Naomba kufahamishwa haya kuhusu elimu ya Udereva

Abuu Dharr

JF-Expert Member
Dec 28, 2017
2,898
3,006
Nataraji Wakuu mpo salama na familia zenu.

Naomba kujua kuhusu elimu ya udereva.

Je, unaweza kusomea udereva wa magari makubwa kabla ya kusomea magari madogo?

Tufahamu kuwa mhusika hana ujuzi kabisa wa udereva.

Nataraji majibu mazuri

Shukrani,
Nawatakia siku njema
 
Inawezekana kabisa. Wengi huanzia kwenye utingo na kujifunza vingi taratibu ila kuhenya kwingi ni lazima.
 
Back
Top Bottom