duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ruvuma: Simba adimu duniani auawa Liparamba

    Katika kijiji kidogo cha Mipotopoto, pembezoni mwa Pori la Akiba la Liparamba wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, simulizi ya nadra na ya kusikitisha imetokea simba mwenye rangi ya kahawia na nyeupe, kiumbe adimu anayepatikana katika maeneo machache duniani, ameuawa baada ya kuingia kwenye makazi ya...
  2. PreGE2025 Dorothy Semu: Uchambuzi wetu unaonesha katika nchi mbalimbali duniani, kususia uchaguzi kumeimarisha hujuma zaidi za dola dhidi ya demokrasia

    Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Doroth Semu ameeleza kuwa Chama hicho kitashiriki kikamilifu uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu kwenye nafasi zote za Udiwani, Ubunge, Uwakilishi na Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ule wa Zanzibar. Akizungumza na wanahabari leo Aprili 16...
  3. Dhambi ya Adam na Hawa inafanana na Dhambi ya mtu wa kwanza aliyeleta Ukimwi Duniani

    Katika dunia ya sasa, kuna hali nyingi zinazoonyesha mateso ya watu wasiokuwa na hatia kwa sababu ya matendo ya wengine. Mfano wa wazi ni ugonjwa wa UKIMWI, ambao umeathiri maisha ya watu wengi wakiwemo watoto wachanga, wake wa ndoa waaminifu, na wengine wasiokuwa na uwezo wa kujizuia. Hii...
  4. Tanzania ndio nchi inaongoza kwa kuwa na wengi Simba Duniani, Kwanini waliweka mnyama mpole kwa Twiga kuwa Nembo

  5. Ikiwa umechoka kukaa duniani njoo huku utembee nami.Na leo tutapita hapo hapo kwenu

    https://www.youtube.com/watch?v=xRPjKQtRXR8
  6. Kuna tunda tamu kuliko hili duniani kweli???

    utamu wake ni zaidi ya papuchi
  7. Ufunuo mkubwa duniani

    Wamekufundisha kuamini sayansi, lakini hawakukuambia kuwa nyuma ya vipimo na vitabu vyao kuna uchawi wa kale unaofufuka. Hii si nadharia ya vichaa – ni sauti ya mwisho kutoka kwa Anonymous Watcher, aliyefunua macho yake na kuona: dunia si duara, anga lina gamba, na milango ya kuzimu inaanza...
  8. Wachina wanajivunia kuwepo duniani miaka 5000 na wanatarajia miaka 5000 tena. Sisi tuna haraka gani?

    Mwanadiplomasia wa Kichina ameeleza hivi karibuni kuwa China haigopi kuangushwa kiuchumi na imeshajifunza kuwa wavumilivu miaka 5000 iliyopita na inataraji kuishi miaka 5000 ijayo....!!YAANI 5000 TENA!! Hilo ni somo kubwa la kidiplomasia ambalo linatakiwa kuingizwa kwenye mitaala yetu...
  9. K

    Wachache (minority) humiliki uchumi mkubwa duniani

    Hii dunia imethibitika kabisa kuwa Ina rasilimali za kutosha kuwawezesha watu wote duniani kula, kusoma, kutibiwa, kutalii, kujenga/kupanga na kufurahia maisha. Bahati mbaya sana, ubinafsi, ubabe na uchoyo ama wa kisiasa au kuitawala umehodhisha rasilimali zote kwa vikundi au watu binafsi...
  10. Tajiri namba 2 Duniani, Jeff Bezos kuja na Kampuni ya Magari Slate Auto: Wataanza na EV Truck ya $25,000 tu!

    Mmiliki wa Amazon nae sasa kuja na Kampuni yake ya Magari. Kwa kuanza, anakuja na 2 seater Pick-up truck itayouzwa kwa $25k tu. Hii ni bei ndogo kuliko Tesla yoyote iliowahi kuuzwa. Taarifa zaidi za gari kama battery, motor na power hazijawekwa wazi ila sio muda zitakua wazi. Ikumbukwe kwa...
  11. JasusiTV: Kukamatwa kwa Tundu Lissu, kufunguliwa shitata la uhaini kwampaisha. Vyombo 200+ vya habari duniani vyaripoti CNN, BBC, REUTERS, ALJAZIRA et

    https://youtu.be/ifBfgCwGG70?si=5olE9Kvs15AlxqIb ➡Ni ndani ya masaa 48 tu baada ya kukamatwa kwake kisha kufunguliwa mashitaka ya uhaini.. ➡Zaidi ya vyombo vya habari 200+ duniani kote ikiwemo CCN, SKYNEWS, AlJazira, BBC, Bloomberg, Lebanon News, vimeripoti tukio hili si ktk mtazamo wa kuwa ana...
  12. Soko tajiri Duniani ni la Marekani likufuatiwa na la Jumuia ya Ulaya, huko Asia China hakuna kitu

