elimu

  1. JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania haichangii chochote kwenye global science and technology kwasababu inahabiribiwa na mwingiliano wa lugha mbili

    Elimu ya Tanzania haichangii chochote kwenye global science and technology kwasababu inahabiribiwa na mwingiliano wa lugha baada ya miaka 7 kuanzia kidato cha kwanza. Hapo juu ni mada: Karibuni tujadili kiundani: Mimi nitatoa highlights zangu chache hapa: Kuanzia kidato cha kwanza wanafunzi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania TBS yaendelea kutoa elimu kwa viwango vya ubora wa bidhaa wilayani Lushoto, mkoani Tanga

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu ya viwango vya ubora wa bidhaa katika wilaya ya Lushoto ambapo imeweza kukutana na wafanyabiashara mbalimbali pamoja na wanafunzi na kuwahimiza kutumia bidhaa zenye ubora ili kuweza kumlinda mlaji. Akizungumza mara baada ya kutembelewa...
  3. JamiiForums Tanzania Suala la Mwanamke kuwa na Elimu/Pesa/Mafanikio kumzidi mwanaume wake!

    Leo nimeamua kuandika hili jambo baada kuona limekua Bomu linalochipuka na ambalo miaka 10 ijayo litakapolipuka, Wanaume wengi watakua waoga sana na wengine kuuacha uanaume wao na huenda neema ya wanawake kuanza kuoa wenyewe ikaja !!. Mdau mmoja ananiambia " Carlos nina rafiki yangu huyo ana...
  4. JamiiForums Tanzania Tuliambiwa pesa za tozo za simu ndio zitatumika kwenye miradi ya afya na elimu sasa fedha za IMF je?

    Waziri wa Fedha awe mkweli maana kama kajisahau vile anaendelea kutoa hotuba, alituambia fedha za tozo zitahusika kwenye Ujenzi wa madarasa na huduma za afya, leo hii fedha walizopewa na IMF anataja miradi ile ile kwamba ndio itakayo tekelezwa, huenda labda mm sijaelewa vizuri pamoja na kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Karibu kwenye elimu nje ya darasa

    Kusema kweli kabisa, yapo mengi SANA ya kujifunza baada ya kuwa tumemaliza elimu ya kufanyia mitihani na kupatia vyeti. Hata kama utasoma ukurasa mmoja kwa wiki, Hakuna tatizo. Lakini iko faida kubwa kuliko kutosoma kabisa. Kwa miaka karibia 40 sasa, tumeambiwa: Ukimwi unasababishwa na HIV...
  6. JamiiForums Tanzania Somo kwa ajili ya ununuzi wa gari toka kwa mtu bnafsi kutoka TRA elimu kwa mteja.

    1. Swali: Chombo cha moto ni nini? Jibu : Ni chombo kinachotumika katika usafirishaji ardhini, ambavyo ni pamoja na Magari, pikipiki na bajaji. 2. Swali: Nikitaka kununua gari kwa mtu taratibu zipoje? Jibu : Unapaswa ufike ofisi ya TRA na picha ya pasipoti ya muuzaji, ripoti ya ukaguzi...
  7. JamiiForums Tanzania Elimu nje ya darasa mbali na walimu

    Ni jambo jema sana kujisomea. Kipengele muhimu sana cha elimu Ni kujisomea baada ya kumaliza shule Nje ya darasa Mbali na walimu Bila kutarajia cheti Bali kwa 'interest' tu Sawasawa na apendavyo mtu. Kuna wanaopenda hadithi Kuna wanaopenda biashara Kuna wanaopenda teknolijia Kuna wanaopenda...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Upuuzi huu mkubwa waliousema Redioni, naomba kujua Elimu za Watangazaji Mwakapotela na Mkambala

    Mtangazaji Mwakapotela Magic FM "Hata kama kuna Ndege ya moja kwa moja kwenda Marekani lakini haziruhusiwi mpaka Kwanza zitue Amsterdam wazipeleleze ndiyo ziruhusiwe sasa Kuruka kwenda huko" Mtangazaji Mkambala Magic FM "Siyo lazima hizi Ndege ambazo Serikali inazinunua nawe au kila Mtu...
  9. JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako, watazame hawa watoto wakiwa wanakwenda shuleni

    Wanafunzi wa kike wanakwenda shuleni, kila mtu awaonee huruma hawa watoto.
  10. JamiiForums Tanzania Sweden yamwaga mabilioni kusaidia elimu ya msingi

    Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa Sh196 bilioni kwa ajili ya kusaidia utekelezaji wa awamu ya Pili ya Mpango wa Elimu kwa Matokeo unaohusu elimu ya Msingi (EP4R II). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Oktoba 5,2021 na kitengo cha mawasiliano cha Wizara ya Fedha na Mipango, Maktaba huo...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi huku ni kukosa Elimu kwa baadhi ya Watanzania au ni nini? Nimeshangaa sana!

