dunia

  1. JamiiForums Tanzania Je, kwa maono yako unaionaje dunia mwaka 2100 (Maisha, Teknolojua, Mazingira, Imani, n.K)

    Kwangu naona dunia kwa mwaka 2100 wengi humu tutakuwa tupo kwenye makazi yetu ya kudumu. Naiona dunia hapa kwetu tutaanza utaratibu wa mazishi kwa kuchomwa moto kwasababu ya changamoto ya ardhi. Naiona dunia miaka hio, mambo ya ushoga, usagaji, kubadili jinsia yatakuwa katika kiwango cha juu...
  2. JamiiForums Tanzania Janga la kirusi cha Corona na ugonjwa wa COVID-19: Dunia sasa yaanza kutuelewa na kutumulika namna Tanzania tunavyokabiliana nayo chini ya JPM

    Even as the world struggles to grapple with the brutal third wave of the COVID-19 pandemic, a small but vocal group of skeptics insists that sinister forces are exaggerating the effects of the virus, control measures like lockdowns are unnecessary, and newly developed vaccines are unsafe. These...
  3. JamiiForums Tanzania Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

    Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo. 1- Isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo). 2- Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu. 3- Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr 4- Muonekano mzuri na imara. 5-...
  4. JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi wa Quality Building Construction afariki dunia

    Khamis Shaibu, Mkurugenzi wa Kampuni ya Quality Building Construction amefariki dunia Hapa pichani alikuwa anakabidhi jengo la serilikali alilosimamia
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA Kanali Mstaafu, Edmund Mjengwa afariki dunia Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma

    Mbunge wa Mbarali mstaafu,mkuu wa wilaya mstaafu Col Edmund Mjengwa ambaye ni baba mlezi wa Catherine Magige(Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Arusha) kafariki dunia Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma. Kwa mujibu wa maggid, amesema kuwa Kanali Edmund Mjengwa ameugua kwa muda mrefu kabla ya mauti...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Gabriel Gavu: Mapinduzi ya Kifikra kwa sasa yanahitajika

    abriel Gavu MAPINDUZI YA KIFIKRA KWA SASA YANAHITAJIKA NA ; - GABRIEL GAVU (BSW) 2020 Nianze na kukubali kuwa dunia ni kijiji kwa utandawazi uliopo sasa. Tunahitaji nguvu ya pamoja kuitazama dunia ya leo. Ni dunia hii ambayo naamini hakuna mpaka wa magonjwa na au matukio ila mipaka iliyopo ni...
  7. JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe afariki dunia

    Habari zilizonifikia ni kuwa mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe, aliyepiga picha tukio maarufu uchanganyaji udongo kwenye Muungano wa Tanganiyika na Zanzibar amefariki Dunia tarehe 3/2/2021. Pia ndiye muanzilishi wa shule ya uandishi wa habari SJMC. Bwana ametoa, bwana ametwaa --
  8. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Diwani Kata ya Igusule, Nzega afariki dunia

    Mabibi na mabwana habari za kusikitisha kutokea pande za Igusule, Nzega mkoani Tabora, ni kuwa Diwani wa pande za huko tokea chama pendwa CCM ametutoka ghafla. Marehemu alipata matatizo ya kupumua ambayo kwa bahati mbaya yamepelekea kifo chake. Mengine yote kwa sasa yanakuwa ni historia...
  9. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ahubiri kuwa 2042 ndiyo mwisho wa Dunia na kurudi Yesu mara ya pili

    Katibu Mwenezi wa CCM, Hamfrey Polepole amesema mwisho wa dunia ni mwaka 2042. Akizungumza katika kipindi cha Sunday Worship cha WasafiTV amesema Yesu atarudi mwaka 2035 kulichukua kanisa (wateule wake) na kukaa nao mawinguni kwa miaka 7 hadi mwaka 2042 atakaposhuka kuihukumu dunia. Lakini...
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Head Master wa Bwiru Boys, Elias Kaboja afariki dunia

    Habari wanajukwaa, Shule kongwe ya ufundi ya Bwiru boys imepoteza mwalimu wake mkuu, mwalimu Elias Kaboja. Taarifa zinadai Mwalimu Kaboja alienda kumsalimu mwalimu wake hospitali ya Bugando na alipotoka naye akaugua na alipopelekwa hospitali hakuweza kurejea tena nyumbani.
  11. JamiiForums Tanzania WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

    Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers...
  12. JamiiForums Tanzania Sunday Manara: England inahitaji mtu kama Mwamnyeto kuchukua kombe la dunia

    Mchezaji wa zamani Tanzania akifanya mahojiano na mtangazaji Patrick Nyembera amesema timu ya taifa ya Uingereza ina kikosi kizuri hata kuweza kuchukua kombe la dunia lkn inakosa mchezaji mzuri wa nafasi ya ulinzi. Manara alienda mbali zaidi na kudai endapo timu hiyo ingepata mchezaji mzuri...
  13. JamiiForums Tanzania Siasa na namna ya kushinda uchaguzi inafanana kila mahala kuthibitisha kwamba dunia sasa ni kijiji

    Clientelism – another reason to worry about US democracy The last several months have given us many reasons to worry about US democracy – not least the riot at the US Capitol and the president’s refusal to accept the results of the November election, with Republican support. Rachel Gisselquist...
  14. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchungaji Mang'welela wa kanisa la Sabato Kahama afariki dunia

    Inafahamishwa kutokea Kahama kuwa, mchungaji John Mang'welela wa kanisa la Sabato huko amefariki dunia leo. Taarifa zaidi ni hii hapa kama ilivyotolewa: ---------- "Kwa niaba ya Mwenyekiti wa Nyanza Gold Belt Field Mch. Enoch Sando. Tunasikitika kutangaza kifo cha mchungaji mstaafu Pr. John...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Aliyewaficha waliotengeneza Korona ni nani; Siamini kama dunia imeshindwa kuwatambua wahusika wakati kila kitu kiko wazi!?

    Ebu Leo tuambizane ukweli hapa!! Hivi ni kweli kabisa Dunia imeshindwa kuwakamata waliotengeneza kirusi cha korona? Mataifa makubwa wameshindwaje kung'amua mipango ya uaandaaji wa kirusi hiki hadi project ikakamilika? Ukiangalia mtandaoni zipo video nyingi sana ikiwemo (Contagious)...
  16. JamiiForums Tanzania Nasimama na Rais Magufuli kwenye kuchukua tahadhari dhidi ya Corona na napinga matumizi ya chanjo inayopigiwa kampeni na dunia

    Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo wa taifa kuhusiana na maambukizi ya Corona pamoja na chanjo inayopigiwa kampeni na dunia kwamba kila nchi lazima ipatiwe chanjo hiyo. Watanzania wengi wamemuelewa Rais na wanachukua tahadhari na pia wameelewa msimamo wa Rais kuhusu chanjo ya Corona. Ila...
  17. JamiiForums Tanzania Prof. Soccorsi, Daktari Binafsi wa Papa afariki dunia kwa Covid-19

    Baba Mtakatifu Francisko tarehe 26 Januari 2021 amehudhuria Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya kumwombea Prof. Fabrizio Soccorsi aliyekuwa daktari wake binafsi kuanzia mwaka 2015-2021. Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – Vatican. Baba Mtakatifu Francisko tarehe 26 Januari 2021 ameshiriki...
  18. JamiiForums Tanzania IMF yakadiria uchumi wa dunia utakua kwa asilimia 5.5 mwaka huu

    Ripoti ya Mtazamo wa Uchumi wa Dunia iliyotolewa hivi karibuni na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) imekadiria kuwa, uchumi wa dunia utakua kwa asilimia 5.5 mwaka 2021, ikiwa ni asilimia 0.3 zaidi ya makadirio yaliyotolewa mwezi Oktoba. Mchumi mwandamizi wa IMF Gita Gopinath amesema, sehemu...
  19. JamiiForums Tanzania TANZIA Balozi Richard Mariki, Katibu Mkuu mstaafu KKKT Afariki dunia

    Balozi Richard Mariki amefariki Jumapili iliyopita. Amesumbuliwa na changamoto ya kupumua kwa muda mfupi. Anakumbukwa kwa ustaarabu wake na alikuwa muumini pale Mbezi Beach KKKT.
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Wakili Msomi N.I.N Munuo afariki dunia hospitali ya KCMC

    TLS imeondokewa na mwanachama wake wakili mwandamizi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…