elimu

  1. JamiiForums Tanzania Utafiti katika sekta ya elimu ni muhimu kwa ajili ya kuboresha elimu yetu

    Elimu ni mkusanyiko au muunganiko wa stadi, maarifa na ujuzi anakua nao mtu baada ya kuupata kwa njia mbali mbali, rasmi na zisizo rasmi. Katika elimu yetu ya Tanzania ambayo ina mfumo wa elimu ya awali mpaka chuo kikuu imegawanyika katika miaka mbali mbali ambayo mwanafunzi anatakiwa kusoma ili...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ajira za utendaji wa mtaa/vijiji, ni kweli Tanzania inathamini elimu?

    Nimefuatilia sana posti za ajira za utendaji wa mtaa au vijiji sijawahi kuona wakiunganisha kigezo cha shahada kwenye sifa za kazi hiyo na nyingine 50 zimetangazwa wilaya ya Ilemela wanahitaji astashahada tu Naona kusoma sana sasa hakuna maana Tanzania enzi za mwl Nyerere alithamini sana wasomi...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wangu Kwako Mama Samia Kuhusu Elimu

    hali ya elimu kwa sasa ni mbaya, hilo halina mjadala! 1. Ushindani umegeukia kwenye kufaulisha wanafunzi wote na kufuta 'zero'. Kutokana na hilo, suala la kukutana na lundo la wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika ni kawaida huku kwenye masekondari yetu ya kata. Kumkuta mwanafunzi anayeitwa...
  4. JamiiForums Tanzania Lowassa angeshinda uchaguzi 2015 sera yake ya ELIMU, ELIMU, ELIMU ingeimarisha vipi uchumi wa Mtanzania mmoja mmoja?

    Tangu uchaguzi wa mwaka 2015 upite huu ni mwaka wa 6 sasa, wagombea wa nafasi ya urais walikuwa ni JP. Magufuli na E.Lowassa, Swali langu je kama ingetokea Lowasa akashinda uchaguzi sera yake kuu ilikuwa ni kutoa elimu bure kwa wote mpaka chuo kikuu (ELIMU, ELIMU, ELIMU), kwa elimu yetu hii...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali inaendelea kufanya ubaguzi kwenye ajira. Kama una div 1&2 au bachelor degree jua upo kwenye risk ya kutoajiriwa

    Serikali mara kwa mara imekuwa ikiwahimiza wanafunzi kusoma kwa bidii na kufaulu lakini jambo la kusikitisha unapofika wakati wa ajira serikali hiyo hiyo inawabagua tena. Tumeona kwenye ajira za polisi wanaotakiwa ni wale ambao hawakufanya vizuri kwenye mitihani ya kidato cha nne. Yaani...
  6. JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo serikali itapandisha vigezo vya kusoma elimu ya juu? Je, kutakuwa na athari gani ktk jamii kiuchumi?

    Wakuu hili swali nimeliuliza sehemu nkashindwa kupata majibu nimeona nililete hapa. Nini kitatokea endapo serikali itapandisha vigezo vya kusoma elimu ya juu? Je kutakuwa na athari gani ktk jamii kiuchumi? Mfano alama za kujiunga chuo ziwe atleast BBB
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa rai kwa Umoja wa Mataifa kusaidia Serikali ya Tanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Tanzania ingependa Umoja wa Mataifa uwasaidie ili waweze kujenga yanayotakiwa na wananchi ikiwemo Elimu, Afya, Maji, Umeme na Pembejeo za Kilimo Ameeleza hayo Septemba 24, 2021 katika Mahojiano Maalum na Habari za UN huko New York Nchini Marekani...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya kidato cha sita PCM ufaulu daraja la pili kweli sipati ajira? Dodoma

    Umri 26 Jinsia ME Makazi.. Dodoma mjini Nb Nipo vizur kimwili na kiakili kufanya kazi yeyote ile kwa kuagizwa au kujisimamia kwabidii kubwa... Usijali kuhusu kazi unayonipa nipigie 0621568325 tuongee.. Pia ushauri napokea. "sipendi umaskini"
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu ya Juu: Dondoo za Kuzingatia

    Ukweli uko wazi sasa na sio swala la siri tena. Maisha yetu yanategemea asilimia 30 akili ya darasani na asilimia 70 juhudi zetu na akili zetu za kuzaliwa. Nikiwa kama mwanafunzi wa elimu ya juu kuna mambo nimekuja kujifunza japo kwa kuchelewa ila nina imani ilikua wakati sahihi. Nikiwa kama...
  10. JamiiForums Tanzania Kubadilisha Mfumo wa Elimu ili Kupata Shule Zinazojitegemea na Kujiendesha kwa Faida

    Part One Title: KUBADILISHA MFUMO WA ELIMU ILI KUPATA SHULE ZINAZOJITEGEMEA NA KUJIENDESHA KWA FAIDA BILA KUTEGEMEA KARO, VILEVILE KUZALISHA WAHITIMU WENYE UJUZI WA MAZINGIRA YAO NA UHAKIKA WA KIPATO Utangulizi Kuna jambo halipo sawa kwenye mukstabali wa Elimu yetu nchini pamoja na dunia kwa...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Wanafunzi wasingizia wazazi wamefariki ili wapate mikopo ya elimu