    Thread was deleted
  12. JamiiForums Tanzania Elimu ya kulea wagonjwa na wazee ifundishwe VETA uhitaji unaingezeka

    Mara nyingi nimeona mabandiko humu jukwaani la ajira ya kumhudumia mgonjwa au mzee majumbani. Huku mtaani hitaji hili linaongezeka. Magojwa kama kiharusi huwapata watu wengi na kuna wanao athirika na kuhitaji msaada wa karibu katika kuendesha maisha yao ya kila siku. Kutokana na uhaba wa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mkuu wako wa Wilaya ya Musoma, Dkt. Khalfan Haule amuweka ndani Afisa Elimu Wilaya kinyume na Maelekezo yako

    Mkuu wa Wilaya ya Musoma amemuweka ndani Polisi Afisa Elimu wa Wilaya ya Musoma Mwl Kalugendo kwa uonevu ati kwa sababu Afisa Elimu huyo alichelewa kuhudhuria Kikao chake cha Chama kilichopangwa kupokea taarifa ya Maendeleo ya Wilaya ya Musoma. Mkuu huyu wa Wilaya anaenda kinyume na Maelekezo...
  14. JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mwanamke kufanyiwa Kitendo kama hiki hadharani?

    Je Kisheria Ni Sahihi Mwanamke Kufanyiwa Kitendo Kama hili? Je Kimaadili Ni Sahihi Mwanamke Kitendo Kama Hiki Hadharani?
  15. JamiiForums Tanzania Elimu ya mahusiano sio jambo la muhimu sana

    Jamii yetu imechukulia mahusiano ya kimapenzi kuwa ni kitu kibaya Sana na hata tumelelewa kuamini ya kuwa mapenzi au hisia za kimapenzi ni kosa la jinai. Mfano mzuri ni mashuleni, ukiwa na mahusiano na mwanafunzi mwenzio inakuwa kosa kuu ambalo unaweza hata kufukuzwa shule. Sisemi kwamba...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye idea kuhusiana na hii kitu atupe elimu yake kidogo

    Kama kuna mtu aliwahi kuwasikia au mwenye uelewa mkubwa juu ya uwekezaji wa "UTTAMIS" naomba atupe elimu maana nasikia ni uwekezaji mzuri sana kwa malengo ya baadae na haijalishi kipato cha mtu
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 Hii ndio mbinu pekee ya kuokoa Mfumo wa Elimu Tanzania

    Shule ya msingi niliyosoma zaidi ya miaka kumi na tano iliyopita inajipambanua kwa kaulimbiu isemayo “ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA”. Nakumbuka vyema jinsi ambavyo kaulimbiu hii ilifanywa kuwa sehemu ya maisha ya kila mwanafunzi pale shuleni. Mwalimu alikuwa akiingia darasani kufundisha wanafunzi...
  18. JamiiForums Tanzania Kuagiza chanjo ya Covid-19 kabla ya kutoa elimu kwa raia ni matumizi mabaya(Misallocation)

    Mapokezi ya chanjo ya COVID19 nchin sio mazuri, mikoa mingi wana chanjo nyingi zimebaki na watu hawajitokezi kuchanja. Hali hii inataka nchi kujitafakari namna bora ya kuwashawishi wananchi ili wakubaliane na chanjo au waweke ulazima wa kupata chanjo hiyo kwa kuweka vikwazo mbalimbali kama...
  19. JamiiForums Tanzania Elimu bora inahitaji ushiriki wa wazazi na walezi

    Katika makala zilizotangulia niliweka bayana kuwa ili tuweze kupata elimu bora tunahitaji mambo gani; kwa ufupi tu nilianisisha suala la mazingira bora ya kujifunza na kufundishia, vifaa vya kujifunza na kufundishia waalimu bora, ushiriki wazazi na walezi pamoja na suala zima la stahiki na...
  20. JamiiForums Tanzania Utoaji wa elimu bila malipo uendane na uboreshaji wa stahiki za watumishi ili kuhakikisha elimu bora

    Nitumie ukurasa huu kuipongeza serikali ya awamu ya tano katika suala zima la kuendelea kupambana na umaskini kwa kujikita katika kujenga Tanzania ya viwanda ambapo kwa matarajio makubwa ni dhahiri kwamba siku za mbeleni suala la ukosefu wa ajira kwa kiasi kikubwa litakua limepungua. Hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…