elimu

  1. GENTAMYCINE

    Nakataa Sera ya Elimu kubadilishwa na namuomba Rais Samia asiikubali

    Kama Mdau Tukuka wa Elimu, Mkufunzi na mwana Saikolojia nakataa kuwa Tatizo la Elimu ya Tanzania ni Mfumo. GENTAMYCINE nimewavumilieni na huu Upuuzi wenu usiovumilika wa kutaka Kubadili Mfumo wa Elimu ya Tanzania na leo nawatoleeni Uvivu. Tatizo siyo Mfumo wa Elimu uliopo kwani hata akina...
  2. Stephano Mgendanyi

    Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini amechangia hoja ya hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu

    MBUNGE DKT. OSCAR KIKOYO AKICHANGIA BAJETI WIZARA YA ELIMU MWAKA WA FEDHA 2023/2024 Mhe. Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini amechangia hoja ya hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu ya zaidi ya Trilioni Moja Bungeni Jijini Dodoma iliyosomwa na Waziri wa Elimu, Mhe...
  3. R

    Waziri wa elimu lingalie hili la walimu hasa wa Primary kutoza pesa kila siku eti ni mitihani

    Sasa ni kawaida. Kila siku watoto wanakuja wanadai hela eti kuna mtihani. Kila siku kuna mtihani. Enough is enough.
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Jumanne Kibera Kishimba Aishauri Wizara ya Elimu Kuhusu Mtaala na Sera ya Elimu Inayokuja

    MBUNGE JUMANNE KIBERA KISHIMBA AMETOA USHAURI KWENYE KONGAMANO LA MITAALA NA SERA YA ELIMU Mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini, Mhe. Jumanne Kibera Kishimba ametoa maoni yake kwenye Kongamano la Sera na Mitaala ya Elimu Tanzania lililofanyika Jumapili ya tarehe 14 Mei, 2023 Jijini Dodoma. "Elimu...
  5. Wilson Gamba

    Maoni yangu juu ya rasimu ya mitaala na Sera ya elimu 2023

    Kama mtanzania nimepitia na kuisoma kwa umakini kujua Nini kimo maana elimu Ndo Kila kitu katika taifa lolote maana Ndo jiko la wataamu wenye Chachu ya kuleta Maendeleo ya nchi. Nawapongeza Ila maoni yangu ni Kama ifuatavyo: 1. Kwenye Sela ya elimu lugha ya...
  6. Wilson Gamba

    Maoni yangu juu ya rasimu ya mitaala na Sera ya elimu 2023

    Kama mtanzania nimepitia na kuisoma kwa umakini kujua nini kimo maana elimu ndo Kila kitu katika taifa lolote maana ndo jiko la wataamu wenye chachu ya kuleta maendeleo ya nchi. Nawapongeza Ila maoni yangu ni Kama ifuatavyo; 1. Kwenye Sela ya elimu lugha ya kujufunzia ni Kiswahili kwa shule za...
  7. A

    SoC03 Andiko kuhusiana na Elimu

    Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya taifa lolote. Kwa kuzingatia umuhimu huo, ni muhimu kuboresha utawala bora na uwajibikaji katika sekta ya elimu ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata elimu bora na yenye thamani. Kutumia teknolojia ni mojawapo ya njia za kuboresha utawala bora na...
  8. S

    Waafrika wanathamini madaraka kuliko elimu na ufahamu

    Watu wenye maarifa, elimu na ufahamu hawapewi kipaumbele sana hapa kwetu. Hawaheshimiwi, wala kuthaminiwa sana. Hii imekuwa moja wapo ya sababu za kurudisha maendeleo nyuma. Wapo watu waliojitolea maisha yao yote kwa ajili ya kuisaidia jamii, kwa mfano madakatari bingwa wanaotibu magonjwa ya...
  9. Rwetembula Hassan Jumah

    Maendeleo na Elimu

    Siku ukijitambua utaelewa nilichoandika. Afrika tumekuwa program baada ya kutawaliwa, Maendeleo yametuondolea mambo yetu ya msingi (asili yetu) pia Elimu imebadilisha kila kitu chetu. Mfano mdogo.. Madawa, vyakula, imani n.k. Technology. Aliyeleta technology, lengo lake apate pesa sio...
  10. Gentlemen_

