duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

    Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni. Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo...
  2. M

    Hofu/Woga ni adui mkubwa kuliko ugonjwa wowote duniani

    Kwanza nitoe pole kwetu sote wakati huu wa majonzi ya kumuaga mpendwa wetu. MUNGU amrehemu. Kwa uzezo wangu mdogo wa kutafakari mambo nimegundua Viongozi walitukosea sisi wanainchi sana. Siku chache kabla ya msiba huu, mitandaoni kulikuwa na taharuki ya kiwando cha juu sana juu ya afya ya Rais...
  3. B

    Wito: Tunapoomboleza tukumbuke Corona ingalipo duniani

    Mabibi na mabwana tuko msibani. Tusisahau kuwa pamoja na msiba, pana gonjwa linalotunyemelea. Gonjwa hili linataka barakoa na kuepuka mikusanyiko. Tunapoomboleza tukumbuke tuna ugonjwa ungalipo na kwa hakika hatutajilaumu kwa kuchukua tahadhari. Mikutano yote rasmi na isiyo rasmi pia...
  4. Giant Investor: Muwekezaji mkubwa zaidi Duniani zaidi ya wakina Elon Musk, Warren, Billgate nk

    Hakuna uwekezaji mkubwa uliowai kutokea na utakao kuja kutokea mpaka Dunia itakapoisha kama 'Sadaka yenye kuendelea'. Uwekezaji huu utakupa Super Profit Consistency ukiwa hai mpaka ukifa na mifupa kupotea bado gawio lako la Hisa unapokea bila hasara yoyote ile. Sadaka yenye kuendelea *Kujenga...
  5. Marekani ndio wauzaji wakuu wa silaha duniani na soko lao linazidi kuongezeka

    Marekani imeongeza soko lake la uuzaji wa silaha kwa nchi zingine hadi asilimia 37 katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, kulingana na Taasisi ya Utafiti yenye makao yake nchini Sweden. Kuongezeka kwa kiwango cha uuzaji silaha kwa Marekani, Ufaransa na Ujerumani kulisawazishwa na kupungua...
  6. PUMZI/UHAI: Kitu cha gharama kubwa zaidi kinachothibitisha ukuu wa MUNGU; Tuitumie vizuri hapa duniani

    Ndugu zangu watanzania kwa wanaoamini MUNGU na wasioamini Ni ukweli ulio wazi kuwa, kinachomfanya binadamu awe hai ni PUMZI yake, bila pumzi maana yake hakuna uhai Mtu kufa maana yake pumzi imefikia ukomo, hata wanasayansi pamoja na ujanja wao wote lakini wameshindwa kabisa kutengeneza pumzi...
  7. B

    Kwanini Nchi nyingi Duniani zinakataa matumizi ya Chanjo ya AstraZeneca?

    Tangu kuingia kwa Virusi vya Corona wataalamu wa Afya wamepambana kutafuta dawa na chanjo kukabiliana na gonjwa hili hatari bila mafanikio. Hivi karibuni ziligundulika chanjo mbalimbali ikiwemo ASTRAZENECA ambayo ilipitishwa na Shirika la Afya Duniani kuanza kutumika kwa binadamu ili kupunguza...
  8. B

    Shirika la Afya Duniani: Hakuna ushahidi kuwa chanjo ya Corona ya Astrazeneca inasababisha damu kuganda

    Shirika la Afya duniani limesema hakuna ushaidi kuwa chanjo ya corona ya Astrazeneca inasababisha damu kuganda. Msemaji wa WHO - Dr. Margaret Harris amesema nchi zilizokwisha agiza chanjo ya Astrazeneca ziendelee kuitumia kwa wananchi wake maana chanjo iyo ina ufanisi mkubwa. Kati ya watu...
  9. N

    Duniani Kuna Imani zaidi ya Moja?

    Maisha yote ya mtu hayatenganishwi na yanategemea imani. Kwa maneno mengine, maisha ni imani. Ye yote anayeishi duniani maisha yake ni imani yake. Hatahivyo, swali ni kwamba imani ni nini? Imani ni kwa nani au nini:tunaamini nini? Duniani kuna imani zaidi ya moja au mbali mbali? Kuhusu imani...
  10. G

    Wasanii waipa shavu ‘konyagi’ kuthamini jitihada za wanawake katika kusherehekea ‘siku ya wanawake duniani’ 2021

    Na Mwandishi wetu, Katika kuadhimisha kusherehekea siku ya Wanawake Duniani 2021, wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini wamekipongeza kinywaji cha Konyagi kwa kuwapa fursa ya kuthamini ujasiri, ushupavu na uthubutu wa wanawake ambao wamejitoa katika mafanikio ya kazi zao za...
  11. Siku ya Wanawake Duniani jinsi ilivyokuwa ya kushangaza

    Jana ilikuwa ni siku ya wanawake duniani. Nafikiri tumeona mengi sana pia mnakaribishwa kuandika mliyo yashuhudia hiko kwenu. Upande wangu nilichoshuhudia na kunishangaza,, post nyingi mitandaoni HAPPY WOMAN DAY ililengwa kwa kumuwish mama Mzazi, bibi, shangazi, Dada, workmate wa kike, na...
  12. Siku muhimu

    Habarini Ni siku muhimu sana ya kumbukizi ya mwanamke duniani ila je ametambulika na je amesaidiwaje kuichumi, kijamii na kimaendeleo? Wenu Ladyf
  13. B

    Siku ya Wanawake Duniani isitumike kutengua maandiko ya vitabu vitakatifu

    Kuna hii kitu yetu inaitwa siku ya wanawake, kuna hii kitu inaitwa super woman na kuna hii kitu tumeanzisha inasema mwanamke ni kichwa cha familia. Wanawake kuna sehemu tumetumbukizwa shimoni na wapigania haki za wanawake na bila kujijua tumejaa viburi na sasa tunajitokeza hadharani kudai sisi...
  14. Ujumbe katika siku hii ya wanawake duniani

    Mwanamke ni sehemu muhimu ya jamii, awe ni mama, dada, binti, rafiki wa kike, nk Siku ya Wanawake Duniani 2021 ina kampeni iliyo na kaulimbiu "SelectToChallenge". Siku ya Wanawake Duniani ni siku ya kimataifa kuadhimisha mafanikio ya wanawake kijamii, kiuchumi, kitamaduni na kisiasa. Hii ni...
  15. J

    Kuelekea siku ya wanawake Duniani Machi 8, 2021 UCSAF yatoa msaada katika kituo cha Watoto yatima

    KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE UCSAF YATOA MSAADA KWA YATIMA Na: Celina Mwakabwale Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2021, Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote ( UCSAF) umetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa kituo cha kulelea watoto yatima cha Nyumba ya Matumaini...
  16. E

    Nchi zote duniani sasa zinapigana kumbo kuagiza chanjo ya Corona

    Naam sasa nchi zimeamuka, nchi mbali mbali duniani zinapeleka oda zao kupata chanjo ya CORONA. Tayari jirani zetu Kenya chanjo hiyo imetua. Nchi zingine zimeenda mbali zaidi hazitoruhusu wageni kuingia nchini mwao pasi na kupata chanjo hiyo ya Corona mfano Saudi Arabia, Imetangaza wazi kabisa...
  17. Je, unajua kuwa njaa ndio janga kubwa Duniani kuliko ugonjwa wowote ule?

    Karibu watu milioni 10 hufa kwa njaa kila mwaka duniani. Fedha kiasi cha US Dollar billion 11 kingeweza kuondoa kabisa njaa duniani. Cha ajabu Corona inayoua watu milioni moja kwa mwaka inapewa tension kubwa na dunia iko tayari kutumia US dollar zaidi ya billion 35 kukifuta kirusi hiki. Je...
  18. Okonjo-Iweala aanza kazi rasmi kama Mkuu wa Shirika la Biashara duniani

    Dkt Okonjo -Iwela ambaye ni waziri wa zamani wa fedha na mambo ya nje wa Nigeria, ni mwanamke wa kwanza wa Afrika kuongoza WTO. Ngozi Okonjo-Iweala amesema kipaumbele chake ni kushughulikia masuala ya afya na athari za kiuchumi zinazotokana na majanga. Kuna wasiwasi huko Washington na miji...
  19. Siku ya wanaume bora duniani, Happy Husbands Day

    Today is World happy husband Day. Let us maintain 2 minutes silence and appreciate some real life experiences quotes of some great personalities: After marriage, husband and wife become two sides of a coin, they just can’t face each other, but still they stay together. – Al Gore 😁 By all means...
  20. K

    Je, Dar es Salaam inapokuwa Mkoa, hatutapoteza faida za majiji Duniani?

    Kwanza ningependa kujua vigezo vinavyotumika Duniani kuupandisha hadhi mji au Halmashauri kuwa Jiji. Issue ya eneo fulani kuwa jiji ni jambo la ndani ya nchi au kuna standard za kimataifa? Kwa kuwa Dar itakuwa Mkoa, je sifa, hadhi yanazopewa majiji Duniani na ambazo baadhi ya sifa huambatana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…