elimu

  1. Msaada kukamilisha safari yangu ya elimu

    Habari ndugu zangu. Mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 30, kiwango Cha elimu (FEDHA & UHASIBU, NTA-5; pia OFFICIAL STATISTICS, NTA-5). Changamoto ya kiuchumi inanifanya nizidi kuchukua mda mrefu kukamilisha ngazi ya diploma angalau mojawapo. Je, kwa hiyo ngazi ya elimu, ninaweza kuomba...
  2. Siku hizi hakuna muziki, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio. Sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani

    Siku hizi hakuna mziki ni bange zinaimba tu, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani Sijui itakuwa dunia ya aina gani ya watu kuoneshana makali ikiwa hali hii itaendelea Sijajua watu wanaweza kujifunza nini kupitia makalio kama baadhi ya...
  3. Soma hapa upate elimu juu ya CCM na mikataba iliyoingia na mashirika ya misaada ya mashoga

    MaCCM wajue, sisi siyo wajinga... waache upumbavu. CCM wanakataa ushoga mdomoni, wanakubali ushoga kwenye makaratasi na mikataba ya kulinda haki za mashoga wanasaini. CCM ni walaghai wasiotaka kuwaeleza ukweli wafuasi wa mbogamboga. The Progressive Alliance (PA) ni jumuiya ya kimataifa ya...
  4. Baraza la Famasi latoa Elimu kwa Umma kuhusu majukumu yake na matumizi sahihi ya Dawa

    Leo tarehe 05 Mei, 2025 Baraza la Famasi limeratibu zoezi la kuelimisha umma kuhusu kazi na majukumu yake pamoja na kuhamasisha jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa. Kampeni hii imefanyika katika Mkoa wa Pwani (Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo) na Baraza liliweza kutoa elimu kwenye maeneo ya...
  5. MOI yatoa elimu ya kujikinga na watoto wenye vichwa vikubwa katika Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani.

    Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) washiriki Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani kwa kutoa elimu kwa wazazi jinsi ya kijikinga na watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi. Maadhimisho hayo yanafanyika katika viwanja vya Fire mkoani Shinyanga, yenye kauli...
  6. Viongozi wasio na elimu wanaongoza nchi kama playground — mtaji wao ni uswahili na ubabaishaji

    Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind, sleepless nights, defending a thesis not just defending a damn political party like a lapdog. Me? I’m a...
  7. Taifa linalodharau elimu ya juu haliwezi kupata maendeleo.

    Kwa miaka ya karibuni zimesikika kauli mbali mbali kutoka kwa viongozi wa serikali juu ya wahitimu wa vyuo vikuu Tanzania kwamba elimu yetu ni ya kukariri, elimu yetu inazalisha graduates wasioendana na soko la ajira, na baadae tukasikia wahitimu wajiajiri. Bado haikutosha, tukasikia hivi...
  8. Mradi wa Boost wawezesha walimu 1,800 kidijitali kuboresha elimu msingi

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Charles Mahera, amefunga rasmi mafunzo ya matumizi bora na salama ya vifaa vya TEHAMA kwa walimu wa shule za msingi, yaliyotekelezwa kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Awali na Msingi (BOOST) kwa ushirikiano kati ya Wizara ya...
  9. Waziri Ndumbaro: Kipindi cha Julai, 2024 hadi Aprili, 2025 RITA imesajili na kutoa Talaka 675, atoa wito kutolewa elimu ya maadili kwa wanandoa

    Serikali imetoa wito kwa jamii na taasisi zilizopewa dhamana ya kufungisha ndoa pamoja na wazazi na walezi kuhakikisha wanaendelea kutoa elimu ya maadili kwa wanandoa. Kauli hiyo ya Serikali inakuja wakati kukiwa na wimbo la kuvunjika kwa ndoa na wahusika kudai talaka. Akiwasilisha makadirio...
  10. R

    Elimu ya chuo imekaa kipigaji sana, masomo mengi unayosoma hayana msaada kazini.

