elimu

  1. Mr Why

    Nchi ya Tanzania itafanikiwa endapo 90% ya Wananchi watakuwa wamepata elimu na kujifunza nidhamu ya kufuata sheria

    Ndugu zangu Watanzania napenda kuwaeleza kuwa matatizo ya Tanzania yanasababishwa na ukosefu wa elimu (ujinga) na sio umasikini. Utajiri unapatikana hata kwa kuuza mboga endapo nidhamu ya pesa itazingatiwa Wananchi wanapokosa elimu matokeo yake ujinga unatawala katika fikra zao na mwisho wake...
  2. TheForgotten Genious

    Kati ya elimu na afya kipi kitolewe bure na serikali?

    Elimu na Afya ni huduma muhimu sana katika jamii,ila nina uhakika kwamba moja wapo ni muhimu zaidi hivyo inapaswa kutolewa bure. Nakusanya data kwa kazi maalumu ya kiutafiti,naomba nisaidie kufanya voting kulingana na mtazamo wako. Baada ya polling hii nitakuja na muendelezo ili utimiza adhma...
  3. technically

    Sioni umuhimu wa elimu Tanzania

    Ukweli mchungu kwa mazingira ya Tanzania elimu haina maana yeyote. Watu waliosoma vizuri uko nyuma asilimia kubwa wapo nje ya nchi wanafanyakazi na kulipwa vizuri Waliobaki Tanzania wengi ndo wameshikilia serikali elimu yao na vyeti vyao ni tiamatiamaji!! Mtu alipata four ya 28 akasoma...
  4. Jacobus

    Bodi ya mkopo elimu ya juu mwaka ujao nilipe tena?

    Kwenye gazeti la leo la Mwana Habari pana habari inayosemeka 'Rais Samia apeleka kicheko elimu ya juu'. Habari hii inahusu mikopo kwa wanafunzi wa vyuo. Kwa kweli nimefadhaika mno kwani niña binti ambae kateuliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salamm (UDSM) kwa mwaka wa kwanza. Tarehe 4/09 nililipa...
  5. Master mjehe

    Mtaan kuna hitaji elimu ,uchawi ama upambanaji?

    Wajamvi polen. Na majukum. Ndugu yenu napitia changamoto hasa katika harakat za utafutaji unapambana sana lkn mwisho wa siku asbh unamka unajikuta huna hata sent ya kuanzia siku hiyo ,hadi unatamn usiku uendelee tu. Mwisho wa siku najiuliza ili ufanikiwe katika haya maisha ni misingi ipi...
  6. Master mjehe

    Mtaani kunahitaji elimu, uchawi ama upambanaji?

    Wajamvi polen. Na majukum. Ndugu yenu napitia changamoto hasa katika harakat za utafutaji unapambana sana lkn mwisho wa siku asbh unamka unajikuta huna hata sent ya kuanzia siku hiyo ,hadi unatamn usiku uendelee tu. Mwisho wa siku najiuliza ili ufanikiwe katika haya maisha ni misingi ipi...
  7. Stephano Mgendanyi

    Wanu H. Ameir (Mtoto wa Rais Samia) - Kupata Elimu ya Afya ni Jambo Moja, Lakini Muhimu Sana ni Kupima Kujua Afya yako

    WANU H. AMEIR - KUPATA ELIMU YA AFYA NI JAMBO MOJA, LAKINI MUHIMU SANA NI KUPIMA KUJUA AFYA YAKO "Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) tunaunga mkono Serikali zote mbili, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika masuala ya Elimu, Afya na Uchumi" -...
  8. and 998 others

    Kiwango cha juu cha ELIMU ya Gachagua?

    Mwenye kufahamu kiwango cha juu cha ELIMU ya aliyekua Naibu Rais Kenya Rigathi Gachagua tafadhali. Ukimsikiliza matamshi yake Kuna kitu utang'amua
  9. AFRIKA ACTIVE ACTIONS

    Elimu Kwa wapiga kura iwe endelevu

    Ni mazingira gani yanayopelekea huu utamaduni kutokuwa endelevu?
  10. Gulio Tanzania

    Wachina na wahindi wamefanikiwa sana katika kuanzisha viwanda vidogo vidogo hata sisi naamini tunaweza

    Kwa dunia ya sasa haina haja ya kusubiri aje mwekezaji mkubwa kutoka nje ya nchi aje atuletee maendeleo tutabaki kuwa watumwa katika nchi yetu kila muwekezaji anakuja kwa lengo la kuchuma nazani Mimi kwa mtazamo wangu naona wakutukomboa ni sisi wenyewe tunapaswa tuongeze jitihada mahali flani...
  11. Lugano Edom

    Huwa mnawakanya mambo muhimu ya kuzingatia huko vyuoni?