    Wizara ya Elimu huku hali ni mbaya! Watoto mnawatengenezea Ulemavu

    Watoto siku hizi wamekuwa kama PUNDA kwanini Waalimu wanawabebesha watoto mabegi mazito na makubwa kuliko hata kilo zao?? Je hakuna ratiba maalumu ya masomo? Hili tatizo lipo kwa ngazi zote Msingi mpaka Sekondari. Vitu vinavyobebwa ni kama ifuatavyo 1_ Sweta 2_Chupa la maji 3_Vitabu si chini...
  11. Nyendo

    Watoto wakiendelea kupewa elimu ya kujikinga na ukatili watakuwa salama

    Hii sijui ni shule gani mwalimu ameamua kutoa elimu kwa watoto juu ya ukatili wanaoweza kufanyiwa ni jambo jema sana katika kupambana na ubakaji na ulawiti kwa watoto, ni jambo linalopaswa kuigwa na shule zote pamoja na wazazi wote, tuweke aibu pembeni tuwaelelze ukweli watoto ili kuwanusuru na...
  12. DR HAYA LAND

    Mabadiliko ya Elimu sijaona Serikali ilichokusudia kubadilisha

    Lugha ya kufundishia inabidi kuwa kingereza lakini mmeamua kupiga siasa. Wanafunzi kufundishwa masomo kuhusu wazungu jinsi walivyowatesa it's none sense. Futeni masomo ya History wanafunzi wasome history ya Tanzania na Dunia kwa Mambo ya msingi na sio kumwambia Mtoto eti katokana nyani. So...
  13. blinder peaky

    SoC03 Upeo wa Mabadiliko yenye Tija katika Sekta ya Elimu nchini Tanzania

    Utangulizi Elimu ni msingi muhimu katika kuleta maendeleo endelevu na ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla. Kupitia elimu watu hupata maarifa, ujuzi, na mafunzo yanayowawezesha kujenga uwezo wao wa kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya kiuchumi, kijamii, kisiasa na uwezo wa kujenga mustakabali...
  14. Dalton elijah

    *mapendekezo ya rasimu ya ripoti ya kamati ya kitaifa ya maboresho ya mitaala ambayo yanaenda kubadilisha mfumo wetu wa elimu

    1. mtihani wa darasa la saba utafutwa. mwanafunzi akianza darasa la kwanza lazima amalize kidato cha nne. 2. kutakuwa mtihani wa upimaji wa kitaifa wa darasa la sita (standard six national assessment). 3. mwanafunzi atatakiwa asome fani fulani kabla hajamaliza kidato cha nne ili aweze...
  15. Said Shagembe

    Elimu inayozingatia Ukuzaji wa Umahiri

    Tunapozungumzia Elimu inayokuza umahiri kwa mtoto tunamaanisha nini?
  16. B

    Rasimu ya Elimu na Katiba mpya.

    Members yeyote mwenye Rasimu ya Mtaala wa Elimu na Rasimu ya Katiba Mpya (ya Warioba).
  17. Mwl.RCT

    SoC03 Maoni juu ya Mfumo wa Elimu Tanzania: Je, Tunakidhi Mahitaji ya Kielimu ya Vijana Wetu?

    I. Utangulizi Tanzania, sawa na nchi nyingine duniani, inatambua umuhimu wa elimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Kwa miaka mingi, serikali imefanya juhudi kubwa kuendeleza mfumo wa elimu, kutoka kwa elimu ya msingi hadi chuo kikuu. Hata hivyo, bado kuna changamoto nyingi ambazo zinakabili...
  18. Patriot

    Rasimu ya sera mpya ya Elimu; Tunachezewa kama yale ya Kilimo kwa vijana

    Nimemsikiliza waziri wa elimu akisisitiza kwamba sera mpya inatimiza matakwa ya rais. Sasa hapo ndo mwanzo wa ujinga wetu. Rais siyo mtaalamu wa elimu. Sera siyo ya rais, kwa nini sera mpya iwe inayotoa majawabu kwa rais? Sera hii kama itapitishwa kama kawaida yetu kwa vision ndogo ya aina hii...
  19. J

    TAMISEMI wanachangia sana kushuka kwa elimu nchini

    Ifike mahali sasa OR-TAMISEMI wapunguziwe majukumu. Kwa kiasi fulani nadhani nao ni sehemu ya kuharibu ubora wa elimu nchini. Najua TAMISEMI wanahusika na TSC, TARURA, DART, Afya, Elimu, etc yani kwa ufupi ni kama wapo kila kona, pamoja na hayo eneo ambalo unaweza kuona wamejikita na wanasikika...
Back
Top Bottom