elimu

  1. A

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mikopo ya elimu ya juu 2023/2024 na changamoto zake

    Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam( UDSM), Jana Octoba 20,2023 matokeo ya awamu ya 1 ya mkopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu yalitoka. Kuna idadi kubwa ya wanafunzi wamepata mkopo chini ya 20% na walikuwa na sifa na vigezo vya kupata mkopo, wengi wao...
  2. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 56,132 Waanza Kunufaika na Mikopo Elimu ya Juu

    Ni vicheko kwa wanafunzi 56,132 waliopangiwa kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali nchini baada ya kupangiwa mikopo ya elimu ya juu katika awamu ya kwanza inayoenda sambamba na nyongeza ya fedha za kujikimu kutoka Shilingi 8,500 hadi Shilingi 10,000. Itakumbukwa kuwa Februari mwaka huu Rais Samia...
  3. JamiiForums Tanzania Maafisa Ugavi wa Wizara ya Elimu wafikishwa Mahakamani kwa Rushwa ya Tsh. Milioni 40

    Shauri la Uhujumu Uchumi Na. 22/2023-Jamhuri dhidi ya 1.YAHYA AMOUR OMAR, 2. AUDIFASY ANGELUS MYONGA ambao ni Maafisa Ugavi katika Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na 3. SHANA WILLIAM MUNISI -Mfanyabiashara na Mmiliki wa Kampuni ya S. Scientific Centre Limited, limefunguliwa leo...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Wahaya hawana maendeleo kama Wachaga wakati kote elimu ilifika mapema?

    Watu wa Kagera hasa Wahaya, sambamba na Wachaga tunaambiwa elimu ilifika huko mapema kabla ya maeneo mengine nchini. Tunaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila naona huu ufunguo umefanikiwa zaidi kwa wachaga kuliko wahaya. Chanzo cha tatizo ni nini, hawa watani wangu walikwama wapi? Ni hayo tu.
  5. JamiiForums Tanzania Mratibu Elimu kata ya Kabarimu wilayani Bunda anadhalilisha Walimu

    😭
  6. F

    JamiiForums Tanzania Muimbaji na mpiga kinanda kutoka Creative Arts atangazwa best student UDSM. Gen Z elimu for fun!

    Habari wadau, Mwanafunzi wa UDSM kutoka department ya Creative Arts maarufu kama Plaboe ametangazwa best student katika mahafali ya chuo Kikuu cha Dar es Salaam ya mwaka 2023. Kijana huyo ameongoza kwa kupata First Class GPA ( 4.8) ambayo ni ya juu kuliko wanafunzi wote UDSM. Amesoma...
  7. JamiiForums Tanzania Zanzibar kufuta mitihani ya Taifa na kuwa na Mfumo Mpya wa Elimu

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inafanya mageuzi makubwa ya mfumo wa elimu kuanzia sasa hivi. Watakuwa na mpango wa muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu. Katika mipango hiyo kuna mitihani ya Taifa ambayo itafutwa kabisa. Hawaoni sababu ya kuwepo kwa mfumo wao mpya wa elimu. Jinsi...
  8. JamiiForums Tanzania Rushwa katika tathmini za wanafunzi ina athari mbaya katika mfumo wa elimu

    Rushwa, inapojitokeza katika mfumo wa elimu, inaweza kuchukua sura nyingi, lakini moja ya matatizo makubwa ni ile inayohusiana na tathmini za wanafunzi. Katika muktadha huu, rushwa inaweza kujitokeza katika njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na walimu kupokea rushwa ili kuongeza alama za wanafunzi...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM wanaua elimu; wanabadili mfumo wa elimu bila walimu

    Sitaki salamu nimevurugwa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Nchi hii ina maamuzi ya ovyo na ya kipumbavu sana. Kila kitu kinafanyika ovyo ovyo! Ni juzi tu serikali imeuza nchi kwa warabu wa DP World. Na ni jana tu Rais Samia ameenda India kuwaomba wahindi waje kununua kipande cha nchi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Waislamu waligoma Tanzania isipate uhuru kwa sababu hawakupata elimu?

    Chama cha All Muslims of Tanganyika, ambao wengi wao walikuwa waasisi wa chama cha TAA, August 1959 walianzisha harakati kushinikiza uhuru ucheleweshwe hadi kiwango cha waislamu kupata elimu kiongezeke kilingane na cha wakristo. Kupitia TANU, iliandaa jumuiya ya mashekhe na kutoka hadharani...
  11. JamiiForums Tanzania Ni kweli Tanzania hatuendelei kwenye elimu?