    Oya wana Jamiiforums hivi hawa madogo kabla ya kwenda Chuo Kuenjoy na bata sijui Boom. Hivi huwa mnawakanya mambo muhimu ya kuzingatia huko vyuoni.... ✍️
  12. YETU MOTORS CO LTD

    Pitia elimu fupi: Subaru forester 4th generation (eyesight)

    HII NDIYO FORESTER NEW MODEL (4th GENERATION)🔥🔥 FORESTER ni gari ambayo imepata umaarufu wake kutokana na Ufanisi wa Utendaji wake ambao ni thabiti hata katika barabara zenye changamoto. Katika Toleo la NNE (SJ) Kuna maboresho ambayo yamefanyika. Hapa tunazungumzia matoleo ambayo uzalishwaji...
  13. Lady Whistledown

    Ni wapi bado tunahitaji sauti zaidi za wanawake? Je, ni katika Siasa, Elimu au Biashara?

    Wanawake wanaposhiriki katika maamuzi, huleta mitazamo mipya yenye nguvu za kuleta mabadiliko chanya na ya kudumu. Ushiriki wao unaleta uwiano wa kijinsia unaohitajika katika kila sekta – iwe ni siasa, biashara, jamii au elimu. Tunapozingatia changamoto nyingi zinazokumba jamii zetu, kama...
  14. D

    Tuelewane: waliposema education ni ufunguo wa maisha hawakumaanisha elimu ni ufunguo wa pesa

    Watu wanachanganya vitu viwili ambavyo ni muhimu. Maisha yanajumuisha akili za utambuzi, kuishi na watu technically mana dunia haina hira, kuwepa viunzi vingi vya kifo nk Pesa au fedha ni ujanja wa mtu tu bila kujali amezipata kihali au la: Ndo mana wenye pesa mara nyingi wanakufa haraka mana...
  15. kwisha

    Naombeni elimu juu ya upima wa shinikizo la damu

    Naombeni elimu jinsi ya kupima shinikizo la damu Nyumbani mzee wangu alinunua kifaa chake cha kupima presha Siku moja Nikapima na mimi Cha ajabu nikakuta shinikizo la damu kwangu lipo kwenye 151/77 Nakapima Tena mara ya pili likawa lipo kwenye 133/ 80 Sasa imekuwa tabia yangu ya kupima...
  16. Thabit Madai

    Pemba kunahitajika zaidi elimu ya uzazi wa mpango, Watoto wanateseka

    Naandika andiko hili fupi nikiwa Unguja - Zanzibar baada ya safari ya takribani Wiki Mbili nikiwa kisiwani Pemba. Mimi ni Mwandishi wa habari na nimepata bahati ya kutembelea maeneo mengi Tanzania bara na Visiwani ila nilichokikuta Pemba bado kinanijastaajabisha hadi sasa naandika andiko hili...
  17. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa Aeleza Dhamira ya Rais Samia ya Kuboresha Utoaji wa Elimu Nchini

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha nyingi za ujenzi wa vyumba vya madarasa, mabweni na mindombinu mingine ya shule ili kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa kutoa fursa ya idadi kubwa ya wanafunzi kujiunga na elimu ya sekondari na...
  18. A

    Kiwango cha juu cha ELIMU ya Zembwela

    Mwenye kufahamu kiwango cha juu cha ELIMU ya huyu mtangazaji/ Msanii Nguli tafadhali
  19. Brojust

    Kwanini watu wanachukia sana Ugali. Kwani ugali una kosa gani jamani?, Wanasayansi njoeni basi mtupe Elimu

    Wadau habari ya Jioni, kwani ugali una shida gani, mimi nilijua ni hapa tu jamiiforum kumbe hata majumbani kwa watu. Mimi ni mzanaki wa pale Kyabakari mbona kule kwetu tunakula ule ugali wa mtama na tupo fresh tu. Tena ukila ugali wa mchanganyiko wa udaga na mtama alafu mboga yako ikawa kuku...
  20. N

    TBL imezindua Kampeni yake ya ‘Smart Drinking’ yenye lengo la kutoa elimu ya kunywa kistaarabu

    Katika kusheherekea siku ya bia duniani, Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL), inayoongoza kwa utengenezaji wa vinywaji hapa nchini, leo imezindua Kampeni yake ya ‘Smart Drinking’ yenye lengo la kutoa elimu ya kunywa kistaarabu. Kampeni hii inalenga wauzaji na watumiaji wa bia ili kuwahimiza kunywa...
Back
Top Bottom