elimu

  1. Just Pray

    Waziri Ndumbaro: Kipindi cha Julai, 2024 hadi Aprili, 2025 RITA imesajili na kutoa Talaka 675, atoa wito kutolewa elimu ya maadili kwa wanandoa

    Serikali imetoa wito kwa jamii na taasisi zilizopewa dhamana ya kufungisha ndoa pamoja na wazazi na walezi kuhakikisha wanaendelea kutoa elimu ya maadili kwa wanandoa. Kauli hiyo ya Serikali inakuja wakati kukiwa na wimbo la kuvunjika kwa ndoa na wahusika kudai talaka. Akiwasilisha makadirio...
  2. R

    Elimu ya chuo imekaa kipigaji sana, masomo mengi unayosoma hayana msaada kazini.

    Nikiangalia Transcript yangu iliyojaa lundo la masomo niliyosoma nikilinganisha na kazi nayofanya, naona masomo mengi yalikuwa hayana umuhimu wowote ule. Ni masomo machache sana utayoyatumia practically kazini. masomo mengi ilibidi yawe kwenye kozi nyingine ila yamerundikwa ilimradi tu, masomo...
  3. Samia atosha tukutane2030

    Kabla hujaenda ngazi moja ya elimu au hujampeleka mtoto kwenye ngazi mpya ya Elimu jiulize swali hili

    Si kwamba elimu ni useless, hapana. Elimu ni very potential asset lakini inapokaa kichwani mwa mtu na haina impact hiyo elimu ni useless. Kupoteza muda na fedha tu. Sasa una degree ya miaka 3 au 4 then unakuja kulowea kwenye bodaboda hiyo elimu ni useless. Umeitia serikali hasara kwa...
  4. R

    Elimu haina mwisho nielimisheni

    Kenya kuna kitu kinaitwa county. Kina bunge lake. 1. What is the equivalent of a county to Tanzania administrative system? 2. Naangalia Citizen Tv, Kenya, county ina bunge, wanatunga sheria , je hakuna mgongano wa bunge Kuu la Kenya na mabunge haya ya county? How do they work harmoniously?
  5. D

    Bado nakuja kwenu wanaJF kuomba elimu; Nini' Vigezo vya Star wa movie za mapigano?

    Je, 1. Ni ujuzi wa kupigana?!!! Kwahiyo mnataka kuniambia Angelina Jolie anapiga hatari, sio?!!! 2. Muonekano? 3. Utajiri Au nini'?!!! Msaada tafadhali.
  6. Dennis Robert Shughuru

    Msimamo wangu juu ya elimu ya msingi na maboresho yake

    Nikiwa Rais wa Tanzania yatafanyika maboresho kwenye shule za msingi kama yafuatayo;- Kuongeza wigo wa masomo ya kingereza Kuongeza somo la compyuta Kuongeza vigezo vya walimu wa msingi
  7. Mollel_ Jr

    Je kuoa mwanamke aliye kuzidi elimu ni Ujinga or?

    Kumekuwa ma mjadala juu ya hili je wadau hili lina ukweli au inategemea?
  8. Roving Journalist

    Dkt. Aneth Komba: Somo la Elimu ya Biashara ni la lazima kulingana na maboresho ya Mtaala

    Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Komba amesema somo la Elimu ya Biashara ni la lazima kulingana na maboresho ya Mtaala ulioanza kutekelezwa Januari 2024. Akifungua kikao kazi cha siku mbili cha Makatibu Tawala wa Mikoa na maafisa Elimu kilicholenga kujadili...
  9. Stud

    Elimu ya darasani haimfanyi mtu kuwa na akili nyingi kuliko wengine – Ushahidi uko wazi kwenye viongozi wetu.

    Kwa muda mrefu sana tumekuwa tukidanganywa kwamba elimu ya vyeti ndio kipimo cha akili au uwezo wa mtu kufikiri. Lakini tukitazama hali halisi ya nchi yetu, tuna viongozi wengi wenye PhD, Master's, au shahada, lakini wanashindwa kufanya maamuzi ya msingi yanayowanufaisha wananchi. Tuna walimu...
  10. Kazanazo

    Hivi kwanini wazazi na jamii kwa ujumla wanasomesha watoto lakini wakija kutumia maarifa ya elimu wanaambiwa wanaringa