    Hata mashirika makubwa ya ndege Duniani wanakuambia njia yenye pesa ni ya kwenda Marekani au kutoka Marekani, Mfano London to New york, New Delh to New york, Tokyo to New york na kadhalika. Hio ndio njia tajiri inayo yapa mashirika ya ndege pesa. Turudi kwenye bidhaa, producer yoyote Duniani...
  13. Unyakuo ni nini? Je, watakaoachwa duniani baada ya unyakuo, watapatwa na nini?

    Unyakuo ni tafsiri ya Kiswahili ya neno la Kiingereza "rapture." Unyakuo ni tukio litakalotokea siku Yesu atakapokuja kuwachukua watakatifu, yaani watu waliookoka, na kuwapeleka mbinguni. Ni tukio litakalofanyika ghafla(kufumba na kufumbua)! Maana itatolewa amri, sauti ya malaika mkuu, sauti ya...
  14. L

    Mmiliki wa Manchester United Club Tajiri Duniani Atua Ikulu na Kumuahidi Rais Samia kuitangaza Tanzania Dunia Nzima kukuza Utalii

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni chaguo la Mungu. Na kwa kuwa ni chaguo la Mungu ,Taifa linaendelea kupata Neema na baraka kila uchao . Siyo jambo dogo wala la kawaida kwa club kubwa na tajiri Duniani na yenye...
  15. Kwanini siku Mjumbe Maalum wa Kumuwakilisha Rais Samia duniani ni Rais Mstaafu Kikwete na siyo Makamu Mipango au Premier Majaliwa?

    Wiki hii nzima alikuwa anazurula tu hapa Kampala Uganda na baadae akaenda Gulu na muda si mchache kaonekana huko nchini Ethiopia na kote anapeleka tu Ujumbe Maalum wa Rais Samia.
  16. Kuna wengine ni Manabii hapa duniani hata kama kwa Wivu na Chuki za Kibinadamu kamwe hamtowakubali

    Haji Manara pole sana ila kwa Tabia zako ambazo hata Nduguzo wanazichukia nilijua tu hutodumu kamwe na Zaylisa. Halafu naona kila kona Watu wanampongeza Mange Kimambi wakati GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums miezi kadhaa iliyopita na hata juzi kati (Threads zipo JamiiForums) nilisema kuwa Haji...
  17. Hizi ndio njia tano pekee za kuwa tajiri hapa duniani tajiri yoyote atapitia au amepitia njia moja wapo kati ya hizi.

    Kuna njia 5 tu zinazojulikana ambazo watu wengi duniani (na hapa Tanzania) wamezitumia kufikia utajiri. Hebu tuziangalie moja baada ya nyingine kwa macho ya ukweli: 1. Kurithi Mali Kama ulizaliwa kwenye familia yenye pesa aubkwenu kuna ukwasi wa kutosha basi maisha yako yanaanzia juu. Urithi...
  18. M

    Binadamu tulikuwa na makosa gani hadi tukaletewa Shetani huku duniani ?, tuanze kupambana kwenda mbinguni, kwa nini hatukuumbiwa huko huko mbinguni ?

    Vita ya Mungu na shetani ilianzia huko mbinguni, Mungu kashindwa kumuangamiza shetani akiwa nae huko huko mbinguni ila kamtupia huku duniani sisi binadamu viumbe dhaifu ndio tupambane nae. imagine mfano upo Baba unaishi na familia yako, ndani ya chumba chako baba anatokea nyoka ambaye...
  19. Tupo na Mama mpaka tushike namba 1 duniani. SAMIA MITANO TENA

  20. Wito watolewa kwa wapenda amani duniani kupeleka vikosi Gaza ili kuwaokoa wapalestina wasiuliwe na kuhamishwa nchini mwao

    Kasi ya kuuliwa wapalestina na kuvunjiwa utu wao imeongezeka sana huko Gaza. Kazi hiyo kwa sasa imekuwa nyepesi kwa mayahudi kuifanya kwani Hamas ambao ndio waliokuwa watetezi wamedhoofika sana.Sambamba na hali hiyo ule mori wa kuua na kuharibu umeongezeka kwa Israel kama inavyokuwa kwa mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…