elimu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu na Tamisemi ingilieni kati baadhi ya shule zimegoma kutoa likizo ndefu kwa mujibu wa ratiba ya Wizara ya Elimu

    Ni jambo la kawaida kwa mujibu wa mitaala ya elimu nchini wanafunzi wa shule za secondari na shule za msingi kuwa na likizo ya mwezi mmoja kati ya mwezi wa sita hadi wa saba.Hata hivyo , kuna baadhi ya shule zimetoa likizo ya wiki moja tu. Hakuna asietaka mwanafunzi kuwa na ufaulu mzuri, lakini...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Elimu yangu

    Nina bachelor degree in Gender and Development, nataka kwenda Dubai kutafuta maisha. Ila ndoto zangu nataka kwenda nchi za kiarabu kama njia ya kwenda ulaya... Hasa scandinavian countries, Sasa naomba kujua vyeti vyangu nibebe au niachane navyo!! Mana nasikia kule elimu yetu Haina Thamani...
  3. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Mbona kanisa likijenga shule hamsemi linaingilia wizara ya elimu? Mbona likiombea mvua hatusemi linaingilia hali ya hewa?

    Wakuu leo nimeukumbuka ujumbe wa Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) dhidi ya kauli za watawala kudai makanisa kuingilia masuala ya siasa wakati huo kanisa linapambania haki na maslahi ya wananchi "Nilikuwa nasikia watu wananirushia madongo 'wewe Askofu umeshindwa kazi ya uaskofu njoo...
  4. B

    JamiiForums Tanzania UDSM yawaita Wadau wa Elimu kushiriki maadhimisho Wiki ya Utafiti na Ubunifu

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeutaarifu umma wa Watanzania na kuwaalika wadau wa elimu na maendeleo, kwa ujumla kushiriki katika Maadhimisho ya kumi ya Wiki ya Utafiti na Ubunifu ya UDSM yatakayofanyika kuanzia Juni 9- 11, 2025 katika Viwanja ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kulikoni bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    Hadi sasa hela za,matumizi ni Dana Dana leo wiki napika ugali then ule uji nilitumia kusongea ugali ndio nafanya mchuzi WATANZANIA wako na mioyo ya huruma msaada jamani
  6. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kilimanjaro ndio Mkoa pekee ambao Wabunge wake Elimu ya chini Wana shahada/degree. Bila Degree Sahau kuhusu Ubunge huko Kilimanjaro

    Habari za Asubuhi! Kule Kwetu Kilimanjaro, Moja ya Mambo muhimu wananchi wanayazingatia kumpa Mtu Ubunge ni Elimu yake. Unajua Kilimanjaro mtu anaheshimiwa kwa mambo makuu yafuatayo; 1. Pesa 2. Elimu 3. Familia. Wananchi wa Kilimanjaro hata wale wajinga kabisa ambao hawakusoma hata darasa...
  7. JamiiForums Tanzania Katika mataifa yenye maadili suala la utata wa elimu za wabunge wengi ni skendo kubwa ya kutikisa nchi

    Huko kwenye nchi za ulimwengu wa kwanza kiongozi au mwanasiasa kudanganya au kuandika taarifa za kubumba katika CV yako hasa suala la elimu ikugundilika ni suala linaloweza kupelekea hata kupoteza nafasi yako ya uongozi. Hili ni suala ambalo utakuta linajadiliwa hadi katika vyombo vikubwa vya...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Abbas: Ukweli kufuniliwa kesho kanisani

    Watu wanaalikwa kanisani kwa Gwajima kuujua ukweli kuhusu elimu ya ABBAS. Mwana kulitafuta, mwana kulipana. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nacheka, lakini naogopa
  9. JamiiForums Tanzania Elimu kwa video: Chakufanya pindi unapopata Allergy (mzio)

    Habari za wakati huu. Nimeandaa video hii ili kuzungumza kwa kina juu ya matatizo yanayo sababishwa na allergies na njia mbalimbali zakutibu zikiwemo mitishamba. https://youtu.be/UKhfahXz2UU?si=IDitY_xh0MB3o90h
  10. JamiiForums Tanzania Elimu ya kidato cha nne ni elimu kubwa sana ndani ya chama chetu

    Achana na ufaulu kwakuwa unaweza kuchora duara na bado mambo yako yakawa supa sana.. Kikubwa uwe kada mtiifu halafu usiwe mchoyo...! Halafu ujue kuwanyenyekea wakubwa! Kule kwa wavimba macho na wengineo wameweza kutoboa kwa sababu engine haikuwa mbovu... Walihakikisha ofisi kubwa inakamatwa na...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Tazama list ya wabunge wa Kenya na elimu zao, utaona aibu kuwa Mtanzania