    Serikali imefuta mikopo kwa wanafunzi 47 nchini Uganda baada ya kubainika kudanganya kuwa wazazi wao wamefariki Wanafunzi hao walibainika kujitaja kuwa yatima au wanaolelewa na mzazi mmoja ilhali wazazi wao wako hai. Wanafunzi 10 kati ya 47 walijitaja kuwa watu wenye ulemavu Bodi ya Mikopo ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu chanjo... Part 2 – uviko 19 (muendelezo wa uzi wa elimu kuhusu chanjo)

    Kabla ya kuendelea tafadhali piti andika linalohusu chanjo kwa ujumla Elimu ya jumla kuhusu chanjo (yoyote inayotolewa hapa nchini) UVIKO 19 NI NINI? Kwa Kiswahili tunaita UVIKO 19, yaani “Ugonjwa wa Virusi vya Korona wa mwaka 2019” ikiwa ni tafsiri sisisi ya maneno “Corona Virus Disease 2019”...
  13. JamiiForums Tanzania SoC01 Daraja kati ya Shule, Elimu na Maisha

    Miaka 0-5; umri huu watoto wengi katika jamii zetu huwa bado wapo nyumbani wakijifunza kuongea, kunawa, kula, kutambaa, kutembea, kukimbia, kurukaruka, kucheza na mambo mengine mengi wanayoyahitaji kwa ajili ya kuishi vyema na kwa furaha. Muda huu ni mzuri na wenye kufaa zaidi, kwa sababu mtoto...
  14. JamiiForums Tanzania Elimu Fedha (Financial Literacy) Itawakomboa Watu Wengi Kiuchumi

    Elimu Fedha (Financial Literacy) Itawakomboa Watu Wengi Kiuchumi Habari wana JF, poleni na hongereni kwa shughuli za ujenzi wa Taifa letu. Andiko langu litaangazia jambo ambalo halizungumziwi sana ama halionekani wazi wazi lakini lina mantiki kubwa kwenye ukuaji wa uchumi kuanzia ngazi ya mtu...
  15. JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu Fedha (Financial Literacy) itawakomboa watu wengi kiuchumi

    Habari wana JF, poleni na hongereni kwa shughuli za ujenzi wa Taifa letu. Andiko langu litaangazia jambo ambalo halizungumziwi sana ama halionekani wazi wazi lakini lina mantiki kubwa kwenye ukuaji wa uchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja. Nitaanza kwa kufafanua elimu fedha ni nini, kuna...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe watu wanaotoa elimu kupitia mitandao ya kijamii

    Mitandao ya kijamii inashiriki sana kuelimisha umma wa Watanzania kwa namna mbalimbali kuanzi hapa Jamiiforums, Twitter n.k Nashauri serikali ianze mpango wakutoa Motisha kwa baadhi ya wanaoendesha hii mitandao wakiwemo kina Mexence Melo na wengine ili kuwatia moyo kwa kazi kubwa wanayofanya...
  17. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Muujiza wa elimu ya Tanzania kiongozi akichaguliwa leo akiwa hajui kitu, akishaingia madarakani kesho yake anakuwa anajua kila kitu

    Wahenga walisema, "a fool and his money are soon parted!" Si ajabu nchi iliyojaaliwa maziwa na asali hivi leo ni nchi masikini. Je kuna haja ya kujiuliza tumefikaje huko kama Watanzania? Adui wa taifa hili ni moja tu...aliyehatamia madaraka toka uhuru! A fool and his money are soon...
  18. B

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tubadili mfumo wa elimu ili tulete mageuzi nchini

    Elimu ni ukombozi wa umaskini, hii nukuu kutoka kwa baba wa Taifa mwalim Nyerere, kutokana na kwamba Elimu iwe lazima na bure kwa kila mmoja awe na haki ya kuipata ili ajikomboe kiuchumi na kifkra. Lakini leo hii tunapoizungumzia Elimu Tanzania imekua ni taasisi moja isiyokua na uwezo tena wa...
  19. JamiiForums Tanzania SoC01 Wajibu wa Serikali katika kuleta Maendeleo ya Jamii

    Maendeleo ya jamii hutokana na jamii kwa kushirikiana na serikali kuhakikisha huduma za jamii zinapatikana kwa urahisi kutokana na demokrasia imara pamoja na utawala bora ambao utaongozwa na katiba ya nchi katika kuweka vipaumbele vinavyoleta maendeleo bila kuathiri maisha ya mwananchi, kutambua...
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 Mabadiliko katika mfumo wa elimu ni lazima

    Huwa ni kawaida kuona vitu vinabadilika kutokana na mabadiliko mbalimbali. Mfano, mavazi, kutoka kwenye makuti au maganda ya mimea kwenda kwenye kuvaa nguo, jinsi ya ufanyaji kazi, kutoka kwenye utumiaji wa watu kwenda kwenye utumiaji wa mashine, vyombo vya usafiri, kutoka kutembea kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…