elimu

  1. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Elimu na teknolojia ya Tanzania iboreshwe kwa viwango vya juu ili iandae watu wenye uwezo mkubwa

    Matatizo mengi yanasababishwa na uwezo mdogo wa Elimu Elimu ya kikoloni Wenzetu wanaendelea kwa kasi Kwa sababu ya elimu yao ibo vizuri Na technology Ni bora mtu asomee kitu atakachobobea awe mtaalamu zaidi
  2. shonkoso

    JamiiForums Tanzania Pata elimu ya bure,hivi ndo kura huwa zinaibwa katika nchi X

    Wengi wetu hatuamini kama kweli kura huwa zinaibwa. Ukweli ni kwamba kura huwa zinaibwa haswa maeneo yenye upinzani mkali. Nitashare nanyi baadhi ya mbinu nilizo fanya utafiti wangu binafsi 1 .Mbinu ya kwanza kabisaaa huwa ni kuwa na wapiga WAPIGA KURA HEWA Kuna watu huandaliwa kujiandikisha...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga sc anaongeza Elimu ya Michezo chuo cha Harvard Business School

    Rais wa yanga sc na mwenyekiti wa ACA, Eng. Hersi Said anasoma kozi ya Business of Entertainment,Media and Sports Executive inayofanyika chuo cha Harvard Business School Eng.Hersi anasoma pamoja na wachezaji wa zamani wa Brazil Pato na aliyekuwq bingwa wa formula one Sebastian Vettel.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu na Tamisemi ingilieni kati baadhi ya shule zimegoma kutoa likizo ndefu kwa mujibu wa ratiba ya Wizara ya Elimu

    Ni jambo la kawaida kwa mujibu wa mitaala ya elimu nchini wanafunzi wa shule za secondari na shule za msingi kuwa na likizo ya mwezi mmoja kati ya mwezi wa sita hadi wa saba.Hata hivyo , kuna baadhi ya shule zimetoa likizo ya wiki moja tu. Hakuna asietaka mwanafunzi kuwa na ufaulu mzuri, lakini...
  5. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Elimu yangu

    Nina bachelor degree in Gender and Development, nataka kwenda Dubai kutafuta maisha. Ila ndoto zangu nataka kwenda nchi za kiarabu kama njia ya kwenda ulaya... Hasa scandinavian countries, Sasa naomba kujua vyeti vyangu nibebe au niachane navyo!! Mana nasikia kule elimu yetu Haina Thamani...
  6. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Mbona kanisa likijenga shule hamsemi linaingilia wizara ya elimu? Mbona likiombea mvua hatusemi linaingilia hali ya hewa?

    Wakuu leo nimeukumbuka ujumbe wa Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) dhidi ya kauli za watawala kudai makanisa kuingilia masuala ya siasa wakati huo kanisa linapambania haki na maslahi ya wananchi "Nilikuwa nasikia watu wananirushia madongo 'wewe Askofu umeshindwa kazi ya uaskofu njoo...
  7. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania UDSM yawaita Wadau wa Elimu kushiriki maadhimisho Wiki ya Utafiti na Ubunifu

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeutaarifu umma wa Watanzania na kuwaalika wadau wa elimu na maendeleo, kwa ujumla kushiriki katika Maadhimisho ya kumi ya Wiki ya Utafiti na Ubunifu ya UDSM yatakayofanyika kuanzia Juni 9- 11, 2025 katika Viwanja ya...
  8. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Kulikoni bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    Hadi sasa hela za,matumizi ni Dana Dana leo wiki napika ugali then ule uji nilitumia kusongea ugali ndio nafanya mchuzi WATANZANIA wako na mioyo ya huruma msaada jamani
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kilimanjaro ndio Mkoa pekee ambao Wabunge wake Elimu ya chini Wana shahada/degree. Bila Degree Sahau kuhusu Ubunge huko Kilimanjaro

    Habari za Asubuhi! Kule Kwetu Kilimanjaro, Moja ya Mambo muhimu wananchi wanayazingatia kumpa Mtu Ubunge ni Elimu yake. Unajua Kilimanjaro mtu anaheshimiwa kwa mambo makuu yafuatayo; 1. Pesa 2. Elimu 3. Familia. Wananchi wa Kilimanjaro hata wale wajinga kabisa ambao hawakusoma hata darasa...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Katika mataifa yenye maadili suala la utata wa elimu za wabunge wengi ni skendo kubwa ya kutikisa nchi

    Huko kwenye nchi za ulimwengu wa kwanza kiongozi au mwanasiasa kudanganya au kuandika taarifa za kubumba katika CV yako hasa suala la elimu ikugundilika ni suala linaloweza kupelekea hata kupoteza nafasi yako ya uongozi. Hili ni suala ambalo utakuta linajadiliwa hadi katika vyombo vikubwa vya...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Abbas: Ukweli kufuniliwa kesho kanisani

    Watu wanaalikwa kanisani kwa Gwajima kuujua ukweli kuhusu elimu ya ABBAS. Mwana kulitafuta, mwana kulipana. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nacheka, lakini naogopa
  12. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Elimu kwa video: Chakufanya pindi unapopata Allergy (mzio)

    Habari za wakati huu. Nimeandaa video hii ili kuzungumza kwa kina juu ya matatizo yanayo sababishwa na allergies na njia mbalimbali zakutibu zikiwemo mitishamba. https://youtu.be/UKhfahXz2UU?si=IDitY_xh0MB3o90h
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Elimu ya kidato cha nne ni elimu kubwa sana ndani ya chama chetu

    Achana na ufaulu kwakuwa unaweza kuchora duara na bado mambo yako yakawa supa sana.. Kikubwa uwe kada mtiifu halafu usiwe mchoyo...! Halafu ujue kuwanyenyekea wakubwa! Kule kwa wavimba macho na wengineo wameweza kutoboa kwa sababu engine haikuwa mbovu... Walihakikisha ofisi kubwa inakamatwa na...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Tazama list ya wabunge wa Kenya na elimu zao, utaona aibu kuwa Mtanzania

    Wandugu Katika pitapita zangu, nimekutana na list ya wabunge wa Kenya, ambayo pia inaonyesha taarifa zao kama elimu nk, aisee nimeona aibu kenge Nahisi ni sawa kabisa Tulia kuondoa page ya list ya tunaowaita wabunge wa Tanzania, wale wanaotuita Kenge kwa website ya Bunge maana ni aibu sana...
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Darasa la saba ni elimu ndogo sana

    Mm sio muumini wa makaratasi Ila darasa la saba hafai kuwa mbunge Hivi MTU mwenye Elimu ya darasa la Saba anaweza kuchangia nini bungeni ?.
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Duh! Waafrika na Waarabu hatumo kwenye mataifa yenye elimu duniani

    Waarabu na Waafrika kazi yetu kuhubiri ngono, kuzaliana lakini kwenye elimu hatumo... Kuna wale huwa mnasema Waarabu wako vizuri kisa wana mafuta, mnasahau hayo mafuta yaligunduliwa na mzungu, na yeye hutumia mifumo yake kuyachuma, muarabu yuko vizuri tu kwenye kuuza tende na mikanzu...
  17. Mpatuka

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo elimu ya juu(HESLB)

    Habari wanajukwaa, Naomba kuuliza kwa anayefahamu kama bodi ya mikopo inatoa mkopo kwa wanafunzi wa shahada ya udhamili(postgraduate students)?
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Profesa Mkenda: Mtoto wa waziri kupata mkopo wa elimu ni wizi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, amesema mtoto wa waziri au katibu mkuu wa wizara kupata mkopo unaotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ni wizi kwakua kitendo hicho kinawanyima fursa wanaostahili. Prof...
  19. Pearce

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha elimu walau ya Diploma kiwe sifa ya kuwa Mbunge

    Kwa kweli nimijikuta nikiona aibu kubwa, wala sio Hasira kwa namna upeo wa viongozi wetu ambao ni Wabunge. Wanavyojibu hoja za Mbunge wa KAWE, ni aibu kwa kweli sio kutia Hasira tu. Mzee TARIMBA ni aibu kwa kweli. Mi nadhani wapo wenye upeo mdogo lakini kwa kufunga vinywa vyao wameonekana wana...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kichambo cha Wakenya chasaidia: Kiingereza kuanza kufundishwa kama lugha ya Mawasiliano elimu ya msingi Tanzania

    Tatizo la Watanzania kutoajirika kwenye maeneo mbalimbali duniani limechangiwa sana na mfumo wa Elimu yetu kukitupa Kiingereza kama lugha ya mawasiliano. Kwa waliotembea duniani, lazima tutakubaliana kuwa Nchi ya Kenya imekuwa na Diaspora wengi sana duniani tofauti na sisi kutokana na kukipa...
Back
Top Bottom