    Maneno ni mengi sana kwa vijana wanaohitimu vyuo Mara waambiwe wanaringa, mara elimu ni ya makaratasi haiwasaidii chochote na kejeli nyingine Wengi wa watoto siku hizi kwanza huwa hawapendi shule lakini wazazi na serikali wanatumia nguvu kubwa kuwalazimisha wasome lakini wakimaliza maneno...
  11. K

    Naomba kujua Elimu ya Padiri Mchungaji au Shehe, mpaka kufikia kwenye cheo alichonacho

    Nazani kuna watalamu humu ndani wanaojua elimu za hawa watu mpaka kufikia kupewa jukumu la kuwasemea watu Ili tuepukana na kukubali kusemewa na watu ambao hawana elimu kumbe uwezo wao wa kuchambua mambo ukawa mdogo, Ingawa bado kuna wengine na elimu zao bado wanabaki kuwa machawa wa watu fulani
  12. Right Marker

    Wanafunzi wa vyuo waliodhalilishana wameudhihirishia umma kuwa elimu ya VETA ni muhimu kuliko elimu ya Chuo Kikuu.

    Ukweli mchungu! Umalaya, ushoga, usagaji, na uhuni umekuwa kipaumbele kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko elimu iliyowapeleka huko. Wengi wanahitimu shahada zao na GPA kubwa za kwenye makaratasi kuliko kilichopo kichwani mwao - kwasababu ya rushwa za ngono na pesa. Wakirudi majumbani...
  13. Now and then

    Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana.

    Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana. Jux we ndo kioo cha jamii Hapa Tanzania achana na hao waswahili wanaojiita wasanii.
  14. Mshana Jr

    Elimu na maarifa ya ziada

    Haya si ya KIADA bali ni ya ZIADA.. Ya KIADA huwa kwenye mitaala na miongozo rasmi ya serikali kwenye ufundishaji mashuleni na vyuoni Ya ZIADA sio rasmi na walimu na wakufunzi hawana shuruti ya kuyafunza bali kwa utashi wao na kwa nia ya kuwaongezea wanafunzi wao maarifa wanaweza kuwafundisha...
  15. Ojuolegbha

    Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano Katika kuendeleza Sayansi na Elimu Watiwa Saini Kati ya Tanzania na Saudi Arabia

    Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano Katika kuendeleza Sayansi na Elimu Watiwa Saini Kati ya Tanzania na Saudi Arabia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Aprili 13, 2025, nchini Saudi Arabia, imesaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano na Wizara ya Elimu ya Saudi Arabia katika kuendeleza...
  16. LIKUD

    Jinsi kampeni ya " NO REFORM NO ELECTION" inavyo prove ubovu wa Elimu ya mkoloni( Colonial Education) kwa waafrika

    Ndio maana kila siku huwa napinga kulipia hela kwenye shule inayo fundisha kwa kutumia mtaala wa Necta.( No value for money) Mtaala unao muandaa mwanafunzi kufaulu mitihani yake ya mwisho. Mtaala unao mkaririsha mwanafunzi. Na point zao siku zote huwaga ni zile zile👇👇👇👇👇 1. Poor leadership...
  17. Stephano Mgendanyi

    Serikali Itaendelea Kuboresha Miundombinu ya Elimu Muhambwe

    SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA ELIMU MUHAMBWE Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali itaendelea kuboresha miundombinu ya elimu Sekondari hususan ni shule za Busagara na Kumgogo zilizopo halmashauri ya Tandahimba kwa kadiri ya upatikanaji wa...
  18. Yoda

    Elimu gani ni bora zaidi kati ya elimu ya Magharibi na ile ya Uarabuni?

    Hili swali limekuja baada ya kumuona huyu mwanamama Fatma Karume aliyesoma London School of Economics(LSE) akiposti kwa juhudi kubwa sana posti nyingi nyingi huko twitter kuiweka elimu ya uarabuni katika mizani sawa na elimu ya Magharibi huku akilalamika wanaoujua elimu ya Magharibi kutokujua...
  19. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kuendelea Kutoa Elimu kwa Waandishi wa Habari Mitandaoni

    SERIKALI KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA WAANDISHI WA HABARI MITANDAONI "Je, Serikali imejipangaje kuhakikisha ongezeko la vyombo vya habari mtandaoni haliathiri maadili na utamaduni wa Taifa letu" - Mhe. Toufiq Salim Turky, Mbunge wa Jimbo la Mpendae "Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano...
  20. Kipenzi Changu

    PreGE2025 Kanisa Katoliki lahoji uhalali wa Tume ya Uchaguzi, lasema wajumbe ni wateule wa Rais

    Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
Back
Top Bottom