duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hawa ni watu maarufu duniani ambao viatu vyao vimekosa mvaaji

    Za asubuhi wakuu, leo nakuja na makala ya watu maarufu duniani, ambao wameacha alama kubwa katika tasnia zao na mpaka leo hakuna alietokea kuziba mapengo yao. 1) Mohammedi Ali Huyu ni bingwa, mbabe na mtemi wa masumbwi ulimwenguni kote. Mohammed Ali ambae alizaliwa 17 January 1942, huko...
  2. Binadamu wenye uthubutu duniani

    Kama ulidhani umemaliza kusikia kuhusu Binadamu wenye uthubutu duniani basi nikwambie hujaona kitu bado 😃, hii ni baada ya Watu watano kukamatwa na Polisi nchini India kwa tuhuma za kutengeneza kituo bandia cha Polisi na kuendesha shughuli zote za Jeshi la Polisi kwa miezi nane bila kugundulika...
  3. Wiki ya Maji Duniani: Upatikanaji wa Maji safi na salama bado ni changamoto kwa mabilioni ya watu

    Watu Bilioni 1.42 Duniani wakiwemo Watoto Milioni 450 wanaishi katika maeneo yenye hatari kubwa ya upatikanaji wa Maji. Kwa mujibu wa Takwimu za Umoja wa Mataifa, uhaba wa Maji unaathiri zaidi ya 40% ya Watu wote Watu 3 kati ya 10 wanakosa Huduma za Maji safi na salama ya kunywa. Pia Takwimu...
  4. Dkt. Abbasi, Mchengerwa kumpokea Balozi wa Amani Duniani Agosti 25, anakuja kuunga Mkono Royal Tour

    Dkt. Abbasi, Mchengerwa Kumpokea Balozi wa Amani Duniani Keshokutwa, anakuja kuunga Mkono Royal Tour Aug 23, 2022 Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema, Agosti 23, 2022, Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa ujio wa Balozi wa Amani Duniani na Kiongozi...
  5. Mambo yenye huzuni kubwa duniani

    1. Kusema "Kwaheri"kwa mtu unayempenda sana. 2. Kumuona unayempenda akifariki mbele ya macho yako. 3. Kumuona mama yako mzazi akilia kwa uchungu. 4. Kumuona baba yako akiteseka kulitafutia "ADA"ili akulipie wewe. 5. Kumpoteza rafiki/ndugu kwa ajali au ugonjwa fulani. 6. Kubezwa au...
  6. Tozo katika mabenki-Bank transaction Tax, kodi hii ipo Nchi nyingine duniani!

    Hizi kodi zinauma. Lakini imebidi nifanye kautafiti kidogo kuchunguza kama Mwigulu kalewa madaraka au la! Tozo katika Mabenki ipo nchi nyingine nyingi tu duniani, ni kodi hii kwa ujumla inaitwa Bank Transaction Tax. Kodi hii haichagui mnene au mfupi, tajiri au masikini, mwenye kipato na asiye...
  7. Shaka Hamdu: Dunia nzima inamkubali Mwigulu Nchemba isipokuwa CHADEMA tu, atakuwa Rais wa Benki ya Dunia

    Akiwa Tabora kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amewataka wananchi wapuuze taarifa zinazoenezwa kuhusu tozo, amedai tathmini ya kina ilifanyika kabla ya kuja na tozo hizo na walijiridhisha kuwa zinahimilika. Pia amewataka wananchi wapuuze uzushi wa kuwa waziri wa fedha...
  8. Ripoti: Sudan Kusini Kinara wa Nchi zenye mazingira hatarishi kwa Watoa misaada Duniani

    Umoja wa Mataifa unasema Sudan Kusini inaendelea kuwa "mazingira yenye vurugu zaidi" kwa watoa misaada ya kibinadamu ikifuatiwa na Afghanistan na Syria baada ya Wafanyakazi 5 wa Mashirika ya Kutoa Misaada kuuawa wakiwa kazini Ndani ya Mwaka 2022 pekee Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya...
  9. Wanawake warembo zaidi duniani kwa mwaka 2022 TOP 10!

    1- bella hadid 2- Adriana Lima 3- Beyonce 4-deepika Padukone 5- tuerny TZ 6- angelbaby 7- Aishwarya Rai 8- huddah Monroe 9- Priyanka Chopra 10- Margot Robbie Hao ndio wametajwa kuwa wanawake warembo, wenye mvuto, na maendeleo katika nyanja mbalimbali. Majarida mengi ulimwenguni yamewaorodhesha...
  10. M

    Watanzania ongeeni vitu vya maana ambavyo ni mtambuka na Duniani

    Kila muda kila siku mtanzania ni zuzu posts za kijinga, kila mahali, mijadala ya kizuzu maredioni, Twitter, insta, jamii, Facebook , WhatsApp, critical and analytical observations zero, logic na reasoning ni zero, comedy maudhui hayana akili, kupanic kwingi, kuvumiliana sifuri, kuheshimu mawazo...
  11. T

    Ushauri: Simba SC isihofie mabadiliko ikiwa inataka kufika mbali kisoka katika bara la Africa na duniani kwa ujumla

    Ahlan Ahlan bik Habari zenu wana Jf, wadau wa soka na wapenzi wa wana lunyasi, giants of Africa, Simba Sc. Jana nilipata safari kidogo kutoka Bergamo kwenda katika jiji la bandari, Piraeus nchini ugiriki .Jiioni nikiwa naitazama bahari ya meditterenian katika kitongoji cha Freattyda nikawa...
  12. Lonomia obliqua: Kiwavi mwenye Sumu kali zaidi Duniani. Sumu yake inaweza kumuua binadamu

    Kiwavi ni hatua ya ukuaji wa oda ya lepidoptera (wadudu kama vipepeo na nondo) ambao hutegemea majani kama chanzo kikuu cha chakula. Hii ni hatua ya pili kwa ukuaji baada ya yai ambayo kwa baadae hugeuka kuwa bundo kisha mdudu kamili (kipepeo) ambaye huanza tena kutaga mayai mengine ili...
  13. S

    Urusi yawapatia majeshi yake bunduki bora zaidi duniani; uzito wake ni chini ya kg 3, na yapiga risasi 800/dkk (AK-47 ni 600/dkk)

    Kampuni ya Kalashnicov imesema mwisho wa mwaka huu itayapatia majeshi ya Urusi silaha ndogo mpya ikiwemo submachine gun namba moja kwa ubora Ulimwenguni iitwayo PPK-20. Wataalamu hao wa masuala ya silaha wamesema wanaamini kuwa PKK-20 ni submachine gun namba moja kwa ubora duniani na itaendelea...
  14. Teknolojia ya kutumia maji kwenye Injini ipo?

    Habari zenu Wana jf? Kuna swali huwa najiuliza lakini nakosa jibu sahihi,nikaona si vibaya swali/jambo hili Nika wahusisha na ndugu zangu wa humu jukwaani. Jambo lenyewe si geni saana Ni hivi, Kuna TEKNOLOJIA Fulani ya kuendesha mitambo yaani namaanisha injini kwa kutumia maji...
  15. Mei 7, 1919 Vita ya Kwanza Duniani ilituharibia sana, Tanzania tungekuwa mbali sana

    Mimi sio mtaalamu wa historia, ila kwa historia yangu ndogo niliyopata O-level ninaamini Tanganyika chini ya Ujerumani ingekuwa Taifa kubwa sana hapa Afrika zaidi ya hapa ilipo leo. Waliotuharibia walikuwa Waingereza waliokabidhiwa taifa leo. Hatukupaswa tuwe marafiki na waingereza. They were...
  16. M

    Kenya2022 Huu uwazi wa uchaguzi wa Kenya ni mageuzi makubwa sana! Kila mtu duniani anaweza kudownload matokeo na kujijumlishia

    Pale kituoni kura zikihesabiwa na kujazwa kwenye form (34A), kila wakala anaipiga pcha na kuwarushia watu wake, anapata hard copy kisha hiyo form inakuwa uploaded kwenye mfumo wa tume ya uchaguzi. Kila mtu anaweza kudownload na kujijumlishia ili kuona mwenendo wa mgombea yeyote, kisichotakiwa ni...
  17. Je, ni kweli watu wote wanakula kwa jasho? Jinsi watu wasiofanya kazi walivyotokea duniani

    Wamepora mifumo na bidhaa ambazo zilipaswa kusaidia jamii nzima. Wanatamani hata hewa waiwekee haki miliki ili tuwe tunainunua. Makampuni yangefyonza gesi yote ya oksejeni angani na kuimiliki. Watu wasiojiweza wangekufa kwa kukosa pesa ya kununua Oksijeni. Kwenye mambo mengi wameshinda kwa...
  18. B

    Siku ya vijana duniani

    Mawazo ya kuwepo kwa siku ya kimataifa ya vijana yalitolewa mnamo mwaka 1991 na vijana waliokusanyika mjini Vienna nchini Austria kwa ajili ya kipindi cha kwanza cha jukwaa la dunia la vijana la mfumo wa umoja wa mataifa. Kwa mara ya kwanza, Umoja wa Mataifa ulisherehekea mwaka wa kimataifa wa...
  19. T

    Israel Taifa linalo ogopeka duniani kwa ujasusi na mauwaji ya watu walioshindikana

    Dunia yote macho hayapo China na Taiwan wala Ukraine na Russian. Macho yapo gaza ambapo Kikosi maalumu kilichopikwa kikapikika kina tekeleza kazi maalumu ambayo magaidi wakikundi cha kijihadi ambacho kimeleta madhara makubwa na kuifanya serikali ya Benet kuanguka sasa wanavuna utam wakile...
  20. Leo ni Siku ya Bia duniani

    Wakuu leo August 5 ni siku ya Bia duniani. Siku hii husherekewa kila mwaka siku kama ya leo Sisi tunaopenda kujiburudisha na kinywaji hiki adhimu ambacho kusema kweli hata Wamisri wa kale enzi za Mapharao waliamini bia ni zawadi toka kwa mungu tusiache kupita zile sehemu zetu za kujiburudisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…