elimu

  1. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Watanzania tuna elimu haba sana juu ya ulimwengu na sheria zake (universe and it's laws): Mwenye swali lolote karibu tuchangamshe bongo

    Ulimwengu (universe) una maajabu yake ila kwa Watanzania sidhani katika watu 100 unaweza kupata hata wawili wenye kujiuliza maswali na kuyatafakari kwa kina Enyi ndugu zangu ambao mmetenga baadhi ya seli zenu za ubongo kufahamu mambo nje ya Simba na Yanga karibuni sana tujifunze Uliza swali...
  2. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya elimu yawataka wazazi wenye watoto shuleni kuwanunulia vitabu vya mtaala mpya, Je, huwa unawanunulia vitabu vya shule watoto wako?

    TAASISI ya Elimu Tanzania (TET)imetoa rai kwa wazazi na walezi wenye watoto wanaosoma madarasa ya awali, msingi, sekondari ,vyuo pamoja na watu wenye mahitaji maalum kununua vitabu vya mitaala mipya vinavyopatikana katika taasisi hiyo na kuuzwa maeneo mbalimbali nchini Rai hiyo imetolewa Jijini...
  3. Me1986

    JamiiForums Tanzania Kielimu, wife material aweje na atoke profession Gani!?

    Ova Utafanya naye mapenzi bure bila hela...Mtajuana na kutambulishana kwa wazazi huyo mwingine Acha longoLongo sema una shilingi ngapi Wanamaanisha ukioa usafi wa nguo zako hata boksa utamkabithi yeye bila malipo anapiga kila siku asubuhi na jioni Wanamaanisha Anatunza nyumba yenu kwa usafi...
  4. G

    JamiiForums Tanzania ELIMU BURE

    Kwanini serikali isifute sera ya Elimu bure ili iweze kupunguza gap la kugharamia elimu nchini??
  5. dorge

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wetu elimu haijatusaidia, hadi suala hili linapoibuka kuleta ufahamu kwa wasomi

    Wasomi wengi nchi hii elimu haijawasaidia, wapo baadhi na mimi binafsi wanyooshea mikono. Makundi mawili elimu imewasaidia, 1. Walioamua kukaa pembeni na kufanya siasa. Ni katika kundi hilihili wanaharakati mbalimbali hawa Allah ataweka mbali na moto inshaalah. Hapa hawamo watu kama au jamii...
  6. DiasporaUSA

    JamiiForums Tanzania Fikiria mara 2 au zaidi kuhusu elimu kisha chukua hatua

    Ikiwa wazazi wako walikushauri uende chuo kikuu ili uweze kuhitimu, upate kazi nzuri na uishi maisha mazuri, walikukosea. Ikiwa unafikiri ulisoma chuo kikuu ili upate kazi nzuri, utachukizwa milele. Pia, hakuna kozi inayoitwa 'inayofaa sokoni'. Hiyo haipo. Kitu cha pekee kinachofaa sokoni ni...
  7. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Ulisoma english medium au shule ya serikali? Na nini unakumbuka kuhusu shule yenu?

    Kwa uelewa ulionao sasa, unafikiri ungesoma shule tofauti ingekusaidia kwenye maisha, ajira au biashara? Je, watoto wako watasoma shule kama uliyosoma wewe au utawapeleka kwingine? Binafsi nimesoma shule ya msingi ya serikali, mkoani Tabora. Nakumbuka nilikua na eneo langu la bustani la...
  8. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Elimu Tanzania(TEA) imekabidhi matundu 24 ya vyoo kwa milioni 51 kwa shule ya sekondari Mpechi Njombe

    Zaidi ya shilingi Milioni 51 zilizotolewa na Mamlaka ya Elimu Tanzania TEA zimetekeleza mradi wa ujenzi wa Vyoo matundu 24 katika shule ya Sekondari Mpechi Halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe na kupunguza changamoto ya watoto kuugua magonjwa yanayotokana na uchafu. Akikabidhi mradi huo...
  9. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Maswala ya Elimu yote kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vya ualimu yawe chini ya Wizara ya ELIMU, TAMISEMI wapunguziwe mzigo.

