SoC02 Kwanini mafanikio kupitia elimu yanaonekana kama mvua inyeshayo jangwani?

Stories of Change - 2022 Competition

zephania5

JF-Expert Member
Aug 18, 2022
232
801
Kwa miaka mingi kabla na hata baada ya uhuru, watanzania wengi na hata watu wengine duniani kote, wamekuwa na imani ya kuwa, elimu ndio ufunguo wa maisha. Lakini katika uhalisia wake elimu na mafanikio katika maisha vimekuwa vitu viwili tofauti kabisa. Ni kama mtu aliyeko kusini akiitafuta kaskazini. Kumekuwa na hoja na mijada mbalimbali hata kule bungeni ya kuwa, Watoro wengi ndio wenye mafanikio, kutokana na maoni na utafiti uliofanyika. Hali hii hufanya wasomi kudharaulika au kujidharau wao wenyewe, vile vile hali kama hii inasababisha ionekane ya kuwa, mafanikio katika elimu, ni kama mvua inyeshayo jangwani, kutokea kwake ni nadra na kwa kubahatisha sana.

Kwa nini wasomi kudharaulika, twende pamoja katika makala hii
'' Kaka Robert amka! ni muda wa shamba, leo umechelewa sana kujiandaa, baba na mama wametangulia tayari. Tangu saa 11 alfajiri, wanasubiri uwapelekee mbolea ya samadi, wakakuelekeze namna ya kupanda viazi na maharage. Nadhani atakuwa amekasirika sana, amechoka kukusubiri, si unamjua baba hana mchezo na kazi za shamba...,''.

Hakika haya yatakuwa ni maneno yenye kukereketa kwa upande wa Robert, mhitimu wa shahada ya uhandisi kwenye chuo kikuu cha Dar es Salaam, tawi la Mbeya (MUST). Ni mwaka wa pili sasa tangu atume maombi ya kazi, katika shirika la umeme Tanzania(TANESCO). Miongoni mwa watu laki mbili waliotuma maombi ya kazi, na wakati huo nafasi mia mbili tu zikiwa zinahitajika.

Matumaini ya Robert yatafikiwa tu, kama endapo maombi yake ya kazi yatakubaliwa, kwa kudra za Mwenyezi Mungu. La sivyo ndoto zitabaki kuwa ndoto tu, siku zote. Kijana wa kitanzania toka familia duni, inayotegemea zizi lenye ng'ombe na mbuzi wachache, waliomalizika kwa kulipa karo na michango ya shule na maisha yenye kutegemea mvua za masika, ndipo chakula kipatikane shambani. Kwa mtazamo wa haraka Robert anaonekana kuwa mzigo badala ya kuwa msaada, elimu na ujuzi wake tangu shule ya awali hadi chuo kikuu, inashindwa kubadilisha hali yake mwenyewe, pamoja na hali ya nyumbani, kwa kipindi chote alichokaa nyumbani.
Nikimaliza kusoma nitafanya nini?
Mwalimu mmoja katika chuo kikuu cha Dodoma, aliwahi kuwauliza wanafunzi waliokuwa wamejiunga na mwaka wa kwanza wa masomo akisema '' Mmekuja kusoma uuguzi kwa lengo gani?''. Wapo waliosema '' Tumekuja kusoma hapa kwa ajili ya kusaidia watu'', wengine wakasema '' Tumekuja kuwa wauguzi kwa sababu ya wito''.

Lakini kwa kweli wengi wao walikuwa wamewaahidi wazazi wao, ndugu zao, jamaa zao na hata wapenzi wao, kuishi maisha yaliyo bora zaidi, mara baada ya kuhitimu elimu ya juu. Kabla ya kumsaidia mwingine hakikisha kwanza usalama wako, na hivyo elimu ya kweli ni ile inayoanza kuleta mabadiliko kiafya, kiakili, kijamii na kiuchumi, kwa yule anayeipata kabla ya kuleta mabadiliko kwa wengine pia. Wasomi wengi wapo mtaani wakiwa hawana matumaini wala dira ya maisha ya leo wala ya baadae.

