elimu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Bado nakuja kwenu wanaJF kuomba elimu; Nini' Vigezo vya Star wa movie za mapigano?

    Je, 1. Ni ujuzi wa kupigana?!!! Kwahiyo mnataka kuniambia Angelina Jolie anapiga hatari, sio?!!! 2. Muonekano? 3. Utajiri Au nini'?!!! Msaada tafadhali.
  2. JamiiForums Tanzania Msimamo wangu juu ya elimu ya msingi na maboresho yake

    Nikiwa Rais wa Tanzania yatafanyika maboresho kwenye shule za msingi kama yafuatayo;- Kuongeza wigo wa masomo ya kingereza Kuongeza somo la compyuta Kuongeza vigezo vya walimu wa msingi
  3. JamiiForums Tanzania Je kuoa mwanamke aliye kuzidi elimu ni Ujinga or?

    Kumekuwa ma mjadala juu ya hili je wadau hili lina ukweli au inategemea?
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. Aneth Komba: Somo la Elimu ya Biashara ni la lazima kulingana na maboresho ya Mtaala

    Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Komba amesema somo la Elimu ya Biashara ni la lazima kulingana na maboresho ya Mtaala ulioanza kutekelezwa Januari 2024. Akifungua kikao kazi cha siku mbili cha Makatibu Tawala wa Mikoa na maafisa Elimu kilicholenga kujadili...
  5. JamiiForums Tanzania Elimu ya darasani haimfanyi mtu kuwa na akili nyingi kuliko wengine – Ushahidi uko wazi kwenye viongozi wetu.

    Kwa muda mrefu sana tumekuwa tukidanganywa kwamba elimu ya vyeti ndio kipimo cha akili au uwezo wa mtu kufikiri. Lakini tukitazama hali halisi ya nchi yetu, tuna viongozi wengi wenye PhD, Master's, au shahada, lakini wanashindwa kufanya maamuzi ya msingi yanayowanufaisha wananchi. Tuna walimu...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wazazi na jamii kwa ujumla wanasomesha watoto lakini wakija kutumia maarifa ya elimu wanaambiwa wanaringa

    Maneno ni mengi sana kwa vijana wanaohitimu vyuo Mara waambiwe wanaringa, mara elimu ni ya makaratasi haiwasaidii chochote na kejeli nyingine Wengi wa watoto siku hizi kwanza huwa hawapendi shule lakini wazazi na serikali wanatumia nguvu kubwa kuwalazimisha wasome lakini wakimaliza maneno...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Elimu ya Padiri Mchungaji au Shehe, mpaka kufikia kwenye cheo alichonacho

    Nazani kuna watalamu humu ndani wanaojua elimu za hawa watu mpaka kufikia kupewa jukumu la kuwasemea watu Ili tuepukana na kukubali kusemewa na watu ambao hawana elimu kumbe uwezo wao wa kuchambua mambo ukawa mdogo, Ingawa bado kuna wengine na elimu zao bado wanabaki kuwa machawa wa watu fulani
  8. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo waliodhalilishana wameudhihirishia umma kuwa elimu ya VETA ni muhimu kuliko elimu ya Chuo Kikuu.

    Ukweli mchungu! Umalaya, ushoga, usagaji, na uhuni umekuwa kipaumbele kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko elimu iliyowapeleka huko. Wengi wanahitimu shahada zao na GPA kubwa za kwenye makaratasi kuliko kilichopo kichwani mwao - kwasababu ya rushwa za ngono na pesa. Wakirudi majumbani...
  9. JamiiForums Tanzania Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana.

    Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana. Jux we ndo kioo cha jamii Hapa Tanzania achana na hao waswahili wanaojiita wasanii.
  10. JamiiForums Tanzania Elimu na maarifa ya ziada

    Haya si ya KIADA bali ni ya ZIADA.. Ya KIADA huwa kwenye mitaala na miongozo rasmi ya serikali kwenye ufundishaji mashuleni na vyuoni Ya ZIADA sio rasmi na walimu na wakufunzi hawana shuruti ya kuyafunza bali kwa utashi wao na kwa nia ya kuwaongezea wanafunzi wao maarifa wanaweza kuwafundisha...
  11. JamiiForums Tanzania Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano Katika kuendeleza Sayansi na Elimu Watiwa Saini Kati ya Tanzania na Saudi Arabia

    Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano Katika kuendeleza Sayansi na Elimu Watiwa Saini Kati ya Tanzania na Saudi Arabia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Aprili 13, 2025, nchini Saudi Arabia, imesaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano na Wizara ya Elimu ya Saudi Arabia katika kuendeleza...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi kampeni ya " NO REFORM NO ELECTION" inavyo prove ubovu wa Elimu ya mkoloni( Colonial Education) kwa waafrika

    Ndio maana kila siku huwa napinga kulipia hela kwenye shule inayo fundisha kwa kutumia mtaala wa Necta.( No value for money) Mtaala unao muandaa mwanafunzi kufaulu mitihani yake ya mwisho. Mtaala unao mkaririsha mwanafunzi. Na point zao siku zote huwaga ni zile zile👇👇👇👇👇 1. Poor leadership...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali Itaendelea Kuboresha Miundombinu ya Elimu Muhambwe

    SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA ELIMU MUHAMBWE Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali itaendelea kuboresha miundombinu ya elimu Sekondari hususan ni shule za Busagara na Kumgogo zilizopo halmashauri ya Tandahimba kwa kadiri ya upatikanaji wa...
  14. JamiiForums Tanzania Elimu gani ni bora zaidi kati ya elimu ya Magharibi na ile ya Uarabuni?

    Hili swali limekuja baada ya kumuona huyu mwanamama Fatma Karume aliyesoma London School of Economics(LSE) akiposti kwa juhudi kubwa sana posti nyingi nyingi huko twitter kuiweka elimu ya uarabuni katika mizani sawa na elimu ya Magharibi huku akilalamika wanaoujua elimu ya Magharibi kutokujua...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali Kuendelea Kutoa Elimu kwa Waandishi wa Habari Mitandaoni

    SERIKALI KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA WAANDISHI WA HABARI MITANDAONI "Je, Serikali imejipangaje kuhakikisha ongezeko la vyombo vya habari mtandaoni haliathiri maadili na utamaduni wa Taifa letu" - Mhe. Toufiq Salim Turky, Mbunge wa Jimbo la Mpendae "Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanisa Katoliki lahoji uhalali wa Tume ya Uchaguzi, lasema wajumbe ni wateule wa Rais

    Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
  17. JamiiForums Tanzania Badala ya elimu bure, serikali igharamie chakula cha mchana kwa shule zote za sekondari za kutwa na shule za msingi

    Suala la lishe ni muhimu sana, lakini naona mpango wa chakula cha mchana kutolewa kwa wanafunzi inaendelea kubaki kuwa changamoto. Mtoto anatoka nyumbani saa 12/1 asubuhi anarudi saa 10/11 jioni ndio anapata chakula cha mchana, kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba; watoto wa shule huwa wako...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Kizungu/Kiarabu i.e:uislam /ukristo haziwezi kamwe kumkomboa Mwafrika KIFIKIRA

    Hili liko wazi na halipongiki. Kama Waafrika wamesoma hadi kuwa maprofesa na bado hawatambui juu ya uongo ndani ya uislam/ukristo na bado hawatambui wanatoka wapi na wanenda wapi kiasi cha kuendelea kutumia majina ya ubatizo ya kizungu na kiarabu yasiyo na maana kwao...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musoma: REA yatoa elimu kwa wananchi kuhusu kutumia fursa ya miradi ya REA, wananchi waomba huduma hiyo ifike maeneo yote ambayo bado hajafikiwa

    Wananchi mkoani Mara wamesisitiza kuridhishwa na utekelezaji miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), inayotekelezwa nchini kwa lengo la kuwapatia umeme wa gharama nafuu. Hayo yamejiri wakati Wataalam wa REA walipofika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu kutumia fursa ya miradi ya REA...
  20. JamiiForums Tanzania Wasichana wa elimu ya juu miaka ya 1960, na leo utasikia watoto wa siku hizi!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…