elimu

  1. JamiiForums Tanzania Watawala kutumia mbinu ya kutaka kutoa elimu ya Katiba Kwa miaka 3, wanataka KUTULAZIMISHA tuendelee kutumia milele Katiba tuliyonayo sasa!

    Baada ya kauli ya aliyekuwa waziri wa Katiba, Dkt Ndumbalo kusema kuwa watatoa elimu ya Katiba Kwa miaka 3, nilidhani kuwa huo ulikuwa ni mtazamo wake na siyo wa chama chake. Hata kuondolewa kwake kwenye wizara hiyo na kupelekwa kwenye wizara ya michezo, niliamini kuwa ilitokana na kauli yake...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Kwa mantiki hiyo Rais Samia anasema, Kikwete aliwaburuza wananchi alipoanzisha mchakato wa Katiba mpya bila kuwapa elimu ya Katiba

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema “Kuhusu Katiba Mpya tunaanza na Elimu Watanzania waijue, unaanzaje kumwambia Mtu akupe maoni yake kitu hakijui. Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza Watu, tunachokisema sisi Watu wote wafuate, tunageuza Watu makasuku”. Kamati ya Warioba ilizunguka...
  3. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya Serikali kutoa elimu ya katiba ni kufanya katiba kuwa "COMPULSORY STUDY/BOOK" level zote za elimu kuanzia primary to University

    Kwa kuzingatia kichwa cha uzi. - Kama kweli serikali ya Tanzania ina nia ya kutoa elimu ya katiba na kufanya Watanzania karibia wote wa nchi hii kuijua katiba yao vizuri. Serikali haina budi kuchukua uamuzi mara moja wa kutoa elimu ya katiba kuanzia ngazi mbalimbali za elimu yetu kwa kuanza...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mbona Rais Samia kabadilika hivi!? Baadhi ya Mambo yaliyonichanganya sana kwenye hotuba yake leo!

    Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa. Kama ni hivyo basi katiba hii iliyopo haina sifa kabisa kutuongoza Kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Katiba bila elimu ni kazi bure haitatusaidia

    Viongozi wa CCM wamekuwa wakitu elezea kuwa ili katiba iwe na manufaa kwetu inabidi wananchi tuelimishwe hiyo katiba, hilo ni jambo jema. Elimu hiyo yenye viwango vya chuo itatolewa na viongozi wa CCM ambao hatujui waliwezaje wao kusoma wakatusahau wananchi, hata hivyo darasa ni darasa wapo...
  6. JamiiForums Tanzania Miliki funguo ambayo itafungua kitasa/kufuli kwa usahihi

    Tangu tunakua unaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha lakini hatuambiwi kitasa/kufuli la maisha ni kitu gani. Unakuwa bize kusaka ufunguo wakati hujui utautumia kufungulia nini. Listen, nia ya elimu ni kukusaidia kufungua mind yako. Mind ndio kitasa cha maisha! Usipokuwa na ufahamu wa kutosha...
  7. JamiiForums Tanzania Elimu zaidi kutolewa na soko la bidhaa Tanzania (TMX)

    Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), litaendelea kutoa elimu na kuwafikia wadau wengi zaidi ili wafahamu mchango wake katika uchumi wa nchi. Hayo yamebainishwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Bidhaa Tanzania, Godfrey Malekano alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam...
  8. JamiiForums Tanzania Kamati za Kupinga Ukatili Zanzibar zashauri Elimu ya Ndoa Ianze kutolewa kwenye taasisi za Elimu kupunguza Talaka

    ZANZIBAR KAMATI za kupinga vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar zimeshauri kuundwa kwa mfumo utakaotoa fursa elimu ya ndoa kuanza kufundishwa katika ngazi mbalimbali kwenye taasisi za elimu ili kutoa nafasi kwa vijana kujifunza misingi ya ndoa na kuielewa kabla ya kuingia kwenye ndoa. Wameeleza...
  9. JamiiForums Tanzania Wastaafu waweka ngumu Serikali kutoa Elimu ya Katiba kwa Miaka 3

    Mpango wa Serikali kutumia miaka mitatu kutoa elimu ya Katiba kwa wananchi kabla ya kuendelea na mchakato umepata upinzani mpya baada ya mawaziri wakuu watatu wastaafu kuhoji sababu za uelimishaji huo. Mawaziri wakuu hao ni, Cleopa Msuya na Frederick Sumaye na Jaji Joseph Warioba kwa nyakati...
  10. JamiiForums Tanzania Teknolojia inaleta fursa muhimu katika Elimu. Ni muhimu kuondoa vikwazo vinavyozuia wengine kuifurahia

