elimu

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi mpya ulioanzishwa na SERIKALI sio mzuri, inakuwaje watu wenye elimu inayofanana na wanafanya kazi taasisi moja kutofautiana salary scale?

    Salam wanajukwaa, Hivi karibuni Serikali kupitia UTUMISHI wametoa waraka mpya unaofanya marekebisho ya kimuundo na mishahara kwa baadhi ya kada ikiwemo Afisa Rasilimali Watu na Maafisa Tawala. Kwa mujibu wa waraka huo mpya, kwa sasa Maafisa Tawala na Maafisa Utumishi mfano waliopo Wizarani na...
  2. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali yaongeza bilioni 10 elimu bure Tabora

    Chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan utoaji wa huduma za elimu mkoani Tabora umeimarika kwa kiasi kikubwa kupitia ujenzi na ukarabati wa miundombinu pamoja na ongezeko la walimu. Serikali imetoa jumla ya TZS 146.69 bilioni kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2025 kwa sekta ya elimu...
  3. MoroGent

    JamiiForums Tanzania Elimu: Kiongozi Akifariki Simu zake na Official Comms Zinakuwa Handled Vipi

    Salamu Wanajukwa, Huwa najiuliza mara nyingi sana hili swali na ningetamani sana kujua kwa Wajuvi wa mambo. Kufariki kwa kiongozi mkubwa wa kitaifa ni swala la nchi lakini pia linagusa maslahi mapama ya kiusalama. Viongozi ni binadamu kama sisi na wanawasiliana na viongozi wengine kwa protocols...
  4. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania DC Dodoma atembelea banda la MOI Nanenane, atoa wito ushirikiano katika Elimu ya Usalama Barabarani.

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Alhaj. Jabir Shekimweri ametembelea banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane' yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, ambapo ametoa wito kwa taasisi hiyo kushirikiana na taasisi nyingine na...
  5. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu imetuzalishia wachambuzi "mahiri" ambao sifa zao kuu ni kukariri majina na takwimu za wachezaji na timu

    Wengine tukisema elimu yetu ina changamoto kubwa katika kuzalisha raia wenye uwezo wa kufikiri, kung'amua mambo na hatimaye kuwa wabunifu huwa hamtuelewi. Elimu yetu imezalisha watu wa kukariri, wale wanaojua tu kusema "ndiyo mzee", wenye uoga wa kukosoa na kutoa maoni yaliyo tofauti na mawazo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu elimu

    Je Kuna uwezekano wa mtu kusoma kozi mbili ndani ya intake moja chini ya NACTE!?
  7. M

    JamiiForums Tanzania RC Mboni Mhita: Rais Samia ametupatia TZS155.24bn kwaajili ya kuboresha Elimu mkoa wa Shinyanga kwa kipindi chake cha miaka minne

    https://youtu.be/lSwXl5hBJ7o?si=vbfT9DfFtaDA19Jj Kupitia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Mkoa wa Shinyanga umepokea TZS bilioni 155.24 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya elimu na kuongeza walimu wa shule za msingi, sekondari na vyuo vya kati. Mafanikio haya yameongeza uandikishaji...
  8. B

    JamiiForums Tanzania BOT: Tunageukia kutoa elimu fedha kwa kilimo cha mbogamboga na nafaka

    01 August 2025 BOT ACADEMY, WFP KUSHIRIKIANA KUTOA ELIMU YA FEDHA KWA VIJANA https://m.youtube.com/watch?v=WugyiK5DhAY A big step for Tanzanian youths in agri-finance Hon. Gov. Emmanuel Tutuba and WFP’s Christine Mendes launch the Certified Financial Educators Initiative — empowering 150...
  9. proff g

    JamiiForums Tanzania Tusipo tekeleza tathimini ya awali tutakosea pakubwa wizara ya elimu.

    Katika kuangazia maswala yetu ya elimu kuna mambo kadhaa yamefanyiwa mabadiliko kwenye utekelezaji wa sera ya elimu ya 2014 toleo la 2023. utekelezaji wa mabadiliko hayo umeendelea katika ngazi mbali mbali kwa mfano 1. Mabadiliko ya kozi mbali mbali (kwa ngazi ya vyuo vikuu na vya kati) 2...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kutafsiri hotuba zilizotolewa kwa kiingereza ni ushahidi wa elimu yetu hafifu

    Mitaala yetu inafundisha Kiingereza kuanzia elimu ya msingi hadi vyuo vikuu. Kuanzia elimu ya sekondari hadi vyuo vikuu lugha ya kufundishia ni kiingereza tu. Tanzania ina watu wengi (90%) waliopata angalau elimu ya msingi ambao pia katika hali ya kawaida wangepaswa kujua kusoma, kuandika...
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo watanzania Elimu yao haijaleta Impact yoyote katika nchi wala katika taasisi walizoziongoza