Viatu vimechakaa na vumbi, kutwa kiguu na njia kugonga milango ya ofisi, popote pale walipotangaza nafasi za kazi, hata kama si ile iliyokuwa ni malengo yake. Wengine wapo sekondari au chuo kikuu, bado wanajiuliza ya kuwa '' Nikimaliza kusoma, nitafanya kazi gani''. Ndipo sasa unakuja ule msemo wa waswahili '' Shule
ilitudai akili, kitaa kinatudai mafanikio''.

Maisha yakikuchagulia ngoma, na wewe chagua namna ya kuyacheza ndugu yangu.
Huu ndio mpango mzima!
Umeshawahi kufikiria kumiliki kampuni au shirika lako mwenyewe, na wewe uisaidie serikali kutoa ajira, kwa wasiokuwa na ajira. Ni jambo gumu kusubiri serikali itoe ajira kwa wananchi wote, hakuna serikali kama hiyo duniani. Wapo wengi waliofeli masomo, na kushindwa kuendelea, lakini leo wanamiliki shule ama vyuo. Unaweza kuona hilo haliwezekani ama jambo gumu, maana kazi rahisi kwako ni kubeti, kuwekekeza kwenye makampuni ya mtandaoni yasiyokuwa na ofisi wala mikataba yeyote, na kuishia kupoteza pesa kila siku. Utakuja kuzinduka, ni wewe peke yako hadi leo unaeendelea kuishi kwenu, huku ukiendelea kusifia mapishi ya mama yako pale jikoni. Heshima haiji bure ndugu, acha matumizi mabaya ya muda na akili.

Maisha ni lazima yaendelee. Muda mwingine si rahisi kutambua kusudi lako hasa la kuishi, ni kweli kuwa elimu ndio ufunguo wa maisha, maana ni vigumu sana jamii yenye watu wajinga kupiga hatua katika maendeleo yakiwa ni ya kiafya, kijamii, kiuchumi au kidiplomasia, lakini si lazima kuweka matumaini yote katika fani uliyoisomea ikiwa ni kwamba uliipenda au ulifuata upepo kama bendera, ili kuleta mabadiliko mazuri na yanayohitajika kwenye maisha yako au kwenye jamii uliyopo.

Mwalimu Nyerere aliacha kazi ya ualimu akajikita kwenye siasa kupitia chama cha TANU, ili kuleta uhuru kwa Tanganyika, ambayo leo ni Tanzania. Leo mimi na wewe, tuna uhuru wa kujieleza kama hivi, tuna uhuru wa kwenda popote duniani, tuna uhuru wa kufanya shughuli zozote kwa ajili ya maendeleo yetu wenyewe. Lakini ajabu kubwa ni kwamba wengi wetu hapa ni watumwa wa kifikra.

Kuna watu huzikalia fursa wao wenyewe, na kisha kuanza kuangaza huku na kule wakitafuta fursa na wala wasizione, huo ni upofu wa akili kweli. Wengine hukosa hamasa au msukumo wa ndani, ili kuzifanyia kazi fursa walizoziona au kupatiwa, uoga na aibu ya kushindwa huwamaliza wengi, wasomi na kwa wasio wasomi. Elimu na ujuzi wako visipotee bure, jaribu kutumia uwezo wako wote, vipawa vyako vyote pamoja na nafasi zote ulizojaliwa na Mwenyezi Mungu, ikiwa ni afya, nguvu na akili. Pia rasilimali au mtaji wowote ulio nao, waweza kukufikisha popote pale unapotaka kufika na kuwa mtu bora zaidi.

Utajiri wanaoukimbia wasomi wengi
Wewe kijana mwenzangu, uliyekimbilia mjini kutafuta maisha baada ya kumaliza masomo yako, huku ukishinda njaa kila siku, rudi kijijini kwenu, maana kupendeza sio kushiba. Utajiri umeuacha kijijini kwenu, umeacha ardhi nzuri kwenye mashamba, pamoja na mabonde yenye maji ya kutosha, kwa ajili ya kilimo cha mazao mbalimbali kama maboga, tikitimaji, machungwa, mchicha, miwa, maparachichi ama ufugaji wa nyuki, samaki,ng'ombe. Ukipata kipato cha kutosha unaweza kumiliki zahanati yako mwenyewe, shule yako, hoteli yako mwenyewe na miradi mingine mingi huko mjini au vijijini.

