Sitaki hangaika na wanawake wa huku Duniani. Wale wa kule ni Wazuri na wote naanza nao mwenyewe

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Wanawali 60. Wakali kwa types nitakazo mimi. Tena wote nawakuta bikra...so naanza nao mwenyewe.

Ndo maana nikiwaangalia wanawake siku hizi wanasema nmekuwa na kiburi na dharau. Ni kweli sikatai. Nimepata kuburi baada ya kugundua nahangaika na hawa wa duniani wakati Akhera wapo watoto chuchu sasa sita.

Tena wana mashine mpya kabisa na hawatakuwa wamechafuliwa na maneno ya kebehi ya kuniita kibamia. Hapo natembeza mpododo tu...babaaake...

Maumbo nayotaka mimi na wana toa huduma 24x7. Sasa why nianze hangaika na hawa wa huku duniani. Ukisalimiana naye siku 2 tu aanaanza kutaka pesa. Kule itakuwa bure tu tena napewa nguvu za kutumia wanawake 100. Ila napewa wanawake 60. So reserve kuna nguvu ya wanawake 40.

Natembeza mpododo kuanzia asubuhi mpaka asubuhi. Na kumaliza kwake kule nasikia ile raha yake unaisikia ndani ya dk 30 siyo sekunde kama huku. Hapo unamwaga sperms nusu lita.
 
Japo ni mzaha ila Kuna hoja ndani yake, Kuhusiana na maandiko ya dini ya kiislamu.

Katika kitabu hicho "wameahidiwa wanaume wote watakaoiona pepo basi watapewa zawadi ya mabikra 60" pamoja na nguvu za kiume.

Mimi najiuliza vipi Kuhusiana na wanawake ??🤔🤔, nao watapewa wanaume mabikra??, Au wataumbwa tena ili kutimiza maandishi.??
 
Duniani hakuna anaekupangia chakufanya. Ukiamua kuwa mlokole ukiamini utaenda mbinguni sawa. Ukiamua kuwa mzinzi/kahaba/malaya ni wewe tu. Ukiamua kuwa mlevi/mla ngada au shada kama mimi ni wewe tu.

Ila amini nakuambia siku unakufa ndio siku yako ya mwisho hakuna na mbingu wala moto wala after life.

Kama ulivyozaliwa ukiwa hujui kitu basi hata ukifa ndio hivyo hivyo.

Enjoy life while you can.
 
So unataka nianze hangaika na hawa wa huku duniani? Hawa wanazingua sana...sitaki kabisa. Watu kama akina trudie mi sitaki shida tena aisee....wacha nijitunze tu
 
Imagine unafukuzia demu wee unakuja kumpata kumbe ndo yule demu wa humu JF dish limeyumba....mnamjua wenyewe.
 
So unataka nianze hangaika na hawa wa huku duniani? Hawa wanazingua sana...sitaki kabisa. Watu kama akina trudie mi sitaki shida tena aisee....wacha nijitunze tu
Kujitunza ni jambo jema. Kwanza itakusaidia kuishi maisha marefu na kuona vingi (hilo haliko guarenteed).

Pia ukijitunza utasaidia bacteria na viumbe hai wengine wanaoishi kwenye udongo kupata chakula safi pindi utakapo kufa, hapo utakuwa umefanya service nzuri ka nature na kuendeleza maisha hapa ulimwenguni.
 
Back
Top Bottom