    Prof -Lipumba huyu nilianza kumfatilia mwaka 2005 huyo hana alichoisaidia nchi wala taasisi yake ya CUF. Prof -Muhongo , huyu anaingia katika kundi hili ukiachana na Scandal Kama Escrow n.k sijaona Kama kuna kitu kafanya jimbo lake ni moja ya majimbo masikini Sana Tanzania . Prof Tibaijuka ...
  12. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Naombeni elimu kuhusu kuweka lamination kwenye vyeti vya shule na hati ya kiwanja

    Habari za muda huu ndugu zangu, katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na mtoa elimu kuhusu mambo ya upatikanaji wa hati miliki za viwanja (aridhi), alienda mbele zaidi akaelezea kuhusiana na issue za kufanya lamination kwenye document za ki-serikali kama Hati ya kiwanja (aridhi), vyeti...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Njoo tupate elimu juu ya uhalisia wa hatua za mchakato wa upatikanaji wa mgombea ubunge na udiwani ndani ya CCM

    Salaam Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kuelewa hatua za michujo anazopitia mwanachama wa CCM kuanzia kuchukua form hadi kula za maoni na kuchaguliwa mtu mmoja kama mgombea wa jimbo au kata fulani. Tafadhari kama unauelewa juu ya hili share nasi hatua moja baada ya nyingine hasa utaratibu mpya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yapongezwa kuwapa elimu ya ujasiriamali wajasiriamali wa mtandaoni

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Albert Chalamila ameipongeza Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kuwaelimisha wajasiriamali wa mtandaoni kuhusu fursa zilizopo na namna wanavyoweza kushirikiana na taasisi hii kubwa zaidi ya fedha nchini kujikwamua kiuchumi. Pongeza hizo zilitolewa mwishoni mwa wiki...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji Kakonko yatoa Elimu ya Uzalendo kwa Wanafunzi wa Jeshi la Akiba

    ‎ ‎Idara ya Uhamiaji Wilaya ya Kakonko mapema wiki hii imeendesha mafunzo ya ki-uhamiaji kwa wanafunzi wa Jeshi la Akiba katika Kata ya Kasanda iliyopo Wilaya ya Kakonko Mkoa wa Kigoma kupitia kampeni ya "Mjue Jirani Yako". ‎ ‎Mafunzo haya yalilenga kuwajengea wanafunzi uelewa juu ya majukumu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa Elimu liangalie hili, vinginevyo watoto waliosoma shule za kata watabaki kuwa wasindikizaji

    Waziri wa Elimu Kaka yangu Profesa Adolf Mkenda, naandika haya kukujuza haya. Vyuo vya kati vilikuwa kimbilio letu la watoto wanaosoma shule za kata, shule ambazo wanafunzi wanaweza kumaliza mwaka bila kuwa na Mwalimu wa Hesabu, Physics nk. Kwasasa wazazi wengi hawawapeleki watoto wao high...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kelele zimepungua redioni. Elimu haitaki kelele

    Leo nimefungulia ile redio ambayo jina lake linafanana na sabuni, nikitaka kusikiliza habari za magazetini. Kiukweli nimeenjoy sana, kelele zile za Nipasheee🗣️🗣️🗣️ mwanga wa jamiii🗣️🗣️ hazikuwepo kabisa. Habari zilikuwa kwenye mtiririko mzuri sanaaa. Nilichojifunza ni kuwa :- makelele mengi...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Elimu kwa waafrika inazalisha wasomi wajinga!!

    Huu ndiyo ukweli,eti wasomi wooooote hao ndani ya Afrika sijui madokta,maprofesa, nk bado kuna wajinga na masikini wa kumwaga ndani ya Afrika sasa hao wasomi wamesoma nini kama siyo UJINGA waliosoma?
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania X na Y ulizani zipo kwenye elimu tu hata maisha zinatumika sema ufahamu tu

    Kuna watu wanajua X na Y zipo kwenye elimu tu kumbe tunazo kwenye maisha tunazitumia kila siku mfano kujua upana wa chochote kwa nini unatumia kujua urefu na upana. Ushawahi kuulizwa graph yako imeshuka kazini au uchumi unakwendaje basi utakuta X na Y. kama unabisha muulize dalali wa nyumba
  20. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Elimu ni umaskini na ujinga

    Nursery miaka 2 Primary miaka 7 Secondary miaka 4 Advance miaka 2 Chuo miaka 3 Kujitolea miaka 2 Jumla miaka 20 upo shuleni leo huyu mtu ni MASKINI
Back
Top Bottom