokana na aina ya elimu yetu tunavyoitoa ikiwemo mitaala yetu! wakati nimeona hili shindano nikadhani ni bora nilete mjadala huu mpana katika nchi yetu namna ya kuleta elimu yenye tija! na yafuatayo ni...
  14. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Antony Mtaka aambiwe kwamba sera ya elimu ni ya kitaifa na siyo mkoa kwa mkoa

    Bila hata kujua kiwango cha elimu ya mkuu wa mkoa wa Dodoma, mara moja naona makosa ya kiutendaji aliyonayo. Kwanza, yaonekana ni mtu asiyejua kuchagua maneno. Pili, hakujua mchakato upi uboreshe kiwango cha elimu mkoani kwake, siyo ufaulu anaotafuta. Elimu inaendeshwa kitaifa na siyo ki-mkoa...
  15. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu anasimamia asichokiamini? Mwanae anasoma English Medium

    Heshima sana wanajamvi, Tanzania pengine ni nchi pekee duniani yenye maajabu yasiyoweza kulinganisha au kufananishwa na nchi nyingine. Ni jambo la ajabu waziri wa elimu msimamizi wa elimu yenu na mustakabali wetu wa siku zijazo.Waziri wetu huyu watoto wake hawasomi katika shule za umma,wapo...
  16. MR TOXIC

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako hana kosa lolote anahukumiwa kimakosa

    Nimefuatilia kwa ukaribu mjadala unaoendelea kwa sasa kuhusiana na kauli iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa dodoma mheshimiwa Mtaka kuhusu kuanzisha makambi ya kitaaluma kwa wanafunzi. Katika mjadala huo nimesikitishwa sana na maoni ya wadau mbali mbali wanaomnyooshea kidole Waziri wa Elimu Prof...
  17. Kanamusi

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka yupo sahihi. Ni kweli kabisa viongozi wetu hawana uchungu na elimu ya watoto wetu

    Pamoja na approach aliyoitumia ila alichokisema RC antony mtaka ni ukweli uliochelewa kusemwa kwa sababu ni kwa miaka mingi sana elimu yetu imekuwa ikifanyiwa siasa na kuharibiwa na viongozi tuliowapa dhamana ya kuisimamia. Mara kadhaa kumekuwa kukitolewa matamko yasiyo na kichwa wala miguu...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania RC Antony Mtaka kumsema Waziri mbele watoto umekosea. Kama watoto wakimdharau, watamheshimu nani?

    RC Antony Mtaka kama watoto wakimdharau Waziri wetu je watamheshimu nani kumsema Waziri mbele ya watoto umekosea. Hiyo sio nidhamu waziri yupo juu yako huwezi kumsema na kuwakataza watoto wasifuate maagizo yake. Kama ulikua na nia hiyo ungesubiri umwambie kwenye mkutano wa viongozi wa serikali...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Mfumo wetu wa elimu na watu unaozalisha

    Unazalisha Maprofesa na PhD's wasio jiamini wala hata ku reason vitu basic kabisa hawawezi hata kusimamia ukweli pia hawawezi (Hili lilionekana waziwazi kwa Mawaziri hasa wakati wa utawala wa mwendazake ) na ndio hao hao wanafundisha watu vyuoni! Unapiga vita utandawazi na kuaminisha kua...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Elimu yakanusha taarifa zilizoenea kuhusu sababu za kuahirishwa kwa somo la Historia ya Kiswahili

    Salaam Wakuu, Taasisi ya Elimu Tanzania TET yaibuka na kukanusha habari zilizoenea kuwa waliahirisha somo la historia ya kiswahili kwa sababu vitabu vilivyoandaliwa kwa somo hili vilijikita kusifia watawala. Soma: Mitaala ya somo la Historia iliyositishwa ilijaa propaganda za kumsifu Magufuli...
Back
Top Bottom