elimu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Elimu, Akili au Mfumo? Chanzo cha Kugeuka kwa “Watetezi wa Taifa”Siasa za Umaarufu: Kwa Nini Mashujaa wa Haki Hupotea Njiani?

    Japo kume kuwepo na watu wenye elimu kubwa na akili ambao wamepitia mabadiliko hayo. Kwa hiyo si sahihi kusema ni watu wasiojielewa na wasio na elimu tu lakini kwa Tanzania kumekuwa na wimbi kubwa ambalo ukiliangalia kwa undani utagundua asilimia kubwa ni watu wasio na elimu japo baadhi...
  2. Mzee makoti

    JamiiForums Tanzania Elimu ya miaka hii ni changamoto

    Elimu ya miaka hii ni changamoto kwa vijana wetu, nna dogo yupo Darasa la nne ,heti madaftari kaunta Quare 2 yanatakiwa kumi na nne(14), dogo wenyewe kana umri wa miaka Tisa tu.... Umri huu na iyo mizigo mpka amalize Darasa la Saba si atakuwa na kibiyonngo? maana hapo bado chupa ya...
  3. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Ulimwengu

    Mit 14:12 Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti. Mithali 21:2 Njia zote za mwanadamu huonekana sawa by kwake, bali BWANA huupima moyo. 1 Wakorintho 1:25 Maana kinachoonekana kuwa ni upumbavu wa Mungu, kina busara kuliko hekima ya binadamu; na...
  4. kamili

    JamiiForums Tanzania WAZIRI WA ELIMU CHUKUA TAHADHARI SEKONDARI YA BEATRICE SHELUKINDO YA KILINDI

    Mh. Pamoja na kwamba kuna usemi: don't judge book by its cover, uhalisia ni kwamba wakati mwingine umbile la nje la kitabu linaakisi yaliyo ndani. Kwa binadamu mavazi yako yanaakisi hadhi yako, kwa vitu kama magari, simu, nyumba nk. Umbo la nje linaakisi hali ya ubora iliyop ndani ya vitu...
  5. MinMash

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwekeza 15,000,000 UTT AMIS lakini sina elimu ya uwekezaji

    Hello waja JF, Nina 15,000,000 nahifaji kuiwekeza UTT atleast kwa mwaka mmoja ili izae japo kidogo kuliko kuiacha Bank, naombeni ushauri wa yafuatayo 1. ni mfuko gani pale UTT ni salama zaidi na ni rahisi kuweka na kutoa fedha mda wowote 2. Faida zao zikoje 3. Mapungufu ya UTT ni yapi...
  6. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa UAE alivyoonya Serikali za Magharibi na Wakristo kuhusu Waarabu na Waislamu

    Huyo waziri wa mambo ya nje wa UAE, mwarabu 100% anawaonya westerners na Christians wanao entertain arabs na muslims, Msikilize mwenyewe, msiseme hamkuambiwa. Hakuna muslim zaidi ya huyo. Dont give these people the benefit of the doubt, there up to no good
  7. Foffana

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ipi kati ya Deni la Taifa na Deni la serikali wasomi tupeni elimu

    Tupeni tofauti yake na sisi tuwape elimu tulio nao mitaani huku Manyanza zitto junior MALCOM LUMUMBA Kiranga
  8. Cyclopedia

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hawana Elimu ya uzazi

    Kwa nini ubebe mimba ya mtu ambaye hajaitaka!! Kisa kinaanza kuna mwanamke mmoja (mchepuko) nilikuwa na mahusiano nae siku moja niliruka nae ila kabla ya sex alinihakikishia kuwa ana kijiti cha uzazi wa mpango ila kushangaza siku ya jana sina hili wala lile naona sms inaingia anadai ana...
  9. K

    JamiiForums Tanzania KERO Panel za usahihishaji mitihani ya kitaifa form two na form 4 - Waziri wa Elimu ziangaliwe upya, kuna ukabila uliokithiri

    Nimejaribu kufuatilia panel mbali mbali za usahihishaji wa mitihani ya kidato cha nne na chapili ambapo nilianza kuhudhuria kama miaka kumi iliopita kama external niliouagundua huko ni mengi lakini kwa haraka nitaeleza machache. 1. Ukabila uliopitiliza kama mwenye kiti wa panel akiwa...
  10. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi IGP wambura na Generali Mkunda wana elimu gani?