    Wandugu Katika pitapita zangu, nimekutana na list ya wabunge wa Kenya, ambayo pia inaonyesha taarifa zao kama elimu nk, aisee nimeona aibu kenge Nahisi ni sawa kabisa Tulia kuondoa page ya list ya tunaowaita wabunge wa Tanzania, wale wanaotuita Kenge kwa website ya Bunge maana ni aibu sana...
  12. JamiiForums Tanzania Darasa la saba ni elimu ndogo sana

    Mm sio muumini wa makaratasi Ila darasa la saba hafai kuwa mbunge Hivi MTU mwenye Elimu ya darasa la Saba anaweza kuchangia nini bungeni ?.
  13. JamiiForums Tanzania Duh! Waafrika na Waarabu hatumo kwenye mataifa yenye elimu duniani

    Waarabu na Waafrika kazi yetu kuhubiri ngono, kuzaliana lakini kwenye elimu hatumo... Kuna wale huwa mnasema Waarabu wako vizuri kisa wana mafuta, mnasahau hayo mafuta yaligunduliwa na mzungu, na yeye hutumia mifumo yake kuyachuma, muarabu yuko vizuri tu kwenye kuuza tende na mikanzu...
  14. JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo elimu ya juu(HESLB)

    Habari wanajukwaa, Naomba kuuliza kwa anayefahamu kama bodi ya mikopo inatoa mkopo kwa wanafunzi wa shahada ya udhamili(postgraduate students)?
  15. JamiiForums Tanzania Profesa Mkenda: Mtoto wa waziri kupata mkopo wa elimu ni wizi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, amesema mtoto wa waziri au katibu mkuu wa wizara kupata mkopo unaotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ni wizi kwakua kitendo hicho kinawanyima fursa wanaostahili. Prof...
  16. JamiiForums Tanzania Kigezo cha elimu walau ya Diploma kiwe sifa ya kuwa Mbunge

    Kwa kweli nimijikuta nikiona aibu kubwa, wala sio Hasira kwa namna upeo wa viongozi wetu ambao ni Wabunge. Wanavyojibu hoja za Mbunge wa KAWE, ni aibu kwa kweli sio kutia Hasira tu. Mzee TARIMBA ni aibu kwa kweli. Mi nadhani wapo wenye upeo mdogo lakini kwa kufunga vinywa vyao wameonekana wana...
  17. JamiiForums Tanzania Kichambo cha Wakenya chasaidia: Kiingereza kuanza kufundishwa kama lugha ya Mawasiliano elimu ya msingi Tanzania

    Tatizo la Watanzania kutoajirika kwenye maeneo mbalimbali duniani limechangiwa sana na mfumo wa Elimu yetu kukitupa Kiingereza kama lugha ya mawasiliano. Kwa waliotembea duniani, lazima tutakubaliana kuwa Nchi ya Kenya imekuwa na Diaspora wengi sana duniani tofauti na sisi kutokana na kukipa...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Wakoloni waliyahusisha baadhi ya makabila kwenye Elimu, Ulinzi, Dini na Uongozi, kwanini wasukuma hawakuhusishwa licha ya idadi yao kubwa ?

    Nimekuwa nikijiuliza hili swali tangu nikiwa Sekondari na sijawahi kupata jibu. Wakoloni walikuwa wanahusisha baadhi ya jamii kwenye elimu, Biashara, Uongozi, Kueneza Dini, Ulinzi, n.k. lakini inashangaza kuona wasukuma ambao ni kabila kubwa zaidi hawakuhusihwa, why ? Ni kwamba nje ya...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kuhoji kuhusu elimu ya Zanzibar

    Ukimtoa msomi nguli kutoka Zanzibar, Prof Makame Mbarawa ambaye binafsi namhusudu Hawa wengine naona hamna kitu Kuna wabunge wa Zanzibar wakichanga hoja wanaongea kama laymen tu Wabunge wa Zanzibar wanaitwa watu Kenge, Mwingine anasema eti Bora jeshi lingemuuwa Martha Karia, nimeshangaa...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge Tauhidi, alowatukana Watanzania KENGE , kumbe ana Elimu ya kuunga unga sana, kafeli form four mara Kadhaa

    Ukitaka kujua Uwezo wa MTU wa Akili , moe nafasi ya kuongea !!. Huyu wale unakuta wanaambiwa 'Jitahidi rudia rudia kusafisha Cheti, ili mradi upate sifa , kasome kadiploma '. Ukifatalia kiundan hata kadiploma lake, kakapata Kwa kuunga unga na kuvuliwa chupi. Kama MTU kafeli form four mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…