    Husika na kichwa habari hapo juu; Nashauri, masuala yanayohusu Elimu nchini yashughulikiwe kipekee zaidi kuanzia usimamizi na uratibu wake. Hivyo basi: nashauri wizara ya Elimu iwe ndo mratibu mkuu wa shughuli zote za Elimu nchini kuanzia halmashauri mpaka Taifa, na vibao vyote vya shule...
  10. Angyelile99

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali watumie saiti zao kukumbusha majukumu ya wazazi kwenye maendeleo ya kitaaluma kwa watoto wao mkoa wa Manyara

    Dah. aisee kuna changamoto kubwa sana watumishi wa umma haswa waalimu ambao sio wazawa wa mkoa wa manyara. Kumekua na changamoto ya wazazi kusikiriza taarifa wanazo ambiwa na watoto wao zisizo na ukweli wowote juu ya mambo yanayo endelea shule. vijana wengi wamekua ni wavivu wa kuhudhuria shule...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Katimba: Serikali Itawafikia Vijana Wapate Elimu ya Kudhibiti Maambukizi ya VVU

    KATIMBA: SERIKALI ITAWAFIKIA VIJANA WAPATE ELIMU YA KUDHIBITI MAAMBUKIZI YA VVU Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Ofisi hiyo itaendelea kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu na wadau wa maendeleo kuhakikisha inawafikia vijana na kutoa Elimu ya tahadhari na...
  12. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Mbozi: Taasisi za elimu zahimizwa ubunifu wa miradi ya maendeleo ili kujiendesha

    Viongozi wa Taasisi za Elimu wakiwemo Wakuu wa Shule, wilayani Mbozi, wametakiwa kuwa wabunifu wa miradi ya kimaendeleo, katika maeneo yao ya shule, hali ambayo itawasiaidia wanafunzi kujifunza stadi za maisha pamoja na kuwapatia kipato ambacho kitasaidia kuendesha shughuli za shule ikiwemo...
  13. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Wazazi Mnaosomesha Watoto Shule za Private jifunzeni kufanya tathmini ya Pesa mnayowekeza katika Elimu hiyo na matokeo yake (Hawatazeekea Nyumbani)?

    Katika kila jamii, elimu hupewa nafasi ya kipekee kama nyenzo ya kufanikisha maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla. Wazazi huwekeza kwa gharama kubwa kuhakikisha watoto wao wanapata elimu bora, wakiamini kuwa elimu ni ufunguo wa maisha bora. Lakini swali la msingi linabaki: Je, uwekezaji...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Elimu Mtandaoni - online learning Tanzania na Mdee Academy

    Habarini wana jamii Matumizi ya mtandao wa intaneti hivi sasa ni makubwa sana hapa nchini, si kwa watu wazima tu bali hata kwa wanafunzi. Hata hivyo wanafunzi wengi kwa maoni yangu huwa wanatumia mitandao sana sana kwa ajili ya burudani, ni mara chache utamkuta mwanafunzi akitumia mitandao kwa...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Serikali inapaswa kuratibu madarasa ya kufundisha watoto wadogo dini kupitia mfumo rasmi wa elimu

    Video ya inayosambaa mitandaoni ya mwalimu wa madrasa huko Mbagala akiwapiga fimbo watoto wadogo ni mbaya sana. Hata hivyo ukisikiliza wanaochukua hiyo video wanasema siku nyingine huwa anawapiga mpaka hasira zake ziishe! Hii ni hatari kwa usalama wa hao watoto. Kwa kumuangalia tu huyo mwalimu...
  16. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kutoa elimu kwa wakazi na wanafunzi Iringa

    Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Mhe. Dkt. Thomas Masanja amesema THBUB inatarajia kutoa elimu kuhusu haki za binadamu na misingi ya utawala bora kwa Wakazi na Wanafunzi wa Shule za Sekondari na Vyuo katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Iringa kwa lengo la kuwawezesha...
  17. ngara23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali harakisheni elimu Kwa wachambuzi wa media za Tanzania

    Nimeanza kuafiki wazi la waziri mwana FA kuhusu kuwapa elimu ya uchambuzi wachambuzi mazwazwa wa Tanzania Inashangaza wachambuzi kuongelea na kulamika kuhusu upangaji wa kikosi wa coach na kulazimisha kipangwe kikosi wanachotaka wao 1. coach ndo anaishi na wachezaji Coach ndo anajua mchezaji...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024

    Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024. Hii ni katika kuhakikisha elimu ya ufundi inafundishwa katika hatua za mwanzo za mwanafunzi akiwa shuleni. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PSRS NA WAZIRI WA ELIMU HOI...!

    Asha kuum! Si matusi... Niwapongeze PSRS na wizara inayohusu mambo ya elimu kwa ugunduzi huu wa usaili kwa kada ya uwalimu kwa hakika tunaweza kupata walimu bora kama mnavyo jinadi kwenye majukwaa. Usahili wa walimu umefanyika na unendelea kufanyika kwa malengo yale yale ya Prof. Mkenda ila...
  20. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Elimu juu ya nguvu za kiume, PMS, saikolojia, Sanaa ya mapenzi, lishe na mitishamba. Too deep

    https://youtu.be/Fh1P-A3RQbg?si=tEi8cxUnz1rTIuQe
Back
Top Bottom