    Naomba wenye cv za hao watu wawili waziweke hapa tuzichambue.
  11. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Elimu Yetu Inahitaji Kubadilishwa Kimsingi Ili Kusaidia Vijana Wetu

    Wana JF, poleni na majukumu… Nawasalimu wote kwa heshima kubwa. Sasa nimekuja na hoja nzito kuhusu mustakabali wa watoto wetu, ndugu zetu na Taifa kwa ujumla. Tatizo la elimu nchini ni kubwa kuliko tunavyodhani, na tukiliacha litaendelea kutengeneza kizazi kinachohangaika bila sababu. Kwa muda...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania DC Mpogolo: Bodaboda na Machinga undeni Timu Maalum kuzunguka vijiwe vyenu kutoa elimu ya kudumisha amani

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka viongozi wa Maafisa Usafirishaji na Wamachinga kuunda timu maalum itakayozunguka katika vijiwe vya bodaboda na maeneo ya wafanyabiashara kutoa elimu juu ya umuhimu wa kudumisha amani. Hayo ameyabainisha leo katika kongamano la Maafisa...
  13. Criss

    JamiiForums Tanzania Anatuaktia au ndiyo matokeo ya Elimu mbalimbali?

    Kutokana na changamoto ambazo Taifa linapitia Kuna level ya kila mmoja huwa na aina ya matumaini yake kwa kiongozi mkuu wa Taifa. Tukubaliane tu iwe kwa sifa njema au mbaya huyo ndiye Rais wetu na hakuna mwingine , ninaimani kila mmoja kwa wakati wake huwa na aina fulani ya aina ya matumaini...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vya UDSM/DODOMA/MBEYA KUMTUNUKU WANU HAFIDH SAMIA PhD ya Heshima Kwa Mchango wake katika Wizara ya Elimu 🤣🤣

    Ndivo vyombo vya habari Vitakavyoripoti !! Huyu Maza na watoto wake, Elimu zao ni za hapa na pale, ni za kuunga unga sana , Ugonvi wao na Elimu unaanza Wakifika Kidato Cha Nne. Dec 9 ni maandamano makubwa kwelikweli hayajawahi kutokea yaan ni makubwa Mnoo, ALAFU TUNAWAONYA MAPOLISI...
  15. Damaso

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Kwanini Wanu Hafidh Ameir Hakupaswa kuwa Naibu Waziri wa Elimu

    Katika taifa ambalo linahitaji kufanya maamuzi magumu na sahihi kuhusu mustakabali wake, hakuna eneo nyeti kama elimu. Elimu ni injini, ni mapafu, ni moyo unaosukuma damu ya maendeleo. Taifa lisilo na mfumo madhubuti wa elimu ni sawa na kutembea gizani bila dira. Ndiyo maana uteuzi wa viongozi...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kamteua Mtoto wake ELIMU ili Shule za Kiislam zifaulishwe , Shule za Wakatoliki zikandamizwe kwenye matokeo !!Dec 9 Wakatoliki msibaki ndani!!.

    For Our Common Good , our Enemy ni Mmoja. Msituachie tu sisi Waumini wa Ufufuo na Uzima , nawaomba Tarehe 9 Kila Mmoja ajitokeze, Anguko la Watesi wenu ndio Uhai wetu sisi !!. Dec 9 asibakie MTU nyumban.
  17. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Like Mother Like Daugther. Wote wana elimu za hapa na pale

    Umofia kwenu wanaJF, Namba moja ana elimu ya hapa na pale ikiwa imesheni vyeti vya elimu ya chini vya kutosha. Pia binti yake ambaye amekabidhiwa kitengo nyeti kuhusu elimu na yeye elimu yake ni kama Mama nayo ni ya hapa na pale imejaa vyeti vya ngazi za chini kibao.
  18. hamis77

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya viongozi wa dini Elimu zao ni ndogo?

    Awamu hii nimejiona ufinyu wa akili za baadhi ya viongozi wa dini ya kiislamu, ufahamu na uelewa wao ni tatizo kubwa kwa watu ambao wanawaongoza; kwamba RAISI akiwa Muislamu, akifanya makosa asielezwe kwa kigezo cha dini? WAKRISTO hawajaanza kukosoa leo, TUNDU LISU alipigwa risasi kwenye...
  19. mshale21

    JamiiForums Tanzania Je, elimu ni suala la Muungano au sio la muungano?

    Je, masula ya Elimu ni ya Muungano au sio ya Muungano? Na kama ni ya muungano yalianzishwa lini?
  20. H

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za elimu binafsi (Private Coaching)

    Unahitaji kujifunza ujuzi mpya au kuboresha uwezo wako binafsi? Sasa ni wakati wako! Tunatoa MAFUNZO BINAFSI (One-on-One) kwa: 🌍 Lugha za Kigeni – Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani, Kichina, Kihispania n.k. 💻 Kompyuta – MS Office, Internet Skills, Typing, Coding, Graphic Design n.k. 🚗...
Back
Top Bottom