Mzalendomorogoro
Member
- Mar 15, 2018
- 26
- 36
Soko la ajira limekuwa gumu sana watanzania wengi hushindwa kustahimili soko la ajira na kupelekea ongeza la watanzania wengi wanaomaliza vyuo kwenye ngazi mbalimbali za elimu kukosa ajira na wenye sifa mbalimbali muhimu kwenye jamii na maendeleo ya nchi . Je changamoto ipo wapi ambayo inafanya watanzania wengi kushindwa kustahimili kwenye soko la ajira ndani na nje ya nchi