    Ni matumaini yangu hamjambo ,mu wazima wa afya kabisa wakuu. Poleni na majukumu ila Mimi Kuna kitu kinazidi kunimaliza siku Baada ya siku na hicho kitu siendi mbali ila nipo kwenye suala.la mfumo wa elimu nchini. Mimi Tangu nimalize darasa la sana mwaka 2014 mpaka sasa sijaona mabadiliko...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Saada Salum Mkuya: Tanzania Kupunguza umasikini, kushirikisha kinamama na elimu ya kujiajiri

    12 October 2023 Marrakech, Morocco Waziri wa nchi fedha na mipango wa Zanzibar Mh. Saada Mkuya Salum aikaribisha IDA https://m.youtube.com/watch?v=dthlTxsLjFw December 2023 Benki ya Dunia kupitia taasisi yake ya IDA International Development Association inayohusika kusaidia nchi masikini...
  13. JamiiForums Tanzania Elimu ya kuendesha duka la "mangi" itolewe mashuleni

    Bila shaka duka la mangi ndilo la pili kuajiri watanzaniw wengi baada ya kilimo. Karibu kila mtaa utakuta kuna maduka ya Mangi kuanzia mawili na kuendelea. Umbali wa dakika tano toka hapo ulipo kuna maduka ya mangi mangapi? Watu wengi sana nchi hii wanaendesha maisha kwa kutegemea duka la...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Mafunzo ya Upishi kwa Wasichana waliohitimu Elimu ya Msingi na Sekondari

    Fursa ya mafunzo ya upishi kwa Wasichana waliohitimu Elimu ya Msingi na Sekondari
  15. JamiiForums Tanzania Elimu ya uumbaji binadamu bila kujamiiana

    ELIMU YA UUAMBAJI BINADAMU BILA KUJAMIIANA (CLONING) Mchakato wa uumbaji wa binadamu bila kujaamiana (Cloning) ulianza mwaka 1938 na wanajeshi wa Nazi chini ya kamanda Hitler. Ian Wilmut muasisi wa uuambaji wa kondoo aitwaye Dolly, raia wa London nchini Uingereza alipata upinzani mkali baada ya...
  16. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu na Wamiliki wa Shule binafsi wafanya kikao kujadiliana juu ya changamoto za Elimu

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefanya mkutano na Wamiliki wa Shule zisizo za Serikali kwa lengo la kusikiliza na kujadiliana kwa pamoja changamoto zilizopo katika sekta hiyo. Akizungumza Oktoba 10, 2023 jijini Dodoma, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Embu nipeni elimu - Mdada kaachia kojo

    Yaani mengine ni siri ila ,sasa naanza kupata wasiwasi kuwa wanaake ninaopata ni wagonjwa ,inakuwaje tupo katika heka heka nyumba ya pili wanasikia ila gafla ,kijanajike anaachia kojo zito na kuchafua kila kitu na hapo huwa kesharizika au sijui keshachoka ,nawashangaa au itakuwa sijui...
  18. JamiiForums Tanzania Tunatoa wapi Elimu yetu?

    Tunatoa wapi elimu yetu au msingi wa elimu na mafundisho yetu ni nini? Hili ni swali muhimu katika kuelewa: moja elimu yenyewe, na pili mafundisho yanayotolewa na hiyo elimu. Katika kuelewa elimu yetu, utafiti unapaswa kuwa katika kuelewa mafundisho gani inatoa kwa wanaojifunza au...
  19. JamiiForums Tanzania Shahada ya Uzamili ya Uchawi kutolewa chuoni Uingereza

    Uchawi sasa hivi unaenda kuwa kitu cha kawaida sana Duniani. Kozi mbalimbali zimeanza kuanzishwa zikifundisha uchawi na uganga wa jadj. Nchi ya uingereza inaweza ikawa nchi ya kwanza ya kutoa Elimu ya juu ya uchawi. Vivyo hivyo Sahada ya Uzamili ya uchawi itakayoanza kutolewa mwaka 2024...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tunaomba ufafanuzi kuhusu tangazo la agizo la kufanyika kwa pre-form one

    Jana limetumwa tangazo la agizo la kufanyika kwa pre-form one, English course kutoka kwa makatibu tawala wa mikoa lililotoka OR-TAMISEMI. Agizo hili limeelekezwa kwa walimu wa shule za sekondari za serikali. Hivi ndani ya OR-TAMISEMI au wizara ya elimu, viongozi hawajui utofauti wa formal na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…