    Elimu ni msingi wa maendeleo na fursa binafsi. Hata hivyo, kupata elimu bora kunaweza kuwa changamoto kubwa kwa makundi mbalimbali katika jamii. Lakini kwa miaka ya hivi karibuni, teknolojia imeleta mapinduzi katika uwanja wa elimu na kuwapa wengi fursa mpya. Kuthibitisha hili, Ripoti ya...
  11. JamiiForums Tanzania Ni Muhimu Kujenga Mustakabali Bora kwa Kila Mtu Kupitia Elimu

    Elimu ni nguzo muhimu katika maendeleo ya binadamu. Kwa karne nyingi, elimu imekuwa ikichochea mabadiliko makubwa katika maisha ya watu na kuendeleza jamii kwa ujumla. Haki ya kila mtu kupata elimu imekuwa msingi wa maendeleo ya kijamii, kiuchumi, na kiutamaduni. Hata hivyo, katika ulimwengu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Vuguvugu la elimu Katiba Mpya, wazee waweka ngumu

  13. JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Hakuna haja ya elimu ya uraia kuandika upya Katiba

    Profesa Lipumba amesema kuwa hakuna sababu ya kutoa elimu ya uraia kwa wananchi kwa miaka mitatu ili kuandika upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Profesa Lipumba ameongeza kuwa Tume ya Jaji Warioba ilishatoa ufafanuzi kuwa wananchi wanaelewa aina ya katiba wanayohitaji na hakuna...
  14. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Dhuluma na Uonevu dhidi ya Kazi ya Ualimu Secondary na Primary schools ni laana juu elimu Tanzania

    Wasalaam, Walimu kwenye mashule ya umma yote sekondary na primary schools licha ya maslahi duni pia hawana amani, hawaheshimiki, kila boss wao ni Mfalme na Malkia, wanadhulimiwa sana, wanaonewa, elimu inapata ongezeko la laana kila siku. Walimu na elimu vinahitaji good governance...
  15. JamiiForums Tanzania Ijue Hadhi ya Ubalozi, its Rights & Privileges. Wajua Kufutwa Ubalozi Dr. Slaa Hakutokani na Ukosoaji wa Bandari na Anaweza Kurejeshewa Ubalozi Wake?

    Wanabodi Juzi September Mosi Imetolewa taarifa ya Ikulu kumhusu aliyekuwa Balozi Dr. Wilbroad Slaa kufutiwa hadhi ya Ubalozi, taarifa hiyo ya Ikulu haikutoa sababu za kumfutia hadhi hiyo ya Ubalozi. Hatua hii imezua mijadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii wengi waki speculates sababu za...
  16. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba akosoa Serikali kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa miaka mitatu

    Waziri Mkuu, mstaafu Jaji Joseph Warioba ameeleza wasiwasi wake kuhusu hatua ya Serikali ya kutaka kuanza kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa miaka mitatu, akisema ni muda mrefu kwa mchakato huo. “Tumefikia mahali kama kuna utashi wa kisiasa, tunaweza kuamua juu ya haya mabadiliko, inanipa wasiwasi...
  17. JamiiForums Tanzania Kikwete: Mkutano wa Taasisi ya Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE) utafanyika Afrika kwa mara ya kwanza

    Rais Mstaafu awamu ya nne, Jakaya Kikwete, amesema anajivunia kuwa Mwafrika wa kwanza kuongoza bodi ya wakurugenzi ya taasisi ya Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE), ambalo liilianzishwa miaka 20 iliyopita. Kikwete ambaye ameanza kuongoza bodi hiyo mwaka 2021 amesema baada ya kumaliza muda wake...
  18. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wilaya ya Uyui inalazimisha Walimu kuchangia michango ya Mwenge

    Wilaya ya Uyui inalazimisha waalimu kuchangia michango ya Mwenge na Mwalimu asiyechangia wanamuwajibisha. Pia, imesisitiza Walimu na Wanafunzi kuwepo shuleni kipindi chote cha mpumziko mafupi kwa ajili ya mapokezi ya Mwenge. Pia, Mkurugnzi kanunua vitenge vyake na amevisambaza kwa Waratibu...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson azuia Mjadala wa Sakata la Bandari Bungeni, asema Bunge lilishatoa maamuzi

    Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa sakata la bandari kuzungumzwa bungeni lakini akaruhusu kuwa litakapokuja kwa utaratibu mwingine wa kibunge itakuwa ruksa. Spika Dk Tulia ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 29,2023 muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na majibu ya wabunge...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Posho za Staff wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania

    Wakuu Naomba Kujua Posho Za Ma Staff kwa Maana wale Non Academic Officer wa Taasisi za Elimu ya Juu Ukiachana na Basic Salary Je wanapewa fedha Za Chakula,usafiri na Nyumba kama zilivyo baadhi ya Taasisi zingine Na mashirika Mengine ya Umma?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…