Maisha yana njia nyingi, na unaweza kutumia njia yeyote kufika kwenye hatima yako. Mfano kabla ya kupiga hatua na mageuzi ya kiviwanda, kiteknolojia, pamoja na ulinzi, nchi kama Marekani na China zilikuwa tayari zimejidhatiti kwenye kilimo, idadi kubwa ya watu katika nchi hizi, ikawa sio kipingamizi kabisa katika maendeleo.
Maisha kupitia ajira
Kama ukipata nafasi ya kuajiriwa, kama ilivyo ndoto za Robert, kama tulivyoona mwanzo wa makala hii. Fanya kazi kwa bidii na kwa uadilifu, udumu na upande viwango pia, sababu wengi waliitamani lakini wakakosa. Na wengine waliipata nafasi hiyo lakini wakaipoteza, maana hata wewe mwenyewe ni shahidi wa mambo haya, kama ulivyoona na kusikia kwa watumishi walegevu serikalini, walivyotumbuliwa enzi za utawala wa Hayati, John Pombe Magufuli, na wanavyoendelelea kutenguliwa siku kwa siku na raisi wa sasa, Samia Suluhu Hassan.
Inawezekana,usipokata tamaa!
Lakini ndugu yangu nakuambia leo, usikate tamaa kwa kupoteza au kukosa ajira au kazi uliyoipenda au uliyokuwa unaitegemea, jifunze kwa watu waliofanikiwa kutokana na kushindwa mara nyingi kama akina Thomas Edison, Nelson Mandela na MacDonald, ijapo sitawazungumzia habari zao katika makala hii. Maisha ni kitendawili kwa wengi, na hivyo haina budi kujifunza kila siku, kutokana mafunzo unayoyapata kwenye maisha. Hii ndio maana ya elimu ni bahari au elimu haina mwisho na ni zaidi ya kalamu na daftari. Katu katu! Msomi usikibali kudharaulika tena, uwe kichwa na si mkia, uwe msaada na si mzigo tena. Wewe ni mtu mwenye kutumainiwa katika jamii na taifa lako, kama maji kwa msafiri jangwani.
 
Hongera kwa chapisho zuri. Pokea kura.
Nakualika kusoma chapisho langu SoC: Watu Maarufu na Bidhaa za Wanyonge.
Maoni na kura yako ni muhimu.
Mt09
Shukrani sana, ninaunga mkono jamii ya watu wenye mtazamo mzuri kwa taifa lao kama wewe
 
Kwa miaka mingi kabla na hata baada ya uhuru, watanzania wengi na hata watu wengine duniani kote, wamekuwa na imani ya kuwa, elimu ndio ufunguo wa maisha. Lakini katika uhalisia wake elimu na mafanikio katika maisha vimekuwa vitu viwili tofauti kabisa. Ni kama mtu aliyeko kusini akiitafuta kaskazini. Kumekuwa na hoja na mijada mbalimbali hata kule bungeni ya kuwa, Watoro wengi ndio wenye mafanikio, kutokana na maoni na utafiti uliofanyika. Hali hii hufanya wasomi kudharaulika au kujidharau wao wenyewe, vile vile hali kama hii inasababisha ionekane ya kuwa, mafanikio katika elimu, ni kama mvua inyeshayo jangwani, kutokea kwake ni nadra na kwa kubahatisha sana. Kwa nini wasomi kudharaulika, twende pamoja katika makala hii.

Nimekupigia Kura Naomba na Mimi unipigie Kura kupitia SoC 2022 - Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa
 
Sureee mzee ngoja tuzidi kujifunza
 
Kaka kila nikisoma naona kuna kitu kabisa
 
🙌💥💥💥
 
Chapisho ni zuri changamoto sisi tunaotumia mobile apps tunashindwa wapigia kura. Sijawai penda jf ya browse.

Je washiriki hamuoni kama jf inawanyima haki yenu ya kupata kura.

Je kutakua na usawa katika ushindi.

Kila la kheri mkuu
 
Shukrani sana kwa kuliona hili pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom