Ukiona hijab (wakiristo huita ushungi) usiumie utaingia prseha
1. Halimah.
Halimah Yacob (born 23 August 1954) is a Singaporean former politician and lawyer who served as the eighth president of Singapore from 2017 to 2023.
Rais Samia Suluhu Hassan
Upto 2035(inshallah)
SIFA KUBWA YA...
Huu mchezo sio kabisa na hata kuita mchezo ni makosa kabisa. Watu wanaumizana huku wengine wanashangilia halafu eti unaitwa mchezo.
Najua ngumi ni biashara kubwa duniani na ni ajira kwa watu wengi ukiacha mabondia wenyewe, ila ukweli unabaki pale pale kuwa huu mchezo haufai kabisa.
Bahati...
Dkt. Tulia Ackson amewakilisha vyema katika mdahalo wa kuomba kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge duniani IPU.
Tunamtakia kila la heri katika uchaguzi utakaofanyika kesho 27.10.2023
Mungu ibariki Tanzania
Hivi ni kitu gani ambacho kinacho pelekea hawa watu kutoka mashariki mwa Asia wachina, wajapan, wakorea kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyengine zote duniani ?
Hii ni kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, hivyo nilikuwa nauliza ni kitu gani kinacho pelekea hawa watu kutuzidi sisi wengine wote.
Nimekuwa nikijaribu sana kuwasoma wanafalsafa wa miaka ya nyuma. Na kwasasa nikijiangalia kuna mengi sana yamebadilika kwenye maisha yangu, hususani kwenye maadili na kuwa na self control ya maisha yangu.
Haya ni moja wapo ya mambo ambayo falsafa inazidi kunifundisha
1. Usiwe mtu wa kulalamika...
Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.
Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.
Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti...
Kila dakika kila saaa kuwa mtu wa kushukuru , hapa utatumia ile kanuni ya the power of Gratitude kwamba unapozishukuru hela zako Basi MAZINGIRA yako ya Kupata hela yanaanza kuwa marahisi
Shukuru kuhusu Afya yako kila Muda kila saaa kila dakika kila sekunde.
Ruhusu MSAMAHA kwa kila Mtu hapa...
Hali ya maisha ni ngumu sana
Kuna wakati unatamani hata kungekua na simu ambayo unajidunga wakati unaingia kulala kisha inakuondoa baada ya masaa matatu baada ya kupitiwa na usingizi
Tatizo tunawaza wanaotutegemea tutawaacha kwenye hali gani
Unakuta familia inakutegemea lakini wewe...
Tunapenda sherehe, lakini tulivyo masikini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe?
Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi?
Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi...
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi Mhe. David kihenzile aridhishwa na maendeleo, usimamizi na maboresho yanayoendelea kwenye uwanja wa ndege wa Arusha ikiwemo Ujenzi wa jengo jipya la abiria Kiwanjani hapo.
Akizungumza Jijini Arusha mara baada ya kukagua jengo la abiria kiwanjani hapo Naibu...
Kwa wale wanao ona dunia itakuja kuwa chini ya utawala wa kidemokrasia kama ilivyo vitabuni basi hawapo sahihi wanaishi katika njozi.
Ili demokrasia iweze kufanikiwa duniani basi panapaswa kutokuwepo unafiki baina ya watu.
Unafiki ni kikwazo mojawapo cha asili cha sisi watu kinacho weka uzio...
Wasomi mbali mbali kwenye vyuo vikuu kote ulimwenguni wameonekana kutorudishwa nyuma na propaganda za Israel katika kuwaunga mkono wanamgambo wa Hamas na jumuiya ya wapalestina kwa jumla.Hali hiyo imeonekana Marekani,China mpaka Japan.
Huko Uiengereza na Ufaransa kumekuwa na kishindo kikubwa cha...
VPN(Virtual Private Network) huwa inaficha utambulisho wa vifaa vya mtandaO(IP address) na kuimarisha hata usalama wa mtumiaji kuingiliwa mawasiliano yako na mtu mwenye nia ovu.
Serikali nyingi duniani hazijakataza matumizi ya VPN ikiwemo Ulaya na Marekani lakini zipo Serikali chache zimeweka...
Ni Gereza linalochukua Wafungwa Elfu Tatu tu ila lina Wafungwa zaidi ya Elfu Ishirini
Ni Gereza la Kijeshi ila linalochukua Raia wa Makosa mbalimbali
Ni Gereza ambalo Wafungwa wakiingia Siku ya Kwanza hufanyiwa Sherehe ya Mateso na Vipigo vikali ambavyo huwafanya Wafungwa hao washindwe Kuona...
Nilibahatika kuhudhuria kwa njia ya video za kupandikiza kijasusi na kwa kificho kama mtafiti wa dini za binadamu na akili za binadamu na utashi wa kibinadamu na hulika za binadamu majadiliano ya kikundi kimoja cha itikadi za kidini na kisiasa cha wafuasi wa juu kivyeo ndani ya chama hicho. Na...
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Wakuu sorry,
Labda nimejizima data, Ila sielewi haya maisha. Baada ya kupata CHANGAMOTO, nimejiuliza Mambo mengi.
Kwanini wanadamu tupo Duniani, ili iweje, wakati tunasubiri kifo tu.
Dah
1. Hao kuku wanaitwa Ayam Cameni , Ni Weusi kwa kila kitu mpaka nyama na kiini cha Yai,
2. Waligunduliwa nchini Indonesia Karne ya 17 na bado hawapatikani nchi nyingi Hadi sasa
3. Nchini Marekani waliingia mwaka 1998 na Yai moja la kuku Hawa nchini marekani linauzwa dola $130 Karibia Shilingi...
Msimamo na vitendo vya mama Samia, Rais wa JMT, vinaongea zsidi kuliko maneno.
Mama Samia kahudhuria kwa niaba ya nchi yetu kongamano za Kilimo, biashara na maendeleo kwa ujumla.
Karibuni mama Samia alikuwa Doha kuendeleza ushirikiano katika kilimo na biashara, na sasa yuko India kwa...
Nyie mnaonaje? Baba wa imani huyu kizazi chake kimekuwa ni moto mkali sana duniani. Mpaka leo unaona kabisa dunia nzima kwa anaefahamu huu mgogoro ni either atakuwa timu mke mkubwa au mke mdogo.
Sasa je, Ibrahim kaleta baraka au kaleta balaa duniani?