    Nikiangalia Transcript yangu iliyojaa lundo la masomo niliyosoma nikilinganisha na kazi nayofanya, naona masomo mengi yalikuwa hayana umuhimu wowote ule. Ni masomo machache sana utayoyatumia practically kazini. masomo mengi ilibidi yawe kwenye kozi nyingine ila yamerundikwa ilimradi tu, masomo...
  11. Kabla hujaenda ngazi moja ya elimu au hujampeleka mtoto kwenye ngazi mpya ya Elimu jiulize swali hili

    Si kwamba elimu ni useless, hapana. Elimu ni very potential asset lakini inapokaa kichwani mwa mtu na haina impact hiyo elimu ni useless. Kupoteza muda na fedha tu. Sasa una degree ya miaka 3 au 4 then unakuja kulowea kwenye bodaboda hiyo elimu ni useless. Umeitia serikali hasara kwa...
  12. R

    Elimu haina mwisho nielimisheni

    Kenya kuna kitu kinaitwa county. Kina bunge lake. 1. What is the equivalent of a county to Tanzania administrative system? 2. Naangalia Citizen Tv, Kenya, county ina bunge, wanatunga sheria , je hakuna mgongano wa bunge Kuu la Kenya na mabunge haya ya county? How do they work harmoniously?
  13. D

    Bado nakuja kwenu wanaJF kuomba elimu; Nini' Vigezo vya Star wa movie za mapigano?

    Je, 1. Ni ujuzi wa kupigana?!!! Kwahiyo mnataka kuniambia Angelina Jolie anapiga hatari, sio?!!! 2. Muonekano? 3. Utajiri Au nini'?!!! Msaada tafadhali.
  14. Msimamo wangu juu ya elimu ya msingi na maboresho yake

    Nikiwa Rais wa Tanzania yatafanyika maboresho kwenye shule za msingi kama yafuatayo;- Kuongeza wigo wa masomo ya kingereza Kuongeza somo la compyuta Kuongeza vigezo vya walimu wa msingi
  15. Je kuoa mwanamke aliye kuzidi elimu ni Ujinga or?

    Kumekuwa ma mjadala juu ya hili je wadau hili lina ukweli au inategemea?
  16. Dkt. Aneth Komba: Somo la Elimu ya Biashara ni la lazima kulingana na maboresho ya Mtaala

    Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Komba amesema somo la Elimu ya Biashara ni la lazima kulingana na maboresho ya Mtaala ulioanza kutekelezwa Januari 2024. Akifungua kikao kazi cha siku mbili cha Makatibu Tawala wa Mikoa na maafisa Elimu kilicholenga kujadili...
  17. Elimu ya darasani haimfanyi mtu kuwa na akili nyingi kuliko wengine – Ushahidi uko wazi kwenye viongozi wetu.

    Kwa muda mrefu sana tumekuwa tukidanganywa kwamba elimu ya vyeti ndio kipimo cha akili au uwezo wa mtu kufikiri. Lakini tukitazama hali halisi ya nchi yetu, tuna viongozi wengi wenye PhD, Master's, au shahada, lakini wanashindwa kufanya maamuzi ya msingi yanayowanufaisha wananchi. Tuna walimu...
  18. Hivi kwanini wazazi na jamii kwa ujumla wanasomesha watoto lakini wakija kutumia maarifa ya elimu wanaambiwa wanaringa

    Maneno ni mengi sana kwa vijana wanaohitimu vyuo Mara waambiwe wanaringa, mara elimu ni ya makaratasi haiwasaidii chochote na kejeli nyingine Wengi wa watoto siku hizi kwanza huwa hawapendi shule lakini wazazi na serikali wanatumia nguvu kubwa kuwalazimisha wasome lakini wakimaliza maneno...
  19. K

    Naomba kujua Elimu ya Padiri Mchungaji au Shehe, mpaka kufikia kwenye cheo alichonacho

    Nazani kuna watalamu humu ndani wanaojua elimu za hawa watu mpaka kufikia kupewa jukumu la kuwasemea watu Ili tuepukana na kukubali kusemewa na watu ambao hawana elimu kumbe uwezo wao wa kuchambua mambo ukawa mdogo, Ingawa bado kuna wengine na elimu zao bado wanabaki kuwa machawa wa watu fulani
  20. Wanafunzi wa vyuo waliodhalilishana wameudhihirishia umma kuwa elimu ya VETA ni muhimu kuliko elimu ya Chuo Kikuu.

    Ukweli mchungu! Umalaya, ushoga, usagaji, na uhuni umekuwa kipaumbele kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko elimu iliyowapeleka huko. Wengi wanahitimu shahada zao na GPA kubwa za kwenye makaratasi kuliko kilichopo kichwani mwao - kwasababu ya rushwa za ngono na pesa. Wakirudi majumbani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…