Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,461
- 8,596
Nikiwa Rais wa Tanzania yatafanyika maboresho kwenye shule za msingi kama yafuatayo;-
- Kuongeza wigo wa masomo ya kingereza
- Kuongeza somo la compyuta
- Kuongeza vigezo vya